Kenya yaagiza treni 56 kwa ajili ya SGR

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
32,238
50,415
Kenya Railways has ordered 56 trains to operate on the standard gauge railway (SGR) ahead of the June 2017 completion of the Mombasa-Nairobi section.
Among the orders are eight shunting, five passenger and 43 cargo locomotives. A shunting locomotive is used in a train yard to move wagons around and assemble a train before a mainline locomotive takes over.

The rail firm has also ordered 1,620 freight wagons – a mixture of both boxed and flat. The trains will be delivered between December and March 2017.

The order adds to the list of Chinese companies that have benefited from the SGR project with the contractor building the rail also expected to bag the contract for running the line.

The cost of procuring the trains is part of the Sh327 billion contract issued to the project’s contractor, China Road and Bridge Corporation (CRBC).

“We have given the contractor approval to go ahead with the procurement. Currently we are inspecting three factories that will be used to make the trains,” Kenya Railways managing director Atanas Maina said.

Commencement of the SGR operations is expected to see reduced business for truckers and bus companies with the trains set to remove thousands of trucks and buses from the Mombasa- Nairobi road.

Kenya Railways said one train will haul 216 20-foot containers in a journey that is the equivalent of 108 trucks on the road.

This translates to a total of 4,644 trucks taken off the road if all the 43 freight trains are running.

The cargo trains procured allow for double-stacking of containers and will move at 80kph. The trains will be diesel- powered but can be upgraded to electric in future. A total of 40 coaches for the passenger trains are also expected to be purchased for use on the line.

“Each passenger train will have a capacity of 1,096 people with a designed speed of 120kph,” Kenya Railways said in a statement.

The government is set to sign a five-year contract with CRBC’s parent company, China Communications Construction Company (CCCC) to operate the line once it is completed.

Mr Maina said they are evaluating the proposal and could not reveal how much CCCC will be paid for the service or how much passengers will pay in fare.

“That (fare) is part of what we’ll talk about with the operator,” he added.
Kenya Railways orders 56 trains for SGR line
 
teh teh teh
mkuu msamehe, ni mkenya huyo, kuongeza chumvi kwenye kila habari ndio ishu zao.

Hata hayo mabehewa 56 mpaka yatue Kenya ndio nitaamini hii habari, no one believe Kenyans nowadays........
i promise you i will post pictures of these trains when they arrive.
 
Hujui tofauti ya kichwa cha trani :treni yenyewe .reli na mabehewa wewe kweli pwagu
 
Hujui tofauti ya kichwa cha trani :treni yenyewe .reli na mabehewa wewe kweli pwagu

Wewe ndiye mwenye ushamba maana unategemea lugha moja ya Kiswahili ambacho chenyewe hakina maneno mengi ya msingi kwenye masuala ya uchumi.

Treni inaweza kuwa bila behewa na ikaitwa treni, kwa mfano ile inayotumiwa kwenye shunting.
Tatizo Kiswahili chenyewe magumashi na kinatumiwa sana na nyie wavivu, na ndio maana mpo nyuma hivi bila uelewa wa mambo mengi.

Unaposema "Kichwa cha treni" hayo ni maelezo ya maana ya neno locomotive, na sio mbadala wake.
Kama nilivyosema, nina uelewa wa ndani wa masuala ya reli, tatizo ni lugha yenyewe dhaifu na inakua tatizo kupata maneno yeke hata kwenye kamusi.

Kwa mfano, nimetafuta sana neno mbadala ya "Shunting", kuna siku niliandika ripoti fulani ya masuala ya reli ambayo nilitegemewa kuitafsiri pia kwa Kiswahili. Aisei nilihangaika kishenzi, lugha ya Kiswahili bado sana.
 
1620 wagons
40 coaches
56 trains but

Still some Tanzanians are making fuss about it.... SMH simkalale ama mjenge lenu!!!!

I have been informed that HBO is currently not in Tanzania so I will post the biggest spoilers of last night's GoT episode
aKqRDNO_460s_v1.jpg
 
An
Wewe ndiye mwenye ushamba maana unategemea lugha moja ya Kiswahili ambacho chenyewe hakina maneno mengi ya msingi kwenye masuala ya uchumi.

Treni inaweza kuwa bila behewa na ikaitwa treni, kwa mfano ile inayotumiwa kwenye shunting.
Tatizo Kiswahili chenyewe magumashi na kinatumiwa sana na nyie wavivu, na ndio maana mpo nyuma hivi bila uelewa wa mambo mengi.

Unaposema "Kichwa cha treni" hayo ni maelezo ya maana ya neno locomotive, na sio mbadala wake.
Kama nilivyosema, nina uelewa wa ndani wa masuala ya reli, tatizo ni lugha yenyewe dhaifu na inakua tatizo kupata maneno yeke hata kwenye kamusi.

Kwa mfano, nimetafuta sana neno mbadala ya "Shunting", kuna siku niliandika ripoti fulani ya masuala ya reli ambayo nilitegemewa kuitafsiri pia kwa Kiswahili. Aisei nilihangaika kishenzi, lugha ya Kiswahili bado sana.
Andika kijaluo basi
 
Wee popoma kiswahili hukijui unaandika uongo mtupu andika basi ata kwa kabila lako
 
Nina uelewa wa ndani kwenye masuala ya reli, hivyo sijajichanganya kwa kusema treni 56.
Mabehewa yalioagizwa ni 1,620, hivyo muache ujuha wa Kibongo.
Kaka samahani nieleweshe kitu kimoja,unaposema treni56 unakua unamaanisha nini labda.
 
Back
Top Bottom