Kenya SGR Phase 2A - Nairobi - Naivasha

MwendaOmo

JF-Expert Member
Dec 16, 2013
774
723
Baada ya kumaliza Phase 1, ni wakati wa kufuatilia phase 2 of the SGR project. Kwa wale mlio na picha na video, na facts, naomba mlete kwenye uzi huu ili tuweze kufuatilia kama tulivyofuatialia Phase 1.



Update 1
Yale tunayoyajua:

1. Kandarasi ilipewa kwa kampuni ya kichina inayoitwa China Road and Bridge Corporation ambayo ilitengeneza phase 1

2. Itagharimu Taifa la kenya USD 1.483 Billion kutoka

3. Itakuwa na daraja ya urefu wa 6.5 Kilometres amabyo itapita kwa Nairobi National Park

4. Ujenzi Ulitarajiwa Kuanza Mwezi Jana.

Kenya, Chinese firm sign pact for Naivasha-Malaba SGR project - Capital Business

This comes after the Cabinet approved signing of the commercial contracts between Kenya Railways and China Communications Construction Company.

The four commercial contracts for the development of the four elements of the project include Naivasha- Kisumu, Kisumu-Malaba, Kisumu Port Development and Modernization and expansion of the Inland Container Depot at Embakasi in Nairobi.

Kenya is constructing a Standard Gauge Railway between Mombasa and Malaba as part of the East African Community protocol for the development of an SGR connecting the port of Mombasa to Kampala, Kigali and Juba.

The entire network is supposed to be in operation by December 2018 and member states are working towards meeting the timelines of the directive.

So far the first phase of the project from Mombasa to Nairobi is 75 percent complete, to be finalised in June 2017 while the second phase of the project from Nairobi to Naivasha is set to begin in June 2016.

Phase 2 (Nairobi-Malaba) has been divided into three sub-phases as follows: Phase 2A Nairobi-Naivasha
Phase 2B Naivasha- Kisumu including the development of a new high capacity port at Kisumu and Phase 2C Kisumu-Malaba.

The government has secured a loan from the Government of the Peoples Republic of China to support the development of Phase 2A.

The total contract price for this section is US$ 1.5 billion (Sh150billion).

The signing of these contracts valued at US$ 5.4 billion marks yet another significant milestone regarding the Kenya – China cooperation for the mutual benefit of the peoples of the two countries.

During the bilateral talks held between President Uhuru Kenyatta and President of the Peoples Republic of China on the sidelines of the China Africa Forum (FOCAC) in Johannesburg South Africa in December 2015, the two presidents reinstated their commitment to deepen the cooperation between the two states for the mutual benefit of the citizens of the two countries.
 
Baada ya kumaliza Phase 1, ni wakati wa kufuatilia phase 2 of the SGR project. Kwa wale mlio na picha na video, na facts, naomba mlete kwenye uzi huu ili tuweze kufuatilia kama tulivyofuatialia Phase 1.




Vipi Kisumu, inafika lini? Au huko siyo Kenya?
 
Vipi Kisumu, inafika lini? Au huko siyo Kenya?

Kisumu pale tunajenga bandari kubwa kwa ajili ya nyie watu wa Kolominje, Mwanza. SGR itawakuta tu msijali, naona kila siku unalialia Kisumu, awamu yenu ni phase 2B halafu baada ya hapo tutaelekea awamu ya kumpa Museveni kwenye phase 2C.
 
Back
Top Bottom