KDF-BabaYao
JF-Expert Member
- Sep 2, 2014
- 221
- 317
Na wewe njoo ujiunge.Hakuna cha kenya special force hapo wamarekani washafanya vitu vyao nyie mnaweza kudokoa kwenye supermarket tu
Sijazoea uporajiNa wewe njoo ujiunge
Kajiunge tu wamarekani watakua hawapo police wa kenya hawajui kuua.Sijazoea uporaji
Naam tupo kwenye supermarket, wataka tukuletee nini?Hakuna cha kenya special force hapo wamarekani washafanya vitu vyao nyie mnaweza kudokoa kwenye supermarket tu
Wezi wa biskuti za supermarket!Naam tupo kwenye supermarket, wataka tukuletee nini?
SEEING THE FACE OF AFRICAN DIED BECAUSE OF FOREIGN RELIGIONSOG team kutoka huko Fino, Mandera county walivamia hawa majambazi wa kisomali baada ya kupewa taarifa kwamba wameonekana wakivuka border.
Wanne walitoroka na majeraha lakini polisi wanawafuatilia. Hizo kelele mlizo kuwa nazo hapa,mara ooohhh Alshabaab wameteka kenya ohhhh...
Njooni tuwape mafunzo,waliopigana vita vya Kagera wamestaafuView attachment 1684885View attachment 1684886View attachment 1684887
Njooni mtusaidie, nyie wavunja matofali ndio mababe wa kivita🏃♂️🏃♂️🏃♂️Waende na Turkana sasa
Hmuoni aibu..kuwa na sehemu ya nchi ambayo haitawaliki. Jeshi mnalo, polisi mnao, na wapiga selfie wote mnao if mna jeshi imara embu lipelekeni likarestore order huko KAPEDO. Mkiweza ndo muende Somalia.Njooni mtusaidie, nyie wavunja matofali ndio mababe wa kivita🏃♂️🏃♂️🏃♂️
Inatawalika the problem is just because of some small sponsored goons who are highly Informed by Govt snitches to cause problems.Hmuoni aibu kuwa na sehemu ya nchi ambayo haitawaliki. Jeshi mnalo, polisi mnao, na wapiga selfie wote mnao if mnajeshi imara embu lipelekeni likarestore order huko KAPEDO. Mkiweza ndo muende Somalia.
ni shida hiyo...au huoniInatawalika the problem is just because of some small sponsored goons who are highly Informed by Govt snitches to cause problems
huoni kamba hiyo ni shida?Alafu Tena So Ati Kenya wameshindwa kuwatuliza Ni venye Raia hawataki kufanyiwa force na Itatupea picha mbaya ka Ile ya Tigray
It's a problem true but you know in every Market there is amad men and those men could be killed but with evidenceni shida hiyo...au huoni
Kenya kunashida sanaIt's a problem true but you know in every Market there is amad men and those men could be killed but with evidence
Lakini hazishindi shida zilizoko huko Tanzagiza.........za Bongo ni za kufa mtu.Kenya kunashida sana
Hii kikundi cha wezi wa mikate na blue band kama kimechanganyikiwa, yaani special force kwenda kuvamia walevi wa kisomali wanaochemsha gongo maporini humo! Nilitarajia nione vifaa vya kivita vilivyokamatwa ila tunaona madumu ya maji na matairi afu watuhumiwa wamekimbi. Huku kwetu wahalifu wa namna hii huzibitiwa na walinzi wa kijiji.SOG team kutoka huko Fino, Mandera county walivamia hawa majambazi wa kisomali baada ya kupewa taarifa kwamba wameonekana wakivuka border.
Wanne walitoroka na majeraha lakini polisi wanawafuatilia. Hizo kelele mlizo kuwa nazo hapa,mara ooohhh Alshabaab wameteka kenya ohhhh.
Njooni tuwape mafunzo,waliopigana vita vya Kagera wamestaafu.
View attachment 1684886