Sasa kama wanaongea mambo ya kuiga maroon commandoes wamewaiga vipi les wanyika na waliwatangulia kimuziki? wakianza muziki hata sidhani les wanyika kama kikundi walikuwa wamejitosa ulingoni, labda simba wanyika.
Ama hukumpata Habel kifoto akituangushia?