Usiishiwe kauli shosti, kwani nini kinachofanya mtushushie mkong'oto wa haja sie watoto wa wenzenu?
Hivi mkishatupiga halafu baadaye kidogo mnataka mambo flani zitasimama kweli?
Nimeshtushwa sana na suala hili hasa baada ya kuona mahojiano youtube, ya wanaume waliofanyiwa ukatili huo, wengine wakiwa usingizini, wanamwagiwa maji ya moto. Serikali ya Kenya inabidi ichukue hatua kali sana dhidi ya wahalifu hawa.