Kenya sacks 25,000 striking health workers

Govt sacks 25,000 striking health workers

Government has announced the sacking of 25,000 striking health professionals.
t has also invited qualified but unemployed Kenyans and those who retired to apply for the positions starting Friday. Announcing the sackings Thursday, government spokesman Alfred Mutua said the sacked workers' names have been struck out of the payroll and will receive their dismissal letters soon.

"All illegal striking health professionals who defied the directive by Medical Services minister (Prof Anyang' Nyong'o) to report to work have been dismissed," Dr Mutua said in his weekly press briefing in Nairobi.
SOURCE: Govt sacks 25,000 striking health workers*- News*|nation.co.ke
 
Kenya haiwezi kuwa na madaktari wengi hivyo. Si kila muuguzi ni Daktari. Hata hivyo itakuwa imejipalia makaa, kwani wauguzi wengi kiasi hicho wana impact kubwa kwenye jamii. Huduma itaharibika vibaya sana.......


Hawa Viongozi wetu wa Afrika wawe wanashughulikia matatizo na si kucheza kisiasa. Lazima watawaita kuwaajiri tena, maana haiwezekani wawepo wauguzi wengi kiasi hicho mtaani, achilia mbali uzoefu wao.
 
kwa tz, uongozi wa kimila wa miaka ya nyuma ulifankiwa kutatua matatizo (ya mipaka ya ardhi, ya koo na koo, ya viongozi na jamii nk) kwa wananchi wake; serikali yetu ya sasa a.k.a siasa inachangia migogoro hadi kufikia hatua ya watz kupoteza maisha mfano mzuri ni huu mgogoro wa sasa baina madaktari na serikali.

lazima ifike mahali serikali hii inayojiita sikivu iwe sikivu na sio kujiita bila kutekelza.

yani inafika mahali viongozi wa serikali wanatumia ofisi za umma kama za kwao binafsi, wanadharau raia, wanawakebehi, ubabe ubabe tu. they care nothing! Bull shit!!! They better go to hell...
 
Safi sana JK na wewe fanya kweli kesho washike adabu yao.

dr. si mwenzako, nchi zote zina upungufu wa madoctor ikiwemo Tanzania. so wanagombaniwa. hauwezi ukaandaa madoctor wa mda mfupi kama walimu. doctor anakomaa miaka mitano halafu unamletea usharobalo atakupasua kichwa badala ya mguu wewe. ooh..!!
 
Nacheki tv(ya kenya)madaktari 25,000 wamefukuzwa waliokua kwenye mgomo,kenya rais kikwete anahutubia taifa kupitia wazee wa dar saa kumi ss sijui kama na yy ataiga huo mkumbo au lah.
angalia vizuri,kenya haiwezi kua na madaktari 25,000
 
[h=1]Kenya yawafuta kazi wauguzi waliogoma[/h]
Imebadilishwa: 8 Machi, 2012 - Saa 19:00 GMT


120308185907_kenya_nurses_304x171_online_nocredit.jpg

Wauguzi Kenya wakisaidia wagonjwa, 25,000 waliogoma wafukuzwa kazi



Serikali ya Kenya imewafukuza kazi wauguzi 25000 waliogoma kwa kushindwa kurudi kazini.
Msemaji wa serikali Alfred Mutua ametoa wito kwa ' watu wenye taaluma ya afya wote' ambao hawana ajira au waliostaafu kufika hosiptali za umma kwa ajili ya kuajiriwa siku ya Ijumaa.


Wafanyakazi wa umma ambo wengi ni manesi waligoma tangu wiki iliyopita wakitaka kupandishiwa mishahara, marupupurupu na kuboreshewa mazingira ya kazi.

Vyama vya wafanyakazi wamepuuzia hatua hiyo wakisema ni mbinu ya kuwataka wajadiliane.
"Huu ni mchezo wa paka na panya, huwezi kuwafuta kazi wafanyakazi wote. Ni mbinuyaotu ya kutufanya haraka turudi kazini lakini mgomo wetu unaendelea mpaka madai yetu," Shirika la habari la Reuters limemnukuu Alex Orina, msemaji wa Taasisi ya wanataaluma wa afya akisema.

Alisema kwa wastani mfanyakazi wa sekta ya afya anapata kiasi cha shilingi 25,000 za Kenya($300, £190) kwa mwezi kwenye mshahara wake na posho.

Lakini Bw Mutua alisema wafanyakazi wa afya ‘hawaufuata maadili' kwa kutorejea kwenye majukumu yao.
Alisema majina yao yameondolewa katika orodha ya wafanyakazi wanaolipwa mshahara na si ‘waajiriwa wa serikali tena'

Dr Victor Ng'ani, mwenyekiti wa Wafanyakazi wa Afya, wafamasia na wataalam wa meno alisema ulikuwa ni uamuzi wa ‘kizembe.'

Aliiambia BBC kuwa itakuwa vigumu kuwapata wafanyakazi mbadala kuziba nafasi ya miaka mingi ya watu wenye uzoefu na ujuzi wa kazi maalum.


Wazo langu
Kuna utofauti kati ya sakata hilo na la madaktari wa hapa nchini
1. Hawa ni wauuguzi ingawa ndio wasaidizi wakubwa katika kutoa huduma ya afya
2. Madai yao ya marupurupu kama ya madaktari
3. Hawakutaka kurejea mezani mpaka watekelezewe mahitaji yao kama walivyoahidiwa
4. Madaktari hapa nchini wapo tayari kwa mazungumzo lakini kwanza wawajibishwe viongozi.

JK. changanya za mbayuwai wako na zako usije ukaingia huu mkenge
 
Angalia hapoo kwenye red.


Kenya gov't fires 25k health workers on strike


By TOM ODULA, Associated Press

NAIROBI, Kenya (AP) — Kenya's government announced Thursday that it had fired 25,000 striking health workers from the country's public hospitals for defying an order to return to work.

Some 40,000 workers in all — among them, nurses, lab technicians, and dental assistants — launched their strike March 1 over several complaints, including that they are overworked.

Government spokesman Alfred Mutua said the health workers' names have been deleted from the payroll.

"The government has taken this firm action to alleviate further suffering of innocent Kenyans. It is wrong and unethical, regardless of any disagreement, for a health profession to abscond duty and lead to the loss of life and or suffering of any patient," Mutua said.

Mutua asked that any unemployed health professional report to the nearest health facility on Friday to apply for the openings.


Alex Orina of the Kenya Health Professionals Society said the government's announcement is a negotiating tactic and that the government cannot replace 25,000 health workers. He said the health workers are striking because of a heavy workload due to staff shortages, and because of inadequate equipment and supplies.



Orina says some of the nurses have had to deliver babies without surgical gloves, exposing themselves, the mother and the child to infections.


Orina said he could not confirm Kenyan media reports that five people who might otherwise have lived have died during the strike, including reports that a mother and newborn died at the gates of a hospital.

Kenya's government has come under sharp criticism by international groups for not investing enough in health care.

Doctors from public hospitals went on strike late last year to demand better salaries.

 
Mh! Watz huwezi kuwalinganisha na Wakenya, kule wana msimamo thabiti. Kwet hapa bado serikali inaweza kuyumbisha migomo, ingawa polepole uwezo huo unaanza kupungua.
 
Wakati Tanzania ikikabiliwa na mgomo wa madaktari uliosababishwa na serikali kutosikiliza madai yao,serikali ktk nchi jirani ya Kenya imefanya maamuzi magumu na yasiyotarajiwa kwa kuwafuta kazi wafanyakazi wa sekta ya afya(manesi)25,000 waliokaidi amri ya serikali ya kuwataka kurudi kazini mara moja.

Katika hatua nyingine,serikali imewahimiza wastaafu na wenye ujuzi wa sekta ya afya kujitokeza mahospitalini leo Ijumaa ili kuziba nafasi za waliotimuliwa.

Hata hivyo,manesi wamesisitoza kuendelea na mgomo wao hadi pale madai yao yatakapopatiwa majibu.

Chanzo:www.bbc.co.uk

Nawasilisha.
 
Wauguzi 25000 wa hospitali za serikali wamefutwa kazi na serikali ya Kenya baada ya kukaidi agizo lililowataka kurejea kwenye vituo vyao vya kazi.Madai ya wauguzi wa Kenya yanalingana kwa kiasi kikubwa n madai ya madaktari wa Tanzania.
Nini hatma ya madaktari wa Tanzania, tungoje tuone.
Source:Taarifa ya Habari Wapo Radio
 
Madaktari wa Tanzania, wasifukuzwe tu kazi, wapandishwe na mahakamani kwa kila kifo kwa kujiingiza kwenye siasa. Madai yao yote yalikuwa yanashughulikiwa ipasavyo, lakini walipopewa chanda wakataka pima.
 
Back
Top Bottom