MOTOCHINI
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 27,574
- 29,959
Nikweli Tanzania Inakodi Ndogo SanaNimesoma ni billion 80
Tanzania kodi ni ndogo sana
Hiyo 80 BL nikwa Mwezi
Inamaana Nizaidi ya 900BL kwa Mwaka
Kodi hii ndio inafanya Vifurushi Kuwa nafuu sana Tanzania na Bado Serikali Mwezi Ujao Inakuja na Kitu kipya kwenye Vifurushi Kupunguza Zaidi