Kenya wana katiba bora sana, angalia hii ya Bajeti ya Ikulu ya Kenya

BLACK MOVEMENT

JF-Expert Member
Mar 11, 2020
2,710
6,505
Kenya wana mtu ana controo bajeti, huyu ndie anaamua bajeti ya taasisi zote iwe Bunge au Ikulu au Mahakama ni independent na hawajibiki kwa mtu yoyote yule.

Sasa juzi kati Ikulu ya Oenya iliomba peaa zaidi, kwa ajili ya matumizi ya Ikulu, Mdhibiti wa Bajeti kachomoa.

Sasa Piga Picha Tanzania, je nani ana idhinisha bajeti zaidi ya Ikulu? ni Raisi mwenyewe au ni nani? Tukidai katiba mpya wajinga wanakuja na hoja za kipuuzi mno kwamba raia hawali katiba mpya.
FB_IMG_1708494225860.jpg
 
View attachment 2910787
Kahamie huko,
 
Tukidai katiba mpya wajinga wanakuja na hoja za kipuuzi mno kwamba raia hawali katiba mpya.

Katika kauli huwa za kingumbaru na kipumbavu, mojawapo huwa ni hii. Yaani nikisikia jitu linaitoa huwa nalidharau to the maximum.

Ukiwa mgeni nchi hii ukawasikia wanavyokomaa kuwa watanzania hawali katiba, unaweza kudhani basi hicho kinacholiwa wapo serious kuhakikisha watanzania wanakipata, ukitulia kidogo unabaini kumbe nacho ni kama katiba tu!
 
Kenya wana mtu ana controo bajeti, huyu ndie anaamua bajeti ya taasisi zote iwe Bunge au Ikulu au Mahakama ni independent na hawajibiki kwa mtu yoyote yule.

Sasa juzi kati Ikulu ya Oenya iliomba peaa zaidi, kwa ajili ya matumizi ya Ikulu, Mdhibiti wa Bajeti kachomoa.

Sasa Piga Picha Tanzania, je nani ana idhinisha bajeti zaidi ya Ikulu? ni Raisi mwenyewe au ni nani? Tukidai katiba mpya wajinga wanakuja na hoja za kipuuzi mno kwamba raia hawali katiba mpya.
View attachment 2910787
Wakuu wa mikoa na Wilaya huko wanateuliwa kutoka chama tawala au Kwa kuangalia wachawa
 
Fala mwingine huyu hapa... watanzania tumelogwa na kwelikweli badala ya kujadili hoja unakuja na UJINGA
Unakuta mtanzania anashupaza shingo mishipa inamtoka akijipambanisha Tanzania na Kenya, anaiona Kenya ni kama Malawi au Rwanda.

Kenya demokrasia wametuacha mbali sana, viwanda, elimu, technology n.k hiki kitu ukikisema ndo wanatoa majibu ya kipuuzi haya hayo alotoa jamaa hapo.
 
Kenya wana mtu ana controo bajeti, huyu ndie anaamua bajeti ya taasisi zote iwe Bunge au Ikulu au Mahakama ni independent na hawajibiki kwa mtu yoyote yule.

Sasa juzi kati Ikulu ya Oenya iliomba peaa zaidi, kwa ajili ya matumizi ya Ikulu, Mdhibiti wa Bajeti kachomoa.

Sasa Piga Picha Tanzania, je nani ana idhinisha bajeti zaidi ya Ikulu? ni Raisi mwenyewe au ni nani? Tukidai katiba mpya wajinga wanakuja na hoja za kipuuzi mno kwamba raia hawali katiba mpya.
View attachment 2910787
sasa hiyo inaeasaidia nini Wananchi kama sio kuwapa tabu zaidi 🐒

katiba ya kenya ni fujo na vurugu tupu kila gavana anajiona ni mkuu wa nchini, hawaheshimiani wao kwa wao, hawamuheshimu mkuu wa nchi, kutwa ni kunyimana fedha, kukomoana na kulaumiana tu, na wanapoelekea ni kuigawanya kenya katika nchi 47 kulingana na county zilivyo,🐒
 
NOT BAD TO ADOPT
VIPENGELE VIZURI, NA SIO LAZIMA MABADILIKO HAYA YAKAINGIZA TAIFA KWENYE, MBIO MBIO, JUST AN ANNOUCEMENT, GOVT EXPECT TO DO SO N SO....!
 
Unakuta mtanzania anashupaza shingo mishipa inamtoka akijipambanisha Tanzania na Kenya, anaiona Kenya ni kama Malawi au Rwanda.

Kenya demokrasia wametuacha mbali sana, viwanda, elimu, technology n.k hiki kitu ukikisema ndo wanatoa majibu ya kipuuzi haya hayo alotoa jamaa hapo.
wametuacha wap acha upotoshaji 🐒

Tz umeskia wap msimamizi wa uchaguzi amepotea amaokwatwa mtoni akiwa ameoza 🐒 labda apo wametuzidi sana.....
 
Back
Top Bottom