Kenya:This is why the EAC won't work.

Ab-Titchaz

JF-Expert Member
Jan 30, 2008
14,631
4,225
Wakuu,

Hivi majuzi serikali ya Uingereza iliamua kusitisha misaada/mikopo iliokua
ikitumiwa katika elimu ya bure na serikali ya Kenya (imekua ikijisifia
sana). Chanzo haswa cha sababu hii ni kwamba kuna vigogo fulani ndani
ya Wizara ya elimu ambao walikua wanaiba hizo hela ambazo target yake ilikua ni kuwasaidia vijana wa kikenya katika maswala ya kusakanya elimu.

Ishu hii imeleta kelele katika siasa za Kenya na watu wanamshikia bango
waziri wa Elimu na katibu wake wa kudumu waeleze ilikuakuaje mpaka
mamilioni ya hela yakapotea bila watu kujua...la sivyo wajiuzulu. Hata
hivyo kama ilivyo kawaida ya hawa mabwanyenye/mabepari, jamaa
wanajitia eti wameuchuna tu hawasikii wananchi wanavyosema. Kisha
wakinyimwa viza za kusafiri ulaya kula hizi hela wanakimbilia msemo eti
"Kenya is a sovreign nation that cannot be dictated to". Hela yenyewe ni
ya kusiaidiwa kisha mnaanza uwizi wenu wa kihuni!!! Hii serikali inaudhi na
kutia kichefuchefu kila kukicha jamani.

Rais Kibaki naye kama ilivyokawaida yake kauchuna tu anawacha maji
maji yaende mkondo wake mpaka pale mambo yatakapoharibika. Afu unashangaa kwa nini hawa jamaa wanakimbilia EAC kwa ari na kwao kunanuka kiasi hiki..Gaademm!

Kweli Kenya kazi ipo.

Exposed: How officials looted schools' millions

PIX4.jpg

By DAVID ADUDA​

The full details of the millions of shillings lost through dubious activities at the Education Ministry can be revealed.

A confidential report prepared by Finance ministry reveals that the Kenyan taxpayer and donors supporting education programmes sunk Sh178 million into a hole run by a well-oiled network of senior ministry officials and school teachers.

However, independent investigations indicate that the sums lost run into billions of shillings.

Losses detected

The Finance ministry report entitled: "In-depth Risk Based Fiduciary Review, Kenya Education Sector Support Project", covers only losses detected in May and June this year, and October last year.

It covered 187 institutions as follows: primary 96, secondary 68, technical colleges 11, special schools 12.

This is a far cry from the actual number of the country's public educational institutions comprising 20,000 primary, 4,000 secondary, 37 technical training institutions, and 116 special learning centres.

During those three months, the government and donors lost Sh103 million in the form of imprest given to senior education officials for activities that never took place.

In total, 17 senior officials and seven district education officers have been suspended over the sleaze, according to Education minister Sam Ongeri.

Some of the top officials mentioned adversely in the report with regard to the questionable dealings are acting director of secondary education, Mrs C. Ondiek, deputy directors Patrick Aghan, Martin Orwa and E.M. Magwa, senior education officers Kenneth Kabetu, Salome Yatich, Mutuaru Mukindia, Benson Kahara, Petty Kimweli, Omusonga Okwach, and Fredrick Odhiambo.

Others are assistant director of education Francis Kimosop, senior quality assurance officer Thomas Omuga, district education officer Ann Shiundu, senior clerical officer Nyaga Muthuri and ICT officer Paul Odhiambo.

Also mentioned are assistant accountant John Mbogo, and a secretary, Ms Dorothy Ndia, among others.

Another Sh75 million was lost through roll-out of programmes undertaken through an initiative called Kenya Education Sector Support Programme.

Introduced in 2005, the programme gets funds pooled by donors to support Kenya Government backed education programmes. It seeks to eliminate duplication and misuse of funds.

But as investigations reveal, the programme provided a vehicle for siphoning funds.

http://www.nation.co.ke/News/-/1056/826874/-/vo5w9o/-/index.html
 
Africans wana laana..hela za shule unakula? wapelkwe jela...east africa must work...sisi kama jumuia tuwabane wezi popote..shame
 
PIX3.jpg

Prof Ongeri (right) confirmed on Tuesday that 26 senior ministry officials were being investigated for the theft of the Free Primary Education Programme

PIX5.jpg

PS in the Ministry of Education Prof, Karega Mutahi
 
Wakuu,

hio ya elimu ni skendo ya kwanza. Ya pili inahusiana na ardhi ilionyakuliwa
na mabwanyenye kama kina Moi na familia zao. Mashamba waliyaiba na
sasa eti lazima serikali iwape fidia...for what? Hapa uanajua wazi Kibaki
anakula sahani moja na hawa watu.

Huge payout for Mau big shots

PIX1.jpg

By MURITHI MUTIGA

In Summary

  • Senior government official confirms that Sh2 billion will be paid out in compensation to political heavyweights who acquired land in the Mau Complex

Political heavyweights who were allocated thousands of hectares of forestland are set to receive up to Sh2 billion in compensation, the Sunday Nation can reveal.

The big shots, who were the main beneficiaries of the excision of the Mau forest complex, will be paid for their vast holdings in the forest because they have title deeds proving ownership.

The payouts are likely to be controversial because most of the big shots who own land in the Mau are well connected Moi-era politicians and civil servants who used their offices to acquire the land irregularly, according to the Ndungú Commission of Inquiry.

Former Kabete MP Paul Muite described the payment plan as an outrage.

“One day when power is in the hands of reformers, those who are paying and those who are receiving will have to refund the money to ordinary Kenyans.”

Kenya Anti-Corruption Commission board member Billow Kerrow said the proposed compensation package would set a bad precedent.

“The trend emerging is that it has become a reality in this country that big time corruption is no longer deemed to be social injustice. You will be punished for small-time corruption but when you are in the big league, you are sure you will get away with it,” said Mr Kerrow.

A valuation report prepared for the government by the United Nations Environment Programme places the value of the land for which it could find titles at Sh1.5 billion.

That figure excludes the value of buildings constructed on the land, which could push the value much higher. It also does not take into account the value of land holdings registered in the names of companies whose files cannot be traced at the registry.
A senior government official, who declined to speak on the record on the matter because an official statement will only be released after the Cabinet meets this week, confirmed the government would pay all those with titles.

Among those named as beneficiaries of the allocations is former President Moi who is associated with the extensive Kiptagich tea estate in the Mau.

The value of the land, including tea bushes, is placed at between Sh150,000 and Sh300,000 per acre. If the compensation plan goes ahead, he will receive up to Sh760 million.

Three companies associated with Mr Moi’s former personal assistant Joshua Kulei, Sian Enterprises, Chemusiam Farm and Chemusian Tea Estate Ltd, are set to receive over Sh313 million.

Other beneficiaries named in the report are Cabinet minister Franklin Bett, who is listed together with two others as owning holdings worth Sh151 million.

Former Baringo District Kanu official Hosea Kiplagat is in line to receive Sh184 million while former Internal Security Permanent Secretary Zakayo Cheruiyot’s land is valued at Sh40 million.

http://www.nation.co.ke/News/politics/-/1064/827424/-/wtk8mbz/-/index.html
 
[ame]http://www.youtube.com/watch?v=jYFH0AgJnTw&feature=player_embedded[/ame]
 
wewe ni mtu wa nchi gani?
siku zote mi najua we mkenya...
kama sio mkenya,why uko so interested na habari za
kenya???????not uganda,not burundi.
why????????????

Nimeishi sehemu na nina familia huko.
Sasa hebu tujadili mada husika.
 
Kuwaibia wananchi ndio haswa kitu ambacho watawala wa kiafrika wanaki-clinch into. Hili si suala la ajabu, na ni bahati mbaya kama ulivyosema Mwalimu AB, inashangaza kama nchi mojamoja za EA zinashindwa kuliondoa hili tatizo, tutakapoungana in whateever terms it means wataungana mafisadi kutoka nchi 5, hali ya wananchi wanyonge itakuwa ktk hali gani? Inasikitisha.
 
Wakuu,

Hivi majuzi serikali ya Uingereza iliamua kusitisha misaada/mikopo iliokua
ikitumiwa katika elimu ya bure na serikali ya Kenya (imekua ikijisifia
sana). Chanzo haswa cha sababu hii ni kwamba kuna vigogo fulani ndani
ya Wizara ya elimu ambao walikua wanaiba hizo hela ambazo target yake ilikua ni kuwasaidia vijana wa kikenya katika maswala ya kusakanya elimu.

Ishu hii imeleta kelele katika siasa za Kenya na watu wanamshikia bango
waziri wa Elimu na katibu wake wa kudumu waeleze ilikuakuaje mpaka
mamilioni ya hela yakapotea bila watu kujua...la sivyo wajiuzulu. Hata
hivyo kama ilivyo kawaida ya hawa mabwanyenye/mabepari, jamaa
wanajitia eti wameuchuna tu hawasikii wananchi wanavyosema. Kisha
wakinyimwa viza za kusafiri ulaya kula hizi hela wanakimbilia msemo eti
"Kenya is a sovreign nation that cannot be dictated to". Hela yenyewe ni
ya kusiaidiwa kisha mnaanza uwizi wenu wa kihuni!!! Hii serikali inaudhi na
kutia kichefuchefu kila kukicha jamani.

Rais Kibaki naye kama ilivyokawaida yake kauchuna tu anawacha maji
maji yaende mkondo wake mpaka pale mambo yatakapoharibika. Afu unashangaa kwa nini hawa jamaa wanakimbilia EAC kwa ari na kwao kunanuka kiasi hiki..Gaademm!

Kweli Kenya kazi ipo.

Exposed: How officials looted schools’ millions

PIX4.jpg

By DAVID ADUDA​

The full details of the millions of shillings lost through dubious activities at the Education Ministry can be revealed.

A confidential report prepared by Finance ministry reveals that the Kenyan taxpayer and donors supporting education programmes sunk Sh178 million into a hole run by a well-oiled network of senior ministry officials and school teachers.

However, independent investigations indicate that the sums lost run into billions of shillings.

Losses detected

The Finance ministry report entitled: “In-depth Risk Based Fiduciary Review, Kenya Education Sector Support Project”, covers only losses detected in May and June this year, and October last year.

It covered 187 institutions as follows: primary 96, secondary 68, technical colleges 11, special schools 12.

This is a far cry from the actual number of the country’s public educational institutions comprising 20,000 primary, 4,000 secondary, 37 technical training institutions, and 116 special learning centres.

During those three months, the government and donors lost Sh103 million in the form of imprest given to senior education officials for activities that never took place.

In total, 17 senior officials and seven district education officers have been suspended over the sleaze, according to Education minister Sam Ongeri.

Some of the top officials mentioned adversely in the report with regard to the questionable dealings are acting director of secondary education, Mrs C. Ondiek, deputy directors Patrick Aghan, Martin Orwa and E.M. Magwa, senior education officers Kenneth Kabetu, Salome Yatich, Mutuaru Mukindia, Benson Kahara, Petty Kimweli, Omusonga Okwach, and Fredrick Odhiambo.

Others are assistant director of education Francis Kimosop, senior quality assurance officer Thomas Omuga, district education officer Ann Shiundu, senior clerical officer Nyaga Muthuri and ICT officer Paul Odhiambo.

Also mentioned are assistant accountant John Mbogo, and a secretary, Ms Dorothy Ndia, among others.

Another Sh75 million was lost through roll-out of programmes undertaken through an initiative called Kenya Education Sector Support Programme.

Introduced in 2005, the programme gets funds pooled by donors to support Kenya Government backed education programmes. It seeks to eliminate duplication and misuse of funds.

But as investigations reveal, the programme provided a vehicle for siphoning funds.

http://www.nation.co.ke/News/-/1056/826874/-/vo5w9o/-/index.html
ACHENI KUPOTOSHA MBONA HIYO RUSHWA IPO PIA TANZANIA? MARA NGAPI WAKINA PATEL/Vlambani WAKISHIRIKIANA NA JESHI WANAIBA AU MARA NGAPI FEDHA HUPOTEA WIZARA YA ELIMU? AU UMESAHAU MAMBO YA AKINA MUNGAI WIZARA YA ELIMU? FEDHA NGAPI ZILIPOTEA KAKA?
 
Swali la Ufisadi si unique to kenya,lipo hapa Tanzania na believe me linaendelea at alarming rate.
 
Kuwaibia wananchi ndio haswa kitu ambacho watawala wa kiafrika wanaki-clinch into. Hili si suala la ajabu, na ni bahati mbaya kama ulivyosema Mwalimu AB, inashangaza kama nchi mojamoja za EA zinashindwa kuliondoa hili tatizo, tutakapoungana in whateever terms it means wataungana mafisadi kutoka nchi 5, hali ya wananchi wanyonge itakuwa ktk hali gani? Inasikitisha.

Mtani wangu,

thats my exact point. Iwapo hatuwezi kuhimidi hii tabia within the
borders of one country, iwe Bongo,Kenya au Uganda, basi hio EAC
will be nothing but a gathering of likeminded birds.

Hao Kenya kama wanavyotaka kututambia ni kwamba they are "better"
than Tanzanians lakini ukiangalia ishu kama hizi unaona tuko sawa tu
and if anything jamaa wanataka kuwahi ardhi na nyenzo zengine za
vitega uchumi.

All I'm saying ni tuwe waanagalifu kabla hatujaingia muungano because as
you can see once we are in itakua taabu kujiondoa au kufanya mabadiliko
ya maana yenye kujali maslahi ya wananchi. Ukiuliza hapo baadae
utaambiwa sahihi tayari zipo kwenye mikataba na ukiangalia who the
signatories were, inakua men of questionable characters with no noble
intentions....na hapo ndipo tutakapokua tumeliwa be it Kenyans, Ugandans
or Tanzanians.

...na ninaposema 'tumeliwa' naamanisha walalahoi na kina yakhe kama
mie na weye.

Baaden.
 
ACHENI KUPOTOSHA MBONA HIYO RUSHWA IPO PIA TANZANIA? MARA NGAPI WAKINA PATEL/Vlambani WAKISHIRIKIANA NA JESHI WANAIBA AU MARA NGAPI FEDHA HUPOTEA WIZARA YA ELIMU? AU UMESAHAU MAMBO YA AKINA MUNGAI WIZARA YA ELIMU? FEDHA NGAPI ZILIPOTEA KAKA?

Geza ulole,

Sio lengo kupotosha bali kuonyesha kua kama hawa ndio vongozi wetu,
be it Kenya,Uganda ama Tanzania, basi walalahoi tumeumia. Muhimu ni kua
hawa viongozi wawe watu wasafi na wenye hekima ya kuona maslahi ya
wananchi kama priority na sio njaa zao.
 
East Africa tumekwisha, huku rais Kibaka, huku rais Kiwete, unategemea nini?
 
Kisha kuna hii mpya inayofoka moshi na kutema cheche katika body politik
ya Kenya. Raila anapigwa vita na kina Uhuru na Ruto (vibaraka wa Moi) for
no reason at all. Agenda yao ni selfishness and willingness to protect their
ill gotten wealth at all costs. If unity is so elusive there and all political
calculations are based on tribal arithmetic, how do we expect the EAC to
be any different?

Alliances: Battle lines drawn for 2012

hmpg211209_01.jpg

Deputy Prime Minister Uhuru Kenyatta and Agriculture Minister William Ruto at the Mvita grounds rally-cum-fundraiser on Saturday.

By Athman Amran and Peter Opiyo

Political alliances are quickly forming and the battle lines for the next General Election are drawn.

This became clear at the Saturday Mvita meeting, where Prime Minister Raila Odinga and the 2012 election were the main subjects, although speaker after speaker insisted it was a fundraiser. It is now evident that the alliance bringing together Vice President Kalonzo Musyoka, Deputy PM Uhuru Kenyatta and Agriculture minister William Ruto, will be pitted against Raila in what is promising to be a dramatic political contest.

Ruto and Tourism Minister Najib Balala, who hosted the Saturday fundraising for elders, have differed with ODM leader Raila, and efforts to reconcile them have not borne fruit. The Mvita Grounds meeting was a political counter to another held in Tononoka Grounds by ODM leaders and addressed by Raila. On that same day,

Ruto and Balala addressed a rally in Kapenguria, hosted by Cabinet minister Samuel Poghisio, Kalonzo's political ally.

That President Kibaki is serving his second and last term in office has raised the stakes in an open race and Ruto, Uhuru and Kalonzo know that the man to beat in 2012 is Raila.

Politicians harbouring presidential ambitions realise that because Raila coordinates the functions of ministries, he has been taking credit for Government programmes as voters increasingly see him as the implementer. This, analysts say, seems to be informing early campaigns by those who realise that the time to check Raila is now.

Repackage themselves

Political scientists and politicians say the three are also out to repackage themselves as leaders who are out to pursue development while at the same time portraying their rivals as only intent on politicking....

http://www.standardmedia.co.ke/InsidePage.php?id=1144030948&cid=4&ttl=Alliances:%20Battle%20lines%20drawn%20for%202012

P.S. Huyo jamaa kushoto mnaona alivyokwiva macho?...Msuba huo nonstop!
 
Back
Top Bottom