Bora nisikilize pumba za tundu lissu kuliko za zwazwa kama ww....Wakati tuko bize kuchoma vifaranga vyao, kutaifisha kwa nguvu ng'ombe wao, wao wakajibu kwa kutoa fidia kwa wananchi wao na chenji iliyobaki wakanunua pipa jipyaaa,
Sisi tuko bize kununua wapinzani na kufanya chaguzi viini macho.....
taratibu broWakati tuko bize kuchoma vifaranga vyao, kutaifisha kwa nguvu ng'ombe wao, wao wakajibu kwa kutoa fidia kwa wananchi wao na chenji iliyobaki wakanunua pipa jipyaaa,
Sisi tuko bize kununua wapinzani na kufanya chaguzi viini macho.....
Mkuu, kupanga ni kuchagua, na kwa niaba yako umechagua (kwa sauti ya flan..)Bora nisikilize pumba za tundu lissu kuliko za zwazwa kama ww....
Ww ni mzwazwa na utabAki kuwa mzuzu......Mkuu, kupanga ni kuchagua, na kwa niaba yako umechagua (kwa sauti ya flan..)
Deni lao ni asilimia hAmsini na ama sitini na kama sikosei.....Kama wana deni kama Tz wajiandae kisaikologia!
Ukawa ya huku Tanzania haitaki na sisi tununue hizo ndege! Inafanya kila hujuma ili tusiweze kupata hizo ndege. Tukiwatandika watasema tunawaonea, tukiwaacha watasema tunawaogopa! Tufanyeje sasa?Source
Ukawa Washington