Kenya yaanza kutumia ‘internet balloons’ na kuwataka watu kutumia 4G

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,014
9,883
Rais Uhuru Kenyatta amezindua ‘Loon Internet Balloons’ ambayo yatazipa kasi za 4G simu zote nchini humo. Hii ni baada ya kampuni ya Telkom ya Kenya kuingia Ubia na kampuni ya Alphabet

Rais Kenyatta amewataka raia wake kutumia fursa hiyo kukukuza shughuli zake za kiuchumi. Teknolojia hii iliwahi kutumika Puerto Rico na kuwapa mtandado watu zaidi ya 250,000 baada ya nchi hiyo kukumbwa na kimbunga

Teknolojia hii inatumia nishati ya jua ili kuweka mtandao katika maeneo yenye watu wachache. Maputo hayo huelea futi 60,000 juu ya usawa wa bahari

Kenya ina watu milioni 45, miji yake ina makampuni yanayotoa huduma za mtandao huku maeneo ya nje ya miji hiyo yakiwa hayana mtandao
===
1594209948781.png

President Uhuru Kenyatta has virtually launched the Loon internet balloons that will see mobile phone users in 14 counties access 4G network.
This is after Telkom Kenya entered partnership with Google parent firm Alphabet at an undisclosed amount in the first ever commercial deployment of loon internet balloons in the world.

Speaking during the launch at Radat Centre in Baringo County, Uhuru who addressed locals via live WhatsApp video chat asked them to take advantage of the improved telecommunication infrastructure to advance their social economic activities.

"You now have a faster internet network. You can now sell your honey to the rest of the world. Take full advantage of it," Uhuru said.
ICT CS Joe Mucheru termed the launch as historic, adding that Kenya continues to lead the world in matters technology.

Last year, Alphabet Inc’s Loon said it would deploy its system of balloons to beam high-speed Internet access with Telkom Kenya to cover rural and suburban populations, marking its first commercial deal in Africa.

Known as Project Loon, the technology was developed by Alphabet’s X, the company’s innovation lab. It has since become Loon, a subsidiary of Alphabet, which is the parent company of Google.

The technology was used by U.S. telecom operators to provide connectivity to more than 250,000 people in Puerto Rico after a hurricane last year.

The Loon service uses balloons, which are powered by an on-board solar panel, to provide fourth generation (4G) coverage to areas with lower population densities.
They float at 60,000 feet above the sea level, well above air traffic, wildlife, and weather events, Loon said.

With more than 45 million people, Kenya’s major cities and towns are covered by operator networks, but vast swathes of rural Kenya are not covered
 
Tz tumezubaa sana hata maswala ya kupokea hela kutoka nje kwa njia ya simu tabu tupu!
Sijui tunakwama wapi..?
 
Hongera zao sana,ingawa muda wa miezi kadhaa walianza kutumia huu mfumo.
 
Watu wa wivu hawatapenda habari hii. Watapita kimya kimya na majungu yao.
 
Tz tumezubaa sana hata maswala ya kupokea hela kutoka nje kwa njia ya simu tabu tupu! Sijui tunakwama wapi?
Tanzania tupo mbali katika mambo ya matumizi ya Inarnet kuliko nchi ya Kenya ikiwa sisi tunatumia fiber cable zaidi ya 70% ya Watanzania wanauwezo wa kufikiwa na Intarnet hali ipo tofauti na nchi nyingi katika East Africa ikiwemo Kenya matumizi ya Fiber Cable yanawezesha unafuu wa upatikanaji wa mawasliano.
 
Nitie Neno Hpa

Kenya Wameona Baloon n Muhimu Kwao, ila Km Kawaida Yetu Tanzania huwa Hatukurupuki
Km Kungekuwa na Umuhimu Zingekuwepo Hzo
 
Huo uongo labda useme una ndugu nje au huna kitambulisho cha taifa
Nitajie hizi huduma PayPal unapokeaje hela moja kwa moja kwenye simu hapa bongo.. skriil je? Hayo Kenya yanawezekana ndio maana hata huku tz wengine wameanza kutumia line za kenya safaricom! Kila Mara limekuwa likizungumzwa humu hili we vipi au umekabwa na udaga wa koromeo.😜

Taja hiyo njia sasa.
 
Tanzania tupo mbali katika mambo ya matumizi ya Inarnet kuliko nchi ya kenya ikiwa sisi tunatumia fiber cable zaidi ya 70% ya watanzania wanauwezo wa kufikiwa na Intarnet hali ipo tofauti na nchi nyingi katika East Africa ikiwemo Kenya matumizi ya Fiber Cable yanawezesha unafuu wa upatikanaji wa mawasliano.
Kumbe! Lakini mbona bado kunamalalamiko ya kutosha haswa speed ya internet na gharama za vifurushi? Au ndo kusema hatukosi la kusema.
 
Tanzania inawasomi wengi wasio na msaada na taifa lao. mbona hatuoni vitu mlivyovisomea practikale.
 
Back
Top Bottom