Kenya wafunga Politician kwa Prison kisa kumtukana Uhuru

Acha kujitoa ufaham kaka maandamano ya kurudia uchaguzi watu wangapi walikufa Kenya ni miaka ya 80? ninyi mko nyuma sana, subiri 2022 ndo utaona hamko tu 80 bali old stone age.

Hito ndo mwaka wa 80? Ha ha ha

Maandamano ya Kikenya huwa mtiti balaa, ndio maana tuna huu uhuru, yaani watu hujitoa mhanga na kukubali wafe lakini tusipungukiwe na kurudishwa huko nyuma ambako nyie mko kwa leo. Kwenu maandamano yakiitwa yaani polisi hubaki wakiandamana wenyewe, barabara zote haonekani mtu, labda walio nje ya nchi, hao huko nje ya nchi mbali kama Marekani inabidi wafiche nyuso zao maana ndugu zao nyumbani watakipata cha moto, North Korea yaani.
 
Nyie mko nyuma sana, probably mna katiba mzuri lakini mko nyuma kinoma. Big population ni uncivilized, siye watu walikuwa wanakubali kufa kijinga kijinga hivyo ni wale wa stone age kama chief Mkwawa na Mangi Meli.

Unaona hiyo locust iliyowavamia ni dalili mbaya sana, going forward by 2022 msimchanganye Ruto na Kaleinjing wake. uncivilized people ndo hua wanakubali kuuliwa na kujitoa mhanga kama alshabab, wherever unapoona hizo sign jua hapo unaishi na wajima very dangerous society
 
Kwa Tanzania ili mnusie level ya Kenya, itabidi wengi wenu muwe kama Zitto Kabwe na Tundu Lissue, hao wawili kidogo wamekaribia kufikia level yetu, sema ndio iliwafanya mumfukuzie Lissu kwa marisasi 38, halafu Zitto huwa naona mnamuogopa, nahisi jamaa kajilinda vyema maana mtu wa Kigoma.
Nimesoma sehemu Zitto anapambana msipewe msaada na benki kuu ya dunia, mumemsema kwa matusi yaani....hehehe
 
Kama vile tu prof Saitoti alivyoshushwa na Muguna Miguna kujipata uhamishoni kadungwa sindano. Ha ha ha
 
Taifa la referendum kila siku. Ha ha ha hapo mnapigwa changa la macho tu nyie wajima. Namkubali sana Miguna, siyo mjima huyu jamaa. Ha ha ha
Ila nyie wengi wajima sana, mko kwa stone age mnakimbizwa tu na familia mbili wakigawana keki za taifa. Mngekuwa mnajitambua mngekuwa angalau mmeshavamia shamba za kinyatta japo mpate kidogo ardhi. Yani ardhi hamna familia mbili zimetapeli, huku kwenye kwenye siasa nako hamna mnapembeshwa kama gari moshi, harafu unajipiga piga kifua eti mko juu.

1580069757566.png
 
View attachment 1336260

Huwa napenda jinsi MaCCM mnawakubali wanasiasa wa upinzani Kenya, tatizo wa kwenu mnawaminya badala ya kuwapa fursa wafikie level ya hawa wetu.
 
Back
Top Bottom