Kenyans break record in Prague race

E

Engineer levi Devin

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2016
Messages
1,639
Points
2,000
E

Engineer levi Devin

JF-Expert Member
Joined May 17, 2016
1,639 2,000
Kwa hiyo wale akina Kip... na Chep... wanaotoka Uganda sio Wakalenjin? Hizo subgroups zipo karibia kwenye makabila yote Afrika.
Hata Waluo kwa Uganda wanaitwa Waacholi, hilo halifanyi wasiwe kitu kimoja.

Punguza ujinga kidogo.
We ndio mjinga usiejielewa, subtribes za Kenya jinsi walivyofanya grouping nitofauti na Tanzania wala Uganda. Kwa mfano kalenjin ina lugha nane tofauti japo wamewekwa Kwa jamii moja lugha zao ni tofauti ,mfano wa pili ni jamii ya kiluhya ina lugha kumi na nane na inaitwa kabila moja mluya kutoka vihiga akizungumza mluya wa busia au bungoma hataelewa Kwa 100% hata lafudhi zao ni tofauti . Kwa taarifa yako neno Luo lililetwa na jaramogi Oginga kuwaunganisha watu ambao waliitwa river- lake Nilotes for administrative purposes,pili jamii ya lang'i na acholi sio waluo Ila lugha Yao ina ukaribu kiasi na kiluo cha Kenya kama unakielewa kijaluo leo hii utembelee maeneo ya Arua,pader na gulu utaelewa kwamba lugha zao zinautofauti mkubwa Sana. Lakini Kwa sababu ni Nilotes wanauwezo wa kuelewana kama ilivyo tu Kwa lugha za kibantu,Ile jamii ambayo najua wanakaribia waluo Kwa lugha wadama wanapatikana maeneo ya Tororo Uganda.
 
kilam

kilam

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2011
Messages
1,755
Points
2,000
kilam

kilam

JF-Expert Member
Joined Aug 5, 2011
1,755 2,000

Nina marafiki Wakalenjin wengine ni Wakipsigis na wengine ni Wanandi. Wote ni wamoja, ingawa kuna tofauti ndogo za lugha lakini wakiongea wanaelewana.
Ukishakuwa na Kip... na Chep/Jep.... na lugha zinafanana hivyo wewe ni Mkalenjin.
 
J

Janerose mzalendo

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2018
Messages
3,728
Points
2,000
J

Janerose mzalendo

JF-Expert Member
Joined Oct 4, 2018
3,728 2,000
Hahhaa na nyie wakikuyu kenya zaidi ya wizi na kubaka mifugo kuna kipi mnachoweza nyie sifa zenu mbaya zinafichwa na makabila mengine ila kenya ingebako kua ya wakikuyu ingekua hopeless kabisa watu wasioeleweka nyie chezeni mugithi tu na kubaka mbuzi ndo mnachoweza
Uliuza akili si bure
 
iam_paco

iam_paco

Senior Member
Joined
Aug 28, 2019
Messages
124
Points
250
iam_paco

iam_paco

Senior Member
Joined Aug 28, 2019
124 250
Sawa nitaleta but first leta ushahidi wa kuwa diamond ni wa burundi au wakigoma ni warundi. Am waiting
Leta ushahidi wa hvo vitu unavyoviongea hapa..wacha porojo...khaa leo wasomali mnawatambua km kuna wakenya na somalia...tatizo lenu mnaruka ruka...nasubiri ushahidi wa hao watu ambao asili yao ni tanzania kijana
 
iam_paco

iam_paco

Senior Member
Joined
Aug 28, 2019
Messages
124
Points
250
iam_paco

iam_paco

Senior Member
Joined Aug 28, 2019
124 250
unamaanisha mombasa asili ake ni Tanga c ndivyo. Afadhali wew unaujua ukweli kua mombasa ni ya bongo, mumshukuru nyerere kawaachia tu
Tanga yote asili yao Mombasa, Pwani yetu ina miji kenda ambao kunao walienda huko Tanga.
 
MK254

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Messages
14,548
Points
2,000
MK254

MK254

JF-Expert Member
Joined May 11, 2013
14,548 2,000
unamaanisha mombasa asili ake ni Tanga c ndivyo. Afadhali wew unaujua ukweli kua mombasa ni ya bongo, mumshukuru nyerere kawaachia tu
Hata leo hao watu wa Tanga ukiwaskliza wakiongea, lafudhi yao ya Kimombasa kabisa, wengi asili ya mababu zao ni Pwani ya Kenya, ila utakuta Msukuma kama wewe unang'ang'ania kuwa na undugu nao, wakati hauhusiki, kwenu Kolominje mbali sana.
 
E

Engineer levi Devin

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2016
Messages
1,639
Points
2,000
E

Engineer levi Devin

JF-Expert Member
Joined May 17, 2016
1,639 2,000
Na ndio maana wanaitwa Highland Nilotes majina sio issue kuna waluhya wengi tu Wana majina za kijaluo ilihali hawana hata chembe ya kiluo ndani Yao , there is also what we call assimilation Kwa mfano jamii ya kipsigis leo hii wanajiita kalenjin lakini historia Yao na hata jina hilo sio kalenjin. Grouping of communities in Kenya ilifanywa purely for administrative purposes walikua wanaangalia tu makabila ambayo kidogo matamshi Yao yanafanana na wanaifanya lugha moja.usiangalie majina Kwa mfano jamii ya kiluhya majina ambayo watu wa vihiga wanatumia ni tofauti Sana na majina ya watu wa bungoma etc.
 
kilam

kilam

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2011
Messages
1,755
Points
2,000
kilam

kilam

JF-Expert Member
Joined Aug 5, 2011
1,755 2,000
What is his tribe?
It's called Sebei.

Sebei is an ethnic group of Uganda and Sudan. They speak Sebei, a Nilotic language. Many members of this ethnic group occupy three districts of Kapchorwa, Kween and Bukwa found in Eastern Uganda.

Their territory borders the Republic of Kenya which is a home to more than five million Kalenjin, a large ethnic group to which the Sebei belongs. The Sebei, now known mainly as Sabiny, speak Kupsabiny, a Kalenjin dialect spoken by other smaller groups of Kalenjin stock around Mount Elgon. The Sebei and these smaller groups inhabiting the hills of Mount Elgon collectively are referred to as the Saboat.

Hata Wakalenjin ninaowajua wanajua kuwa hao watu wa Uganda ni ndugu zao. Nimekuwekea ushahidi kabisa kukata mzizi wa fitina.
 
They are not kalenjin , they are sebei the word kalenjin was coined in the 1940s by the British to to try and fight gikuyus who were against the whites. Forget about the blogs and articles from people who don't understand the history of kalenjin. Kalenjin only refers to Highland Nilotes of Kenya that migrated to Kenya from Ethiopia.
 
Hata waluhya Wana ndugu zao Uganda ambao wanaitwa wagisu lakini huwezi ukawaita waluhya maana waluhya ni kabila tu linapatikana Kenya. Sebei utawaitaje kalenjin ilihali serkali ya Uganda haiwatambui kama kalenjin? Hata ukienda kwenye mtaala wa Uganda huwezi ukapata kabila ambalo linaitwa kalenjin.
 
kilam

kilam

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2011
Messages
1,755
Points
2,000
kilam

kilam

JF-Expert Member
Joined Aug 5, 2011
1,755 2,000
Hata waluhya Wana ndugu zao Uganda ambao wanaitwa wagisu lakini huwezi ukawaita waluhya maana waluhya ni kabila tu linapatikana Kenya. Sebei utawaitaje kalenjin ilihali serkali ya Uganda haiwatambui kama kalenjin? Hata ukienda kwenye mtaala wa Uganda huwezi ukapata kabila ambalo linaitwa kalenjin.
Jina sio tatizo maana majina ya makabila mengi hata Tanzania ni bandia.

Those people are biologically related.
 
E

Engineer levi Devin

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2016
Messages
1,639
Points
2,000
E

Engineer levi Devin

JF-Expert Member
Joined May 17, 2016
1,639 2,000
Jina sio tatizo maana majina ya makabila mengi hata Tanzania ni bandia.

Those people are biologically related.
Everyone is biologically related, Bantus chimbuko lao ni moja Congo Cameroon border regardless of their present tribes and country ni watu wamoja ,same applies to Nilotes who originate from Sudan but in the case of sebei and kalenjin in the present day grouping in kabila mbili tofauti their language is related though. Kalenjin migrated to Kenya from Sudan through Ethiopia while sebei migrated to Uganda directly from Sudan that is the unique thing that separates them.
 
komora096

komora096

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2018
Messages
4,522
Points
2,000
komora096

komora096

JF-Expert Member
Joined Sep 26, 2018
4,522 2,000
Heheeee!!!hv mijikenda walitokea tanga
unamaanisha mombasa asili ake ni Tanga c ndivyo. Afadhali wew unaujua ukweli kua mombasa ni ya bongo, mumshukuru nyerere kawaachia tu
 
komora096

komora096

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2018
Messages
4,522
Points
2,000
komora096

komora096

JF-Expert Member
Joined Sep 26, 2018
4,522 2,000
Mjinga huyo...hajui hta historia ya wakalenjin...anapiga domo tu...ndo manake vijiweni hudanganyana tu
They are not kalenjin , they are sebei the word kalenjin was coined in the 1940s by the British to to try and fight gikuyus who were against the whites. Forget about the blogs and articles from people who don't understand the history of kalenjin. Kalenjin only refers to Highland Nilotes of Kenya that migrated to Kenya from Ethiopia.
 
Forum statistics

Threads 1,336,650
Members 512,670
Posts 32,546,775
Top