tena hizo $200 mbona ndogo sana........kwanza hawa walitakiwa walipe kutokana na vichwa vilivyomo kwenye hizo van zao na pile ada iwe $500 minimum.............ukiangalia tofauti ya nauli za ndege kutua DIA/KIA Vs NBO ndio utagundua kwa nini napendekeza hiyo pesa............Watanzania nilazima tuwe strong kwenye ku-protect interest zetu........