Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,181
Msikwende kumvamia, hela bado iko kwa wenyewe!!!!!Kodi ya mapato itakuwa Kshs?.Nisaidie wajuz
Hahahahahaha,Msikwende kumvamia, hela bado iko kwa wenyewe!!!!!
Yeye bado ako na makaratasi ya ushindi tu ati!!
Eeeeh.. Wah.... 200 million Kenyan Shillings[/ ] 220 million ksh
Hakuna kodi kenya ....atleast mpaka 2018 so 2.24mn$ yote ni yakeHahahahahaha,
Mim nimeulizia kodi
Wewe ni mwajiriwa wa KRA?Hahahahahaha,
Mim nimeulizia kodi
Una maanisha Ke hakuna kodi kwenye hiz gambling companies?Hakuna kodi kenya ....atleast mpaka 2018 so 2.24mn$ yote ni yake
Wewe ni mwajiriwa wa KRA?
Lakini jamaa yuko na bahati sana.
Pengine bahati kuu ya mwanadamu iko inamnyemelea (kifo)
Hiyo pesa hapewe mkononi, inakwenda straight in his bank account. Huko anakuta KRA wanasubiri Capital Gains Tax. Hata akiweka fixied deposits, KRA wapo tuu. Akinunua property stamp duty ipo inamgoja. You can't run away from KRA.Hakuna kodi kenya ....atleast mpaka 2018 so 2.24mn$ yote ni yake
Sikumuombea apate hiyo jackpot na amepata, kwa hiyo maombi yangu hayako na weight ya ku trigger utekelezaji.
Usimuombee mabaya mkuu
Tatizo la kamari ukianza haauchi, bado atafuata akitaka kuendelea na hapo ndio wataanza kurejesha vihela vyao. Kama ana akili asepe kabisa, yaani asahau mambo ya kamari kama alivyosahau matiti ya mama yake. Aingie kwenye biashara ya ujenzi wa majengo mjini na kula hela yake kama ametulia, asiingie kwenye mihemko ya aina yoyote, kwanza bado kijana...
Mnajifanya mnajua ya kenya sana mpaka mna boaHiyo pesa hapewe mkononi, inakwenda straight in his bank account. Huko anakuta KRA wanasubiri Capital Gains Tax. Hata akiweka fixied deposits, KRA wapo tuu. Akinunua property stamp duty ipo inamgoja. You can't run away from KRA.