Momboi Reece
Member
- Sep 16, 2018
- 30
- 15
I am South African, I don't think if there is any competition between Kenya and Tanzania. I see Kenyans minding their own bizniz, not until these lazy lowlifes from the neighbouring country want to drag them in to the gutter.
Babu,kubali wewe ni msukuma😁😭I am Namibian
Whats with our obsession with each other?! I mean Really!Dhamira na lengo la kuanzisha uzi huu ni baada ya kuona ushindani mkubwa humu jf baina ya watanzania na wakenya wakilinganisha maendeleo( kati ya mambo mengine) katika nchi hizi mbili..
Ushindani wa kulinganisha si mbaya kwani unaweka wazi mapungufu yaliyopo katika nchi zetu lkn ushindani ambo hautoi suluhisho la matatizo yetu ni upumbavu
Tanzania iko na matatizo yake ambayo watanzania wenyewe ndio wenye uwezo wa kuyatatua vivyo hivyo pia kenya
Ni wakati wakufungua macho na kutafuta suluhisho la matatizo yanayokumba nchi zetu si ushindani wakijinga usio na faida yoyote
I am Tunisian, i think Kenyans got problems with TzI am South African, I don't think if there is any competition between Kenya and Tanzania. I see Kenyans minding their own bizniz, not until these lazy lowlifes from the neighbouring country want to drag them in to the gutter.
Dhamira na lengo la kuanzisha uzi huu ni baada ya kuona ushindani mkubwa humu jf baina ya watanzania na wakenya wakilinganisha maendeleo( kati ya mambo mengine) katika nchi hizi mbili..
Ushindani wa kulinganisha si mbaya kwani unaweka wazi mapungufu yaliyopo katika nchi zetu lkn ushindani ambo hautoi suluhisho la matatizo yetu ni upumbavu
Tanzania iko na matatizo yake ambayo watanzania wenyewe ndio wenye uwezo wa kuyatatua vivyo hivyo pia kenya
Ni wakati wakufungua macho na kutafuta suluhisho la matatizo yanayokumba nchi zetu si ushindani wakijinga usio na faida yoyote
HAPPY 2020
Am Congolese from Mai Ndombe, kanda ya nini juu yenu ba Tanzania na Kenya, Hakuna fasi ile inabamba zaidi ya Kinshasa muye muone wenyewe. Sisi tutaendelea kuwaburudisha na music yetu mukuje kwa show. Don't fight each others guys, you are Just wasting your energy over nothing! After all nyie iko dugu moya.
Whats with our obsession with each other?! I mean Really!
Kwanini tusilinganishe na best practices ama malengo yetu? Utaskia daraja refu AMK (afrika mashariki na kati), mara airport nzuri kuzidi zote AMK, mara ghorofa refu AMK, mara class one this and that .......... i consider all these to be feel good statements which dont really mean anything.
My personal opinion
Lets say If Tanzania decided to build a cable stayed six lane bridge over point A and B to serve her citizens for a projected period of 50 years, now what usually happens on jf on threads similar to this (which i dont understand) is why would anyone see the need to compare it to another cable stayed bridge in another region or country for that matter as if they were buit side by side to serve the same purpose the same way?!
Even democracy has limitations
I support youWhats with our obsession with each other?! I mean Really!
Kwanini tusilinganishe na best practices ama malengo yetu? Utaskia daraja refu AMK (afrika mashariki na kati), mara airport nzuri kuzidi zote AMK, mara ghorofa refu AMK, mara class one this and that .......... i consider all these to be feel good statements which dont really mean anything.
My personal opinion
Lets say If Tanzania decided to build a cable stayed six lane bridge over point A and B to serve her citizens for a projected period of 50 years, now what usually happens on jf on threads similar to this (which i dont understand) is why would anyone see the need to compare it to another cable stayed bridge in another region or country for that matter as if they were buit side by side to serve the same purpose the same way?!
Dah, watz huwa wana ubaguzi mkali sana wa kisiasa. Nadhani ni madhara ya kutawalwa na chama kimoja kwa muda mrefu Wakenya wanaelewa kwamba leo unaweza ukawa kwenye upinzani kesho uunge mkono chama tawala. Kwa mfano waliomsupport rais Uhuru mara ya kwanza alipowania urais 2002 na akashindwa na Mwai Kibaki walibaki kwenye upinzani. Kisha uchaguzi uliofata 2007 chama chao na U.K. wakamsupport Mwai Kibaki dhidi ya Raila Odinga. Yaani kuwa kwenye upinzani huwa haichukuliwi kama kukosa uzalendo. Infact wengi wa wanaounga mkono chama tawala huwa wanaheshimu na wanaelewa jukumu ambalo huwa linatimizwa na upinzani. Mfano mzuri ni Raila Odinga ambaye ushawishi na appeal yake huwa ni zaidi ya uungwaji mkono wake kisiasa.Unaweza ku verify scientifically kwamba sentient human being nime-go biological change na kua Nyumbu?
Wewe mammalia tumia akili vizuri!
Usijifanye unajua kubatiza watu specie groups zisizo wahusu!
Stop this nonsense!
Katika siasa wakenya kaeni kimya kabisa, Kenya hakuna siasa yoyote ni ukabila mtupu, (No political ideology, what exists in Kenya is tribe pilitics), iliyotawaliwa na kabila tatu tu, Kikuyu, Kalenjin na Jaluo, kama haupo ktk kabila hizo, sahau kuwa rais wa Kenya.Dah, watz huwa wana ubaguzi mkali sana wa kisiasa. Nadhani ni madhara ya kutawalwa na chama kimoja kwa muda mrefu Wakenya wanaelewa kwamba leo unaweza ukawa kwenye upinzani kesho uunge mkono chama tawala. Kwa mfano waliomsupport rais Uhuru mara ya kwanza alipowania urais 2002 na akashindwa na Mwai Kibaki walibaki kwenye upinzani. Kisha uchaguzi uliofata 2007 chama chao na U.K. wakamsupport Mwai Kibaki dhidi ya Raila Odinga. Yaani kuwa kwenye upinzani huwa haichukuliwi kama kukosa uzalendo. Infact wengi wa wanaounga mkono chama tawala huwa wanaheshimu na wanaelewa jukumu ambalo huwa linatimizwa na upinzani. Mfano mzuri ni Raila Odinga ambaye ushawishi na appeal yake huwa ni zaidi ya uungwaji mkono wake kisiasa.
Dah, watz huwa wana ubaguzi mkali sana wa kisiasa. Nadhani ni madhara ya kutawalwa na chama kimoja kwa muda mrefu Wakenya wanaelewa kwamba leo unaweza ukawa kwenye upinzani kesho uunge mkono chama tawala. Kwa mfano waliomsupport rais Uhuru mara ya kwanza alipowania urais 2002 na akashindwa na Mwai Kibaki walibaki kwenye upinzani. Kisha uchaguzi uliofata 2007 chama chao na U.K. wakamsupport Mwai Kibaki dhidi ya Raila Odinga. Yaani kuwa kwenye upinzani huwa haichukuliwi kama kukosa uzalendo. Infact wengi wa wanaounga mkono chama tawala huwa wanaheshimu na wanaelewa jukumu ambalo huwa linatimizwa na upinzani. Mfano mzuri ni Raila Odinga ambaye ushawishi na appeal yake huwa ni zaidi ya uungwaji mkono wake kisiasa.
Katika siasa wakenya kaeni kimya kabisa, Kenya hakuna siasa yoyote ni ukabila mtupu, (No political ideology, what exists in Kenya is tribe pilitics), iliyotawaliwa na kabila tatu tu, Kikuyu, Kalenjin na Jaluo, kama haupo ktk kabila hizo, sahau kuwa rais wa Kenya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunazungumzia misingi ya siasa za nchi, sio utawala wa mtu au kipindi cha utawala mmoja. Kenya msingi wao wa siasa ni ukabila, haijalishi nani atakayekuwa rais.TZ yetu hii na bwana mawe mwenyewe kwa mkono wake anakoroga ukabila na ubaguzi among watu huongei!?