Kenya: Wamerikani Wa Tabiri Ushindi Wa Raila

Kenyan-Tanzanian

JF-Expert Member
Nov 7, 2006
302
2
MAONI YA WAAMERIKA KUHUSU USHINDI WA RAILA

Waheshimiwa Raila amekubalika na hata waMarekani wanajua Kibaki na mafisadi wake yao imekwisha....

http://www.washingtonpost.com/wp-dyn/content/article/2007/12/21/AR2007122102136.html?nav=hcmodule

HEBU CHEKINI HII PIA....

http://www.nytimes.com/2007/12/22/world/africa/22kenya.html?_r=1&oref=slogin

HALAFU MAALIZA NA HII VIDEO

http://video.on.nytimes.com/?fr_story=ecc3612525f26211e98d6958e621b4c200e63925ADVAIZA WA BILL CLINTON WA MAREKANI AWASILI KUPANGA CAMPAIGN YA RAILA

http://www.youtube.com/watch?v=vyprn8P8FaU
 
Una maana Raila atakuwa puppet wa marekani?
 
Kutabiliwa na Wamarekani sio kama ni kibaraka wa Wamarekani la hasha.Tunachotaka nikuwa uchaguzi uwe huru na wa haki na mtu ashinde kulingana na watu wanavyo mpenda.
Kubwa zaidi wakenya wamchague kiongozi ambaye anauchungu na taifa lao na sio mtu ambaye ataendekeza ukabila,udini na chuki za watu.
 
Kuna Duru zinasema Marekani au Joji Kichaka kasupport sio kwa sababu anaipenda Kenya au kilichotokea bali anajua itakua na negative impact kwa Obama. Kwamba kama hata huko kwa baba yake hakuna demokrasia je yeye atakuaje na democracy.

wanasema fuatilia siasa ya marekani kwa sasa uone jinsi Obama atakavyopata criticisms kutokana na yaliyotokea Kenya. wait and see
 
Lakini wamarekani wamesha-withdraw pongezi zao. Labda message already sent?
 
Kuna Duru zinasema Marekani au Joji Kichaka kasupport sio kwa sababu anaipenda Kenya au kilichotokea bali anajua itakua na negative impact kwa Obama. Kwamba kama hata huko kwa baba yake hakuna demokrasia je yeye atakuaje na democracy.

wanasema fuatilia siasa ya marekani kwa sasa uone jinsi Obama atakavyopata criticisms kutokana na yaliyotokea Kenya. wait and see

Hapana, siasa za marekani haziendeshwi kwa kiwango cha chini namna hiyo. Marekani kiasili ni nchi ya wahindi wekundu, wengine wote ni wametokana na wahamiaji tu akama alivyo Obama, Kennedy, Bush, Clinton na kadhalika. At least, wamarekani ni wastaarabu kiasi cha kutosha kuweza kupingana kutokana na issues za nchi siyo kupingana kutokana na ukoo wa mgombea. Hata wale wanaoendesha kampeini za ki-racist kama ilivyotokea kule Tennesee kwenye kuwania kiti cha Senate, hawendeshi kwa kugeneralize ukoo wa mtu bali wana-single out fact kuhusu candidate mwenyewe.
 
Back
Top Bottom