Kuna ishu inaleta utata japo sitaki kuleta speculations hapa...there was an explosion/explosions before the chopper came down crashing...What caused the explosion?
...these are fairly brand new helicopters to just fall off the sky like that!
Tusubiri jeshi la polisi la Kenya waje na porojo zao za kila siku.
Kazi ya mungu aina makosa pole sana wafiwa.
mmmmh ifunya... Hivi hii avatar yako ni ya she au he?! Halafu mbona ka imevaa chupa juu ya kaptura?!
Kuna ishu inaleta utata japo sitaki kuleta speculations hapa...there was an explosion/explosions before the chopper came down crashing...What caused the explosion?
...these are fairly brand new helicopters to just fall off the sky like that!
Tusubiri jeshi la polisi la Kenya waje na porojo zao za kila siku.
Nina fanya uchunguzi kama ni ajali ya kawaida au ya kutengenezwa
Alikuwa mshirika wa Laila odinga, ni very influential na icon ya Jamii ya kimasai ya Kenya, rip prof. Saitot
Mpaka mjadala uwe ligi nd'o utaona vigugumizi vya nguvu....:glasses-nerdy:
Chezea al shabab wewe ehee!!!!!
Kwanza R.I.P. marehemu wote na pole sana serikali, familia za marehemu na Wakenya kwa jumla.
Pili, kwa wanaojua vyeo vya mawaziri wa Kenya naomba msaada kwa hii:
Minister of Internal Security ni = Waziri wa Usalama wa Ndani, Waziri wa Usalama wa Raia au Waziri wa Mambo ya Ndani?
Thanx in advance.
Asante sana Mkuu, Delta4 kwa kunipa maana ya cheo cha waziri kwa Kiswahili.Waziri wa Usalama wa Ndani, Kaka.
Tena, hivi sana hakuna chochote kina indicate sabotage, au terrorism, na mambo kama hayo. Pia kwaheshima it would be important to avoid such speculations.
That Minister Kones and Minister Laboso (RIP) also perished by similar fashion on the same day five years ago is purely coincidental.
Their tribes and political leanings of Ministers Kones, Laboso, Orwa and Saitoti (RIP)too have nothing to do with this National calamity at all.