Kenya to deport disabled Tanzanians | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kenya to deport disabled Tanzanians

Discussion in 'International Forum' started by Ab-Titchaz, May 15, 2010.

 1. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #1
  May 15, 2010
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  Deportation order saves stranded foreigners

  [​IMG]

  Some of the 19 disabled Tanzanians who were arraigned in a Nyeri court for being in Kenya illegally, on Friday  By Francis Ngige

  A Nyeri court has ordered 19 disabled Tanzanians to be repatriated.

  The foreigners allegedly travelled to Kenya in pursuit of wheelchairs before a ‘well-wisher' who had promised to assist them obtain the facilities abandoned them in the town.

  Kwaja Musekwa and 18 others said they had considered their trip to Kenya a turning point of their lives but little did they suspect they could be landing in fresh troubles.

  They were abandoned in a shanty in Nyeri where police arrested them for being in the country without requisite papers.The foreigners, some of them minors, were arraigned in court pn Friday where Nyeri Chief Magistrate Stella Muketi ordered their deportation.

  On hearing the ruling, the foreigners could not hide their joy because at last they would find their way back home. They termed the ruling godsend, as they clapped to thank the magistrate.

  Shocked public

  "Asante sana. Twataka kurudi nyumbani, (Thank you because at last we will go home)," one of them said after the ruling.

  Outside the court, they narrated their plight to a shocked public. They said before their arrest, they had stayed in the house for four days, surviving on food donations from the neighbourhood.They were a disappointed lot after finding themselves in a foreign land without the essential tools they were desperately in need of.

  The ‘wellwisher' had duped them to believe a charitable organisation in Kenya would donate the wheelchairs to them. However, they said they could not remember the identity of their contact person.

  It was alleged the charitable organisation was located at Kabete in Nairobi. The ‘wellwisher' had promised they would get the wheelchairs and then travel back home but, instead, they found themselves in a desolate house in the sprawling Majengo slums in Nyeri. They had travelled from Shinyanga Province in Tanzania.

  "The man who brought us to Kenya said we should wait in that house as he made arrangements to have the wheelchairs delivered," said one of them, who identified himself as Musa Juma.

  Only four of them could walk. The rest could only crawl and others had to be carried to court by the orderlies.

  "Our contact (who is believed to be a Kenyan) had earlier taken our photographs and promised to assist us get wheelchairs," said Musekwa.

  Musekwa said the contact had also confirmed the availability of the wheelchairs. Relatives had paid their fares to Nairobi, she said.

  http://www.standardmedia.co.ke/InsidePage.php?id=2000009558&cid=4&ttl=Deportation order saves stranded foreigners
   
 2. Nemesis

  Nemesis JF-Expert Member

  #2
  May 15, 2010
  Joined: Feb 13, 2008
  Messages: 3,844
  Likes Received: 1,110
  Trophy Points: 280
  huu, utapeli wa aina hii kwa walemavu ni mbaya sana.
   
 3. bona

  bona JF-Expert Member

  #3
  May 18, 2010
  Joined: Nov 6, 2009
  Messages: 3,796
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  what did they expect from kenyans
   
 4. Mwana wa Mungu

  Mwana wa Mungu JF-Expert Member

  #4
  May 18, 2010
  Joined: Aug 14, 2008
  Messages: 1,007
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  wacha tu waje kwetu, wameiandika hii vibaya sana kiasi kwamba tz tu ndo tunao watu wenye ulemavu, walitakiwa waseme wanawarudisha kwao watz, na si walemavu, unyanyapaa huuu.
   
 5. Wacha1

  Wacha1 JF-Expert Member

  #5
  May 18, 2010
  Joined: Dec 21, 2009
  Messages: 12,766
  Likes Received: 920
  Trophy Points: 280
  Ubalozi wa Tanzania Nairobi umekamilisha utaratibu wa kuwarudisha hawa Watanzania nyumbani? Je waliwezaje kwenda Kenya na kuvuka mpaka bila kuwa na fweza za kutosha? Idara ya Uhamiaji inafanya nini kuthibiti mipaka yetu na nchi zote jirani?
   
 6. M

  MkamaP JF-Expert Member

  #6
  May 18, 2010
  Joined: Jan 27, 2007
  Messages: 7,313
  Likes Received: 1,452
  Trophy Points: 280

  Mkuu si unaona walilipiwa nauli na ndugu zao, isitoshe hao ndugu zao wenda walilipa fedha zingine za ziada jamaa ndo kazitapeli, sema wakenya wameogopa kuandika jamaa alitokemea na fedha za walemavu.

  Hai ingii akili kwamba jamaa awachukue tu akawatelekeze huko, labda kama alikuwa na mpango wa kuwala nyama.
   
 7. The Quonquerer

  The Quonquerer JF-Expert Member

  #7
  May 19, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 781
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0


  That's a clear testimony that there should never be any kind of cooperation with a Nyang'a..wakenya wana laana, kudhulumu hata walemavu, ndiyo maana hata hawataisha kuchinjana, bora wanendelee wao kwa wao..inatia moyo kuona wanafurahia kurudi nyumbani. Wangekuwa ni wakenya wamekuwa deported mngesikia kelele, wao hawataki kurudi kwao..lo ni kinyume. Wakenya wanaoishi hapa na kufanya kazi illegally ni wengi, mamlaka zinazohusika ziwafungishe virago hawa Manyang'as.
   
 8. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #8
  May 19, 2010
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  tukifikiri kwa undani ni kuwa hawa jamaa walilazimika kuomba msaada kwa wakenya baada ya kushindwa kupata usaidzi Tanzania.

  ikiwa hata walemavu Tanzania hawana msaada, nchi hii ina faida gani kwetu?
   
 9. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #9
  May 19, 2010
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 0
  sikubaliani mkuu.
  hawa wenzetu huenda waliona huko kenya wanaweza kutoka, akili ya kawaida haiwezi kumtuma mtu agharimie nauli kwenda kenya kufuata wheelchair ambayo hata hapa bongo mafundi mchundo wanaweza kuichonga kwa laki2!!! Na huyo tapeli aliwaahidi mengi ili kufanikisha utapeli wake. Tanzania ina wasamalia wengi sana wanaoweza kusaidia wheelchair, achana na serikali, hata wewe naimani unaweza kumpatia kiti mlemavu japo mmoja (bila kukiandika (donated by Gaijin). Serikali ya kenya imefanya haki kabisa kuwarudisha nyumbani hawa ndugu zetu, hawa ni wahamiaji haramu kama wahamiaji wengine.
   
 10. Faru Kabula

  Faru Kabula JF-Expert Member

  #10
  May 19, 2010
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 10,655
  Likes Received: 2,897
  Trophy Points: 280
  Yeah, ni wahamiaji haramu na wanastahili kurudishwa nyumbani. Iwapo tu hapa hapa Tz tunawarudisha ombaomba 'makwao' huko mikoani, je iweje serikali ya Kenya isiwarudishe Tanzania? Ni sawa kabisa, inabidi tufikiri si kulaumu kila kitu.
   
 11. N-handsome

  N-handsome JF-Expert Member

  #11
  May 19, 2010
  Joined: Jan 23, 2008
  Messages: 2,317
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 160
  :target:
   
 12. Bon

  Bon Senior Member

  #12
  May 19, 2010
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 107
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  after all walifata nini kenya?
   
 13. Abunwasi

  Abunwasi JF-Expert Member

  #13
  May 22, 2010
  Joined: Jun 25, 2009
  Messages: 3,166
  Likes Received: 1,064
  Trophy Points: 280
  Bona unafika mbali ndugu yangu unyama ni unyama tu hauna utaifa wala ukabila
   
Loading...