wiseboy.
JF-Expert Member
- Aug 11, 2014
- 2,931
- 4,549
Ndugu zangu kwa yeyote ambaye amewahi kuishi Kenya hawezi kupingana nami kuwa nchi hiyo ina maisha magumu kuliko mataifa yote ya East africa, ukubwa wa uchumi wao ni currency na si maisha ya mtu mmoja mmoja, ardhi huwezi kupata kama wewe ni maskini tofauti na hapa kwetu ambako tunamiliki maelfu ya ardhi and yet we're bankrupted, Kenya kuna ukabila wa mauti.
Nairobi maisha ni magumu kuliko maelezo, Kenya huwezi kumuomba mtu hela ya kula tofauti na hapa kwetu ambako unakutana na mtu na humjui anakupa hata buku mbili ya msosi, Kenya usalama ni Ziro, kila mwezi utasikia alshabab waua police 20 Kenya.
Sisi hapa Tanzania hawatuwezi, miaka ya nyuma wasomali walivuka mpaka wakaingia Tanzania kufanya ugaidi, wakampiga risasi hadi OCD wa Loliondo, kilichowakuta hadi leo wamekoma, kifupi Kenya ni taifa dhaifu linalojaribu kujigamba in vain, ndio maana katika shirikisho la East africa walitamani sana wapate ardhi ya Tanzania lakini wakakwama, Kenya is a very weak nation.