Sisi tunapiga blah blah, reli kongwe iliyojengwa na wakoloni imelala inaoza, tunajiotesha ndoto ya treni ya kwenda kasi Dar-Mwana, Reli ya Tanga-Musoma, Uganda, Reli ya Dar-Isaka-Kigali-Burundi, hata mwaka wa kuanza haujulikani!

Chini ya utawala wa ccm Tanzania source of cheap raw material and fuel. Why cant we mfano convert a fraction of our natural gas to fertilizer , boost agriculture feed EA and beyond.
ndiyo mambo yalivyo wakati mipango itawekwa ya kujenga viwanda vya kuprocess gesi NGO yatainuka NA matamshi carbon footprint. Halafu pia LAPPSET inapata Pingamizi kutoka kwa makampuni NA mashirika ya Misaada.