Kenya Seeks Big Airport for Obama

Ab-Titchaz

JF-Expert Member
Jan 30, 2008
14,631
4,225
Kenya seeks big airport for Obama

DnKibakiAirport0202cde.jpg

President Mwai Kibaki flanked by Prime Minister Raila Odinga unveils a commemorative plaque to mark the official opening of Kisumu International Airport.

Kenyan MPs have called for an airport in the west of the country to be upgraded for Air Force One in case Barack Obama wins the US elections.

Mr Obama's father was born in Nyanza Province and the MPs say the local Kisumu airport should be expanded in case he wants to visit.

The Illinois senator is a local hero in his father's homeland, where a local beer has been named after him.

Mr Obama has never lived in Kenya and he has visited just three times.

The MPs from Nyanza Province said it was clear that Mr Obama was going to clinch the US presidency, the private Nairobi Star newspaper reported.

Mr Obama will face Republican John McCain in the 4 November elections.

Mr Obama's father was from Alego-Kogello village which is 60km (37 miles) from Kisumu.

Kisumu Town MP Aluoch Olago told parliament that the delay in the airport's expansion was a major concern, the Nairobi Star reported.

Transport Minister Chirau Mwakwere said the airport's expansion programme was behind schedule, and is expected to be complete by July 2010.

BBC NEWS | Africa | Kenya seeks big airport for Obama
 
upumbavu wa mwafrika..... umaskini unawatafuna mpaka kwenye mifupa wao wanakimbilia vitu visivyo vya msingi kwa wananchi....
 
hahaha, asiposhinda je? kwani wao wanafikiri kama obama akishinda atakuwa na influence yoyote kwa nchi ya kenya kibinafsi wamarekani wakiwa wamelala?si atajiuzulu siku hiyohiyo?yeye si mkenya, wala si raisi wa kenya pale atakapobahatika kuchaguliwa. pamoja na kwamba ni vigumu sana kufahamu kama atashinda. mimi nafikiri waendelee kufikiri mambo mengine ya kuondoa umasikini uliokithiri kenya, na sio kupoteza muda kwenye matazamio ambayo hayatawaletea faida.
 
Kwani, is Obama compaigning for a Kenyan presidency? yeye ni mkenya?yaani wakenya wanafikiri Obama atatumia kodi za wamarekani walivyo wakali vile, kwa maslahi ya wakenya kisa tu kwasababu asili ya baba yake obama ni kenya? Nafikiri wanaposhabikia uchaguzi kwaajili ya obama, wasiwe na mategemeo yoyote ya aina hiyo, kwasababu si ajabu utakuja kuona obama anajiweka mbali kabisa na wakenya siku atakapochaguliwa ili kuonyesha kuwa hayuko biased kwenye nchi wanayosema ni asili yake,kama mkapa alivyofanya kwa mtwara.hahaha. hivi rais wa kenya na wananchi wake wote ndo wana mawazo kama haya?hahaha, mbona inachekesha hii.
 
Kenya seeks big airport for Obama​

Kenyan MPs have called for an airport in the west of the country to be upgraded for Air Force One in case Barack Obama wins the US elections.

Mr Obama's father was born in Nyanza Province and the MPs say the local Kisumu airport should be expanded in case he wants to visit.

The Illinois senator is a local hero in his father's homeland, where a local beer has been named after him.

Mr Obama has never lived in Kenya and he has visited just three times.

The MPs from Nyanza Province said it was clear that Mr Obama was going to clinch the US presidency, the private Nairobi Star newspaper reported.

Mr Obama will face Republican John McCain in the 4 November elections.

Mr Obama's father was from Alego-Kogello village which is 60km (37 miles) from Kisumu.

Kisumu Town MP Aluoch Olago told parliament that the delay in the airport's expansion was a major concern, the Nairobi Star reported.

Transport Minister Chirau Mwakwere said the airport's expansion programme was behind schedule, and is expected to be complete by July 2010.

BBC NEWS | Africa | Kenya seeks big airport for Obama

This sounds funny! Isn’t?

How is the common Mwananchi going to benefit from the proposed airport?
Yes after visiting, say once per year, and assuming will stay in office for two consecutive terms, i.e. 8 years. This means that will use the Airport 8 times!

What are they going to do with it after completing his terms? ?????
May be will be transformed into a museum. Let us wait and see.

Good luck my neighbour!

Njimba
 
Hihihihihiiiiiii.....Nairobi itabadilishwa na kuitwa Obama.....

Another thing....dizaini Wakenya (IF-big IF-Obama wins) watajiona na wao Wamarekani....kwikwikwikwiiiiii......
 
Wenzangu, jamani tuiache hii tabia ya kugeneralise kila kitu. Pameandikwa
The MPs from Nyanza Province said it was clear that Mr Obama was going to clinch the US presidency, the private Nairobi Star newspaper reported.

Halafu ni mmoja wao tu aliyependekeza swala hilo
Kisumu Town MP Aluoch Olago told parliament that the delay in the airport's expansion was a major concern, the Nairobi Star reported.

Sasa hii leo,sababu ya upumbavu wa watu wachache wakenya wote wamekua ni wapumbavu.
Afrika lazima tujifunze kumuongelea mtu binafsi, tabia hii hata ya magazeti kuandika kwa ujumla haitusaidii. Sababu inawaficha wapumbavu, matapeli kati ya watu wazuri, na ndo hao wanazidi kutufyonza damu kama kupe bila ya sisi kuwatambua.
 
Wenzangu, jamani tuiache hii tabia ya kugeneralise kila kitu. Pameandikwa

Halafu ni mmoja wao tu aliyependekeza swala hilo

Sasa hii leo,sababu ya upumbavu wa watu wachache wakenya wote wamekua ni wapumbavu.
Afrika lazima tujifunze kumuongelea mtu binafsi, tabia hii hata ya magazeti kuandika kwa ujumla haitusaidii. Sababu inawaficha wapumbavu, matapeli kati ya watu wazuri, na ndo hao wanazidi kutufyonza damu kama kupe bila ya sisi kuwatambua.

Wakenya wote ninaowajua mimi wamepagawa....wengine wamejichora mi tattoo ya Obama....yaani wanachekesha kweli
 
Hebu tuambie, hao unaowajuwa wewe ni asilimia ngapi kati ya wakenya wote.

Jamani hata TZ kuna washamba, matapeli, wahuni etc. infact hakuna nchi duniani isiyo na "makarakta". lakini sii kusema nchi yote iko hivyo bwana.

Mfano mimi nina marafiki wa kinaigeria, ambao ni watu roho safi, waangwana. sasa ninge wajaji na hiyo stereotype ya kwao, ingekuwaje
 
Kweli, lakini nadhani Wakenya wamezidi kuwa washamba....yaani hawana ujanja hata kidogo. Hata huku US eti unakuta Wakenya karibia 50 wote wanaenda kuomba marriage license kwa wakati mmoja kwenye courthouse hiyo hiyo...sasa kweli huo ni ujanja?

Halafu mademu wa Kikenya wanatuzimia sana sisi ma men wa kibongo....I dunno why....
 
Hahahah Nyani my friend hapa umeniacha hoi!!!, Ila na mademu wa kibongo wanawazimia sana non-bongomen.
 
Halafu mademu wa Kikenya wanatuzimia sana sisi ma men wa kibongo....I dunno why....

Yes! Yes, Nyani,

Hapa nakubaliana na wewe, however, it is the same case for Kenyan men wanawapenda sana dada zetu. Si unajua tena maadili ya kibongo? Hapa wanakiri wanamengi ya kujifunza kutoka kwetu.

Japo wanawatuzimia ila wabongo kidogo tunaogopa kujitupa kwa dada zao. Si unajua walivyo rafuuuuuuuuuuu!

Kuna rafiki yangu mkenya alikuwa anasema wanakuja huku kupora dada zetu na malighafi zetu. The guy mpaka leo anatamani kuoa mtz na huwa anamsimlia hata mke wake. Nina imani siku moja ataishia kuoa tu. Kwani amewapenda sana dada zetu na mara nyingi yupo TZ kwa shughuri za ujenzi;
 
mtu hajafika White House huku tayari mcheche unawabana.Wazungu ma redneck wakisikia hivyo ndiyo kabisaaaa hawanmchagui.
 
Yes! Yes, Nyani,

Hapa nakubaliana na wewe, however, it is the same case for Kenyan men wanawapenda sana dada zetu. Si unajua tena maadili ya kibongo? Hapa wanakiri wanamengi ya kujifunza kutoka kwetu.

Japo wanawatuzimia ila wabongo kidogo tunaogopa kujitupa kwa dada zao. Si unajua walivyo rafuuuuuuuuuuu!

Kuna rafiki yangu mkenya alikuwa anasema wanakuja huku kupora dada zetu na malighafi zetu. The guy mpaka leo anatamani kuoa mtz na huwa anamsimlia hata mke wake. Nina imani siku moja ataishia kuoa tu. Kwani amewapenda sana dada zetu na mara nyingi yupo TZ kwa shughuri za ujenzi;

See, they dig us...now you ask yourself why?
It is because they are washamba.....both men and women.....mi nawafahamu Wakenya ambao wanajifanya wabongo na wengine wanaotaka kuwa wabongo...Lol....Halafu wanakizmia sana kiswahili chetu....wakikusikia unatema kiswahili utawasikia wanakuuliza..."wewe m-tizedi (MTZ) eeh" "nimesikia swahili yako nimependa sana"......
 
Nyani, you are one mad man!!! :D :)
 
Back
Top Bottom