Kenya Seeks Big Airport for Obama

Kwa Tanzania kwa akili zetu za nazi ndio tunaweza kuiga iga sijui Sogwe interntional Airportt. Kwa nege gani hizo? Hata zito ijitahiid Watanzani wangapi wana uwezo wa kutumia hizo airport.? ATCL wana nge ngapi?

Mi nadhani Tanzania tungejenga Intenational Railway network and stations. Mwanza, Kigoma Mbeya. Itapendez safari kati ya Dar Kgm na mwanza ikiwa less than 12 hrs. na kwa mizigo ikawa less thn 24hrs.

Kwa Tanzania tulishaharibu kwenye anga , Railway networks should be priority kwa serikali na sio AIR transport. mambo ya anga waache watu binafsi .

Nashangaa kuona wanaacha TAZARA na TRL zife
. Hakuna mandeleo ya ku-takeoff yanakuja kwa viwanja vya ndege


Mkuu tupo bize na Chadema... ngoja kwanza tuwadhibiti Chadema halafu tutafikiria hivyo unavyoshauri... subiri kidogo ,,tuna priorities zetu...= Chadema..
 
Shughuli ilanza kitambo na nadhani wanamalizia malizia if they have not reached completion.


DnKIBAKIKISUMU2507l.jpg



DnKIBAKIKISUMU2507s.jpg



PIX.jpg



Kisumu Airport Expansion On Course for May Completion

It's now open...the new terminal is beautiful!

 
Last edited by a moderator:



BDKibakiAirport0202b.jpg


President Kibaki is cheered on by Prime minister Raila Odinga (right) and Minister for transport Amos Kimunya (red tie) after cutting the tape to officially launch the Kisumu International Airport 02-02-2012.


DnKibakiAirport0202.jpg
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom