Lusematic
JF-Expert Member
- Feb 2, 2017
- 12,017
- 11,711
acha ushamba kila kitu ni makubaliano hakuna aliye ogopa....aisee jeshi letu likienda pale lazima ghalama itumike kwanu sisi huwaga tunamaliza kazi kabisa hatunaga mbwembwe..Hehehe! Kama pale Somalia ndio vipimo, basi bora ukae kimyaaa maana nyie mumeogopa kupakaribia wakati mataifa yote ya ukanda huu yamekwenda ikiwemo Burundi na Rwanda.