RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 51,735
- 107,860
Hamna woga,? unakumbuka Nyang'au mwenzako wa YANA tyres aliyelazimika kuuza nyumba 100m kwa 30m na kulambwa deportation, lakini njooni nyie ni deal kwetu. Hata mi lazima nile hela za hawa ma-illegal economic immigrants maana mnakuja kutuibia. Eti mnataka kuwa watanzania?, mtawahi?, hamna hata haya..kaeni kwenu na ukabila wenu. Kwanza unafikiaga wapi?
kila siku tunapiga kelele kuhusu ubaguzi wa wazungu tena tunafikiri wabaguzi sana ni wazungu wasiosoma,sasa wewe msomi great thinker unataandika maneno yaliyojaa ubaguzi namna hii!!!hivi hii ni forum ya great thinkers au wabaguzi,jadili mada bila kuhusisha ubaguzi,inawezekana kama wengine walivyojadili.