Kenya wanakwepa tunayopitia Tanzania

Kenya wanakwepa tunayopitia Tanzania

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
13,563
Reaction score
57,887
Taarifa kutoka Kenya zinadokeza kwamba Uhuru kamtosa William Ruto mbio za urais 2020. Ruto inasemekana sababu kubwa iliyofanya atoswe ni kushiriki mauaji ya watu mwaka 2007 baada ya kaamasisha umma kuwashambulia watu jamii ya kikuyu pia alitoa ushauri wa kutekwa na kakatwa kiganja kwa afsa wa Tume mwaka 2017.

Hivi vyanzo vya uchunguzi na usalama wamemshauri Uhuru asiunge mkono mtu ambaye idara ya usalama wa taifa inamtilia shaka juu ya kuwa na element za udicteta, pia ni kukwepa kuleta siasa za uhasama wa kikabila kwa kuwa amekuwa akiingiza watu wa kabila lake kwa nguvu serikalini. Kenya wameona mbali sana na ili ni somo kwa Kikwete.
 
Bora bhana wasije wakaambulia Dikteta uchwara
 
It's the opposite. Ruto ni kama Lowassa amewahi sana kutengeneza base yake wakati bado kuna Rais.
 
Mataifa ya Afrika yanaogopa mkenge tuliouingia waTanzania
 
Back
Top Bottom