Zigi Rizla
JF-Expert Member
- May 25, 2019
- 1,064
- 1,107
Out of your league ......danganyikan!Which League is this
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] niceOut of your league ......danganyikan!
ha ha ha nice tackle .. akojoe alale sasaOut of your league ......danganyikan!
Out of your league ......danganyikan!
Ni vile viligi vidogo vidogo visivyo fahamika.Please name the League, I bet it is Armature[emoji2][emoji2]
Ni vile viligi vidogo vidogo visivyo fahamika.
nyinyi mnakuwanga na jokes sana kaka.. you think the world revolves around TZKweli aisee, Na kama huyo mkenya amepiga nane basi Mchezaji kama Mrisho Ngasa akienda huko atawapiga hata 15[emoji2]
Na hapo ni zile vitimu vidogo vidogo visivyo fahamika kutoka Asia kule πππKweli aisee, Na kama huyo mkenya amepiga nane basi Mchezaji kama Mrisho Ngasa akienda huko atawapiga hata 15[emoji2]
nyinyi mnakuwanga na jokes sana kaka.. you think the world revolves around TZ
Mbona huyu Ngasa hakupiga kitu wakati Olunga alipowatinga mbili Afcon? πKweli aisee, Na kama huyo mkenya amepiga nane basi Mchezaji kama Mrisho Ngasa akienda huko atawapiga hata 15[emoji2]
Alifunga hatrick LaLiga
Second competitive league worldwide...
Ama mnadhani ni ile league ya Belgium ya vijana wadogo wa academy place kina wanyama na Toure's brothers walianzia...
Mbona una umama hivi?Jama anapiga Armature huko Sijui Wapi mnatusumbua na Nyuzi za kijinga humu[emoji2]
Na Divock Origi?Belgium is Ranked No.1 by FIFA Worldwide. Unafikiri bila ya Ligi bora ya Ubelgiji ungewafahamu kina Eden Hazad?
Wah!!..... Aki saa zingine mnanichekeshanga sana. Hiyo ndo inaitwa Technical knock outOut of your league ......danganyikan!
Huyu amewahi funga hat-trick La Liga...another "amateur league". Pole kwa maumivu lakini π πJama anapiga Armature huko Sijui Wapi mnatusumbua na Nyuzi za kijinga humu[emoji2]