Hahahaahaha. Hapo serikali inapata kodi kiasi gani!?Kwa mwezi watanzania wanatumiana 18 trillion (7.8$B)?
Hiyo pesa ni ya kujenga SGR yote Dar Mwanza
Hili tunakuachia wewe.Mi nawaambia ukweli tu watanzania hamfiki ligi ya Kenya kwa mobile trasactions,Take it to the Bank
Huamini au unakataa!?tunataka uchambuzi wa hii data si statements za waziri
Sasa unapingana na data? Acha kuishi kimazoeaMi nawaambia ukweli tu watanzania hamfiki ligi ya Kenya kwa mobile trasactions,Take it to the Bank
Tanzania has more population, Tanzania has more mobile money services.
Safaricom inapata faida kubwa kuliko mitandao na mabenki yote ukijumlisha.Tanzania has more population, Tanzania has more mobile money services.
Kenya Mainly ni Safaricom (M PESA)
Tanzania (M-pesa, tigo pesa, airtel money, nk.)
Zote hizi zinatumika
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimesoma ni billion 80Hahahaahaha. Hapo serikali inapata kodi kiasi gani!?
Safaricom inapata faida kubwa kuliko mitandao na mabenki yote ukijumlisha.
Sent from my TECNO W2 using JamiiForums mobile app
hamna hiyo data ni ya kupikaNimesoma ni billion 80
Tanzania kodi ni ndogo sana
Wanachaji kodi kubwaSafaricom inapata faida kubwa kuliko mitandao na mabenki yote ukijumlisha
Sent from my TECNO W2 using JamiiForums mobile app
Kivipi?hamna hiyo data ni ya kupika