BALAGASHIA
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 392
- 383
Ninachojua pia experience inamatter. Jeshi letu hawajawai kuja face-to-face na magaidi yaliyokubuhu kama ShababTakwimu za makaratasi mbali na uwezo binafsi mbali.
Kenya ni nchi amabayo ina jeshi dhaifu,waoga na wasio weledi kabisa kuliko hata Burundi.
Kupigwa kama watoto wa dogo na jeshi la wavaa yebo yebo Al shabab ni dhahiri uwezo wa kenya upo kwenye makaratasi tu.
Magaidi wamevamia mall,wao wamepeleka vifaru!
Una kipimo gani cha kuamua kuwa Alshabab wamekubuhu?Ninachojua pia experience inamatter. Jeshi letu hawajawai kuja face-to-face na magaidi yaliyokubuhu kama Shabab
Imetajwa na nani?
Makomandoo wao wanaweza kupasuliwa matofali ya mchanga kichwani na kifuani?!
mazoezi yanasaidia kukwepa hiyo bullet.kaka vitani awalushagi matofali ya mchanga ni only one bullet utumbo njee
marekani ilishambuliwa je INA jeshi dhaifu Hoja yako mbovuNakataa kabisa kama kenya wana jeshi bora wanaweza kuwa na bajeti kubwa lakn wakawapa midebwedo shambulizinla westgate ndo nilipojua kenya hawana jeshi waoga sana