Kenya yazindua ubalozi kamili Ghana

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,760
48,408
Uhusiano na ushirikiano wa Kenya na Ghana waimarika zaidi baada ya Kenya kuzindua ubalozi kamili kwenye nchi hiyo muhimu barani Afrika. Hamna taifa lingine EAC lenye ubalozi Ghana, ni vyema kwa Kenya kufanya hivi ili kuendelea kushikilia nafasi yake kama kinara ukanda wote huu.
-------------------------------

Kenya has deployed a full-time envoy to Ghana. Officials say this could help improve relations with a region initially unattended to by Nairobi.
The decision follows the opening of a resident diplomatic mission to Ghana’s capital Accra.

Last week, Kenya’s High Commissioner to Ghana Eliphas Mugendi Barine presented his credentials to Ghanaian President Nana Akufo-Addo.
IMMEDIATE TASK
Mr Barine, previously a director of liaison at the ministry of Foreign Affairs, said his immediate task is improving contacts between businesses and professionals of the two countries.
“We have a sound foundation to accelerate, deepen and widen our relations, considering the number of agreements and MoUs already in place,” he after presenting his credentials on January 27.

Previously, Kenya handled relations with Ghana through the High Commission in Abuja, Nigeria, even though Ghana runs a full-time diplomatic mission in Nairobi.
WIN VOTES
The move to post a fulltime ambassador is part of President Uhuru Kenyatta’s push for ‘Pan-Africanism’ type of foreign policy, officials say.
But it could be part of lessons learnt in the past. Until this year, Kenya’s relations with the 15-member Economic Community of West African States (Ecowas) was only through the High Commission in Nigeria, limiting collection of any grassroots contacts.
That failure was reflected in Kenya’s inability to win votes in Ecowas’ francophone members for the post of African Union Commission Chairperson in 2017. Kenya has since opened another embassy in Senegal, becoming the first mission to a French-speaking west African country.
DIPLOMATIC RELATIONS
The Envoy said this move to create a full-time embassy will help in implementing previous agreements signed between the two countries.
Though the two countries had existing diplomatic relations from the Jomo Kenyatta era, it is only during President Mwai Kibaki’s time that Ghana relocated its Kenya mission from Addis Ababa to Nairobi, signaling intent for direct contacts.
In 2014, under President John Mahama, Ghana signed various trade deals with Kenya, which the leaders argued will help improve trade ties.
Those agreements were about investment, energy and mineral resources cooperation, according to a dispatch from State House then.
Mahama later lost to President Akufo-Addo, who is due to seek re-lection this year.
 
I always thought Ghana should be our biggest ally in W.Africa. Solid democracy, robust economy and a foreign policy that is very enviable and has made Ghana respectable in the world stage. Its like Kenya looking at herself in the mirror. 😉
 
I always thought Ghana should be our biggest ally in W.Africa. Solid democracy, robust economy and a foreign policy that is very enviable and has made Ghana respectable in the world stage. Its like Kenya looking at herself in the mirror.
Kenya binafsi naona mnafanana zaidi na Nigeria whilst Tz inafanana na Ghana.
Hilo la kuweka ubalozi wenu Leo inaonyesha venye hamfanani nao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kenya binafsi naona mnafanana zaidi na Nigeria whilst Tz inafanana na Ghana.
Hilo la kuweka ubalozi wenu Leo inaonyesha venye hamfanani nao.

Sent using Jamii Forums mobile app

Nyie mnaofanana nao mbona hamjaweka ubalozi hata ofisi ndogo. Subirini tuwaongoze maana mpo mpo tu.
 
Kenya binafsi naona mnafanana zaidi na Nigeria whilst Tz inafanana na Ghana.
Hilo la kuweka ubalozi wenu Leo inaonyesha venye hamfanani nao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tanzania mnafanana kwa sana na Nigeria. Size ya nchi, ulanguzi wa madawa ya kulevya na pia ile sayansi yenu ya kiafrika. Nigeria wananyofoana viungo vya mwili wakavitumie kwenye matambiko yao ya kishirikina. Wanafukua hadi fuvu za wendazao hao wendawazimu, na wanaiba hadi chupi za wanawake, eti 'for money ritual'. Why does this remind me of someone? :confused:
 
I always thought Ghana should be our biggest ally in W.Africa. Solid democracy, robust economy and a foreign policy that is very enviable and has made Ghana respectable in the world stage. Its like Kenya looking at herself in the mirror. 😉
Sisi hatuhitaji visa kwenda Ghana wao ni vivyo hivyo pia. Unalifahamu hilo?
 
Sisi hatuhitaji visa kwenda Ghana wao ni vivyo hivyo pia. Unalifahamu hilo?
Passport ya Kenya ndio 'the 6th strongest' hapa Afrika. Kumaanisha wakenya wanaingia kwenye nchi nyingi visa free, nchi 72, na pia wanaingia kwenye nchi nyingi zaidi na visa on arrival/e-visa. Ghana ni moja tu kati ya nchi nyingi ambazo wakenya wanaingia bila visa na hivyo hivyo kwa waghana nchini Kenya. Tena wakenya wakishatua Ghana hamna limitation ya muda wa kuishi nchini humo.
 
"Waliikomboa" Afrika na tunawazidi kwa mataifa tunayoingia na kutoka tutakavyo.
 
"Waliikomboa" Afrika na tunawazidi kwa mataifa tunayoingia na kutoka tutakavyo.
Alafu kwenye ushawishi wa kimataifa hawa jirani zetu ni vibwengo sio siri. Juzi Trump amefanya yake alafu wao wakabaki wakilumbana badala ya kuibuka na msimamo imara kama taifa kuhusu dharau za kutajwa kwenye orodha pamoja na nchi kama N.Korea na Eritrea. Najaribu kufikiria kama ingekuwa Kenya, bila shaka lazima tungejibu kwa njia moja ama nyingine. K.m. kuna zile kura za UN ambazo huwa wanategemea tufanikishe kwa niaba yao, kama kwenye mgogoro wa Israel-Palestine.
 
Back
Top Bottom