Mambo ya refinery ni mawazo mema hayo na sina shida nayo. Lakini kwa upande wa gesi, hata kama mnatumia gesi kuzalisha umeme hio haijawazuia kuiexport kwa nchi za ng'ambo.Tuisafirishe wapi wakati sisi tunatumia kwenye umeme, 70% ya umeme wetu ni gas yetu pia viwanda vyetu almost viwanda vikubwa vyote hutumia gas bila kusahau kwenye magari na majumbani
Ninyi hivyo vipipa vya mafuta mlivyo navyo mngetakiwa kupigania mpate refineries mfanye refine wenyewe muuze hapa kwenye regions
Sema sababu hakuna forex consumers wa kurudisha mtaji wa wawekezaji ambao ulikuwa in forex money ndio sababu lakini bado mngeweza kufaidika pakubwa kama angalau mngekua na refinery ndogo kwa matumizi ya ndani ya nchi as you share into the investment
Your recoverable barrels are in three digits million, rechake and weight them with the world's serious producers and come backHii sasa ni wivu. Vipipa viwili vitatu au elfu mia mbili?
The gas needs to be processed first, na ndio stage tuliopo, unahitajika at least 2 trilion dollarsMambo ya refinery ni mawazo mema hayo na sina shida nayo. Lakini kwa upande wa gesi, hata kama mnatumia gesi kuzalisha umeme hio haijawazuia kuiexport kwa nchi za ng'ambo.
Redeemer kwa budget ya 2017/18, 2018/19 na 2019/20 Lamu port imo ndani ya budget ya Kenya. Wacha propaganda. Hapa hamna mambo ya bank of south Afrika.Development Bank of South Africa ni ya serikali yenu?
We are not competing with the world's serious producers. Our pipeline will transport 100,000 barrels per day. That is enough for us. Hatuna ulafiYour recoverable barrels are in three digits million, rechake and weight them with the world's serious producers and come back
Hio si kweli. Qatar wanasafisha ila hawatumii 2 trillion dollars. Mozambique ndio hio kupitia Eni gas wanaanza kurefine na kuexport mwaka wa 2022. Nyie mngepata investor wa kuweka hata 10 bn dollars hio ingetosha kuanza kurefine na kuexport gas hata kwa kiwango kidogo. Gdp ya Qatar hata haijafika hio 2 trillion dollars na hao ndio wanazalisha gas nyingi kushinda nchi yoyote ile.The gas needs to be processed first, na ndio stage tuliopo, unahitajika at least 2 trilion dollars
Acha uongoTuisafirishe wapi wakati sisi tunatumia kwenye umeme, 70% ya umeme wetu ni gas yetu pia viwanda vyetu almost viwanda vikubwa vyote hutumia gas bila kusahau kwenye magari na majumbani
Ninyi hivyo vipipa vya mafuta mlivyo navyo mngetakiwa kupigania mpate refineries mfanye refine wenyewe muuze hapa kwenye regions
Sema sababu hakuna forex consumers wa kurudisha mtaji wa wawekezaji ambao ulikuwa in forex money ndio sababu lakini bado mngeweza kufaidika pakubwa kama angalau mngekua na refinery ndogo kwa matumizi ya ndani ya nchi as you share into the investment
Acha uongo
Bro huwajui wachina vzuri wewe walivyo wanyonyezi.Sisi tumemtilia kauzibe mchina dili la Bandari bagamoyo wakati Kenya akimtumia mchina huyohuyo kimyakimya kujenga ya kwake. Matokeo yake Bandari ya Lamu ikikamilika mapema na Mchina akaona anapata faida zaidi hatakuwa na mpango wala shauku tena ya kujenga ya kwetu.
Sasa hebu imagine mzigo utakaotoka China kupitia Mombasa na wakati huohuo SGR ya Mkenya imeshakamilika. Niambie hapo nani ataumia?
Hahhahahahahhaha msamehe katoka usingizini.Uongo upi hapo?
Bandari tunalipa kwa pesa zetu za ndani. Hamna mambo ya Sri lanka hapaBro huwajui wachina vzuri wewe walivyo wanyonyezi.
Hao kenya watajuta na hiyo bandari anaojenga mchina.
Sri Lanka walikua wakifurahi mwanzo ila uliza mchina alivyowaliza mwishoni.
Au angalia sgr kenya wachina wanavyowafanyia Kenya.
Ni sawa Magufuli alivyowabania hawa jamaa hutu hawana
Watu wamekariri kuwa mchina mnyonyaji, Mchina siyo mnyonyaji ila ukishindwa kujisimamia kwenye negotiations usirudi kumlaumu mchina wakati saini ulitia wewe
Dude!!Development Bank of South Africa ni ya serikali yenu?