Kenya na vituko. Nchi ya ucheshi

Tony254

JF-Expert Member
May 11, 2017
16,017
16,427
Kenya ni nchi ambayo kila siku kuna jambo la maajabu au la ucheshi linafanyika. Huyu kaka naye kajishonea suti ambalo trouser linafika kwenye makwapa.😁😁😁


 
Ucheshi !! Sema Kenya ndo nchi pekee duniani yenye wendawazimu wengi , sasa hayo unaona ya uzima huyo mtu mwenyewe tu unamuona jinsi alivyo hamnazo
Wewe pengine una stress zako za kunyimwa ile kitu na mke wako.
 
Serikali ilibomoa kibanda cha mama ntilie kwenye slums za hapo Nairobi, jamaa huyu akaokota ugali.

1600125486682.png
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom