luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,375
- 6,985
Tuliza mku#du. Kubali uoungufu update tiba.Kwahiyo!!
Mbona unaandika kama ulikimbia umande??Tuliza mku#du. Kubali uoungufu update tiba.
Tuliza mku#du. Kubali uoungufu update tiba.
Kwahiyo hiyo taharifa umeipata kwenye media ya Kenya!Media zetu huwa na ujasiri unaoanika uovu, sio kama Tanzania ambapo kuandika chochote lazima ufunge kwa maombi....
Nimeshangaa sana deni la taifa la Tanzania limeongezeka kiasi hiki na hakuna aliyesema, media zao bado huandika eti nchi inatumia hela ya ndani...
Hizo Tv. station na radio zinazotumia lugha za asili zinamilikiwa na media zinazomiliki Tv. na radio station kubwa za kitaifa ambazo zinarusha matangazo kwa lugha rasmi za kiswahili na kiingereza. Lengo lao kuu ni kufikisha huduma zao mashinani kwa lugha zinazoeleweka zaidi. Kwa mfano RMS inayomiliki Citizen Tv na radio ina Tv. na radio station za kikuyu, kijaluo, kiluhya nk. na 'content' na habari zinawasilishwa kwa njia moja kwenye stesheni zake zote, tofauti tu ni kwenye lugha zinazotumika. Swali langu, ni nini kinazuia media za Tz ambazo zinatumia lugha moja ya kiswahili kutimiza wajibu wao ipasavyo?Media za kenya ni very tribal..Kuna Tv na radio za wakikuyu wakalejin wajaluo n.k
Zinazo baki ni za wanasiasa na agenda yao ni kupigia debe mwanasiasa mmiliki..
Hakuna media inayo egemea mahitaji ya mwananchi wa kawaida.
Kenya hakuna media freedom, kuna tribal freedom..Makabila yapo huru kuchochea migawanyiko ya kikabila kupitia media
Wacha kukurupuka hovyo. Lugha gani kenya inaeleweka sana isopokuwa Kiswahili na kiingereza ambazo watoto hufunzwa kutoka darasa la kwanza?..Mimi mwenyewe kuandika na kusoma kukiyu ni changamoto kubwa licha ya kuwa mzawa wa ukikuyuni na nikasoma kikuyu kama somo darasani hadi darasa la tatu enzi za Maziwa ya nyayo..Hizo Tv. station na radio zinazotumia lugha za asili zinamilikiwa na media zinazomiliki Tv. na radio station kubwa za kitaifa ambazo zinarusha matangazo kwa lugha rasmi za kiswahili na kiingereza. Lengo lao kuu ni kufikisha huduma zao mashinani kwa lugha zinazoeleweka zaidi. Kwa mfano RMS inayomiliki Citizen Tv na radio ina Tv. na radio station za kikuyu, kijaluo, kiluhya nk. na 'content' na habari zinawasilishwa kwa njia moja kwenye stesheni zake zote, tofauti tu ni kwenye lugha zinazotumika. Swali langu, ni nini kinazuia media za Tz ambazo zinatumia lugha moja ya kiswahili kutimiza wajibu wao ipasavyo?
Unaumwa, lugha za mama au lugha za asili ndio lugha ambazo huwa zinatumika kufikisha ujumbe wowote nyeti virahisi kule mashinani. Sasa tuseme wewe hapo ambaye huna weledi wowote kwenye lugha yako ya asili, na bado huwa unachemsha hapa jukwaani kwenye lugha zote za kiingereza na kiswahili ni mbumbumbu wa kutupwa au? Alafu pia hujajibu swali langu, kinachozuia media za Tz. kufanya kazi zao kwa weledi ni nini?Wacha kukurupuka hovyo. Lugha gani kenya inaeleweka sana isopokuwa Kiswahili na kiingereza ambazo watoto hufunzwa kutoka darasa la kwanza?..Mimi mwenyewe kuandika na kusoma kukiyu ni changamoto kubwa licha ya kuwa mzawa wa ukikuyuni na nikasoma kikuyu kama somo darasani hadi darasa la tatu enzi za Maziwa ya nyayo..
Hakuna jambo la umuhimu wowote wa media za lugha ya asili sababu kizazi hiki hakuna anaye ongea lugha ya asili kwa ufasaha kuliko kiingereza na sheng.
Tanzania hamna media za asili na matunda yake ni umoja wa makabila
I am able to communicate effectively even to complete idiots thats why you understand and quote me.Unaumwa, lugha za mama au lugha za asili ndio lugha ambazo huwa zinatumika kufikisha ujumbe wowote nyeti virahisi kule mashinani. Sasa tuseme wewe hapo ambaye huna weledi wowote kwenye lugha yako ya asili, na bado huwa unachemsha hapa jukwaani kwenye lugha zote za kiingereza na kiswahili ni mbumbumbu wa kutupwa au? Alafu pia hujajibu swali langu, kinachozuia media za Tz. kufanya kazi zao kwa weledi ni nini?
Kwahiyo hiyo habari ya deni la taifa uliyoileta umeitoa JF!Isingekua Jamii Forums nyie mngekua gizani mumetupwa, kidogo huu mtandao huwa unamulika mwanga kiasi, japo mmiliki wake mumemzonga na kesi zisizoisha, amevumilia sana ubabaishaji wenu.