Kenya na Burundi kuingia kwenye mkataba na EU

Kwa njia moja au nyingine, lazima tutajikuta kwenye ushindani ndani ya hii dunia, haya mambo ya kuogopa ogopa, eti tufunge hapa, tufungue pale, tuzuie hawa, tufungulie wale hayatatufikisha mahali.

Leo hii nipo kwenye mradi fulani na wadau kutokea Mauritius, jamaa wananisimulia jinsi nchi yao imepiga hatua kwa kutozuia zuia.
Afrika yetu hii, tuache uvivu na ujinga, tukumbatie ushindani. Bongo bado inaliwa na kutafunwa pamoja na kwamba mnazuia zuia na kufunga funga.

..interesting observation.

..lakini mimi naona "kufunga hapa" na "kufungulia kule" zote ni mbinu za ushindani.

..sasa hivi Tz tumepata Raisi ambaye hapendi huu ujinga wa nchi yetu kufanywa shamba la bibi. Wacha tuone atatufikisha wapi.
 
JokaKuu
Kumbuka hayo maamuzi ndio yaliwafikisha kwenye majanga ya ukosefu wa sukari.
Bongo inaliwa kwa ajili wengi wenu hamjatayarishwa kwa ushindani wa kimataifa. Mlifungiwa ndani miaka yote, mkalindwa kwa hizo sera za kutofungua fungua. Kama vile mtoto ambaye unamfungia ndani kisa hutaki aumizwe na wenzie kwenye michezo, ile siku anakua na kutaka kutoka mwenyewe, hapo anakumbana na matatizo mengi sana.

Lazima uwatumbukize watoto wako kwenye ushindani, waachie wajitengenezee njia wenyewe, watapata ujasiri na kujiamini. Waache wenyewe walinde raslimali za nchi yao kwa ujuzi wao, wape elimu, wape uzoefu, wape ukakamavu, wawezeshe.... Lakini kuwafungia ndani na kuzuia wale wa nje wasije kutangamana nao, eti unawalinda wanao, hapo hao wa nje watakua wanaingilia dirishani na kufanya yao.

Leo hii, makampuni ya Kitanzania ambayo inamilikiwa na Watanzania, inaajiri wageni kutokea nchi za jirani. Hata rais wenu juzi katangaza kufuata wataalam kutoka Rwanda. Mujiulize maswali sana aisei.
 
..lakini tumefungulia kila kitu tangu 1985 Mwalimu Nyerere alipoondoka madarakani.

..nadhani matatizo ya Tanzania huyaelewi. Na hiyo inajidhihirisha na hiki ulichokisema hapa.

..Magufuli amesema atafuata mfumo wa rwanda wa ukusanyaji mapato. Hakusema atafukuza wataalamu wa Tz na kuajiri wataalamu toka Rwanda.

..pamoja na hayo sioni ubaya wa highly qualified ppl with rare proffesions toka nchi majirani kuja kufanya kazi Tanzania.

..Kigali Inst of Technology iliajiri Watanzania kufundisha. Kwa hiyo sioni ubaya na sisi tukaajiri toka huko kama hatuna wataalamu wa kutosha.
 
Ninaamini umenielewa lakini ndio yale yale ya kufumbia macho, na kupindisha eti kwamba nimesema Magufuli kafukuza wataalam wa Tanzania.

Nina uhakika ipo siku mtaamua kubadilika na kuruhusu ushindani, na kuwaachia raia wenu wapate fursa ya kujiendeleza kwa kutangamana bila kuwafungia ndani na kuwalinda. Anyway, usiku mwema kaka....
 
Tanzania's U-turn sparks calls for rethink of EU trade deal
By: James Karuhanga
  • Published: July 14, 2016
14684488661.jpg

A cart loads exports at Kigali International Airport. (File)

More in News
It is imperative for East African Community (EAC) to listen carefully to the issues Tanzania is raising related to the Economic Partnership Agreement (EPA) the bloc concluded with the European Union, a regional lawmaker has said.

MP Abubakar Zein Abubakar, a Kenyan representative in the East African Legislative Assembly (EALA), stressed this during an interview with The New Times on Monday.

“It is important for us to listen to the issues Tanzania is raising and also look at the implications of Brexit. We, as Africans, cannot afford not to act together as a bloc,” Zein said.

“We must always consider working together as a unit and take into consideration whatever unfolding situations.”

Tanzania’s foreign affairs permanent secretary Aziz Mlima said his country will not sign the EPA between EAC and EU.

Dr Mlima told reporters in Dar-es-Salaam, last week, that Tanzania decided to halt signing because of the “turmoil” that the EU is experiencing following Britain’s exit.

“Our experts have established that the way it has been crafted, the EPA will not benefit lead industries in East Africa, but instead to their destruction as developed countries are likely to dominate the market,” said Dr Mlima.

Like Mlima, Rwandan economist and EALA member, James Ndahiro, opposes the EPAs on grounds that “it is one-sided” and that EAC economies do not have a competitive edge given their small industrial base.

Ndahiro said that, for example, EU countries spend more than Euro 90 billion on direct farm payments (subsidies) and, as such, agricultural products from the EAC which are “not equally subsidised” cannot compete fairly.

Nonetheless, the East African Business Council (EABC) is advising Partner States to sign the deal earlier than previously agreed as further delay will hamper EAC export to the EU.

Partner states previously proposed the signing ceremony be held in the first week of August. But, last month, the EABC recommended July 18, as the date of signing to coincide with the visit of the EU Commissioner for Trade, who will be in Nairobi attending the United Nations Conference on Trade and Development conference.

Failure to meet EU deadline on ratification could see EAC exports to EU attract import duty, especially for Kenya that is considered as a developing country.

Tanzania, Uganda, Rwanda and Burundi, are considered Least Developed Countries (LDCs), and may be forced to opt for an ‘everything but arms’ (EBA) trade arrangement with its more complicated rules of origin, the EABC warns.

On January 1, 2017, Kenya is expected to be removed from the EU’s generalised scheme of preferences trade regime for live plants and floriculture products, hence attracting even more duties under the ‘most-favoured nation’ rates. This implies Kenyan exporters would be subjected to import duties of between 5 per cent and 8.5 per cent, says EABC.

On Monday, EABC chief executive Lilian Awinja told The New Times that Tanzania, as current chair of EAC, should take a “leadership role” in signing the agreement as it has been committed to the negotiations since the formation of EAC-EU EPA configuration in 2007.

Awinja said the UK exit from EU should not be a reason to back out as signing with the remaining 27 EU countries presents the EAC bloc with clear opportunities for export development.

“The agreement gives the EAC an opportunity to grow its industries to better compete globally due to the progressive nature of the EU access to EAC market. I urge Tanzania to observe the deadline set by the EU (October 1) for ratification,” Awinja said.

By October 1, if Tanzania will not have finalised ratification of EPA, Awinja said, it will, among others, lose Duty-Free Quota-Free Access to EU market, leaving it with the option of ‘everything but arms’ which is not a better option as it has more stringent rules of origin requirements.

The knowledge hitch

Zein also stressed that people in the region know little about what is contained in the EPAs deal and this is a critical setback.

“There isn’t enough knowledge and information available even to some senior people in the Community,” Zein said, adding: “My concern also touches on our ability to grow our manufacturing sector. Then, there are issues of policy space. The agreement reduces space for policy making in EAC.”

The existing draft of the EPAs is such that EAC countries cannot offer “any other party” preferential treatment without offering the same terms, automatically, to the EU, Zein observed.

In a situation where, for example, EAC is negotiating with the Common Market for Eastern and Southern Africa (COMESA) and the Southern Africa Development Cooperation (SADC), the EPA in its current format, “will limit” the type of preferential treatment with other blocs.

In 2015, the third COMESA-EAC-SADC Summit signed a new trade pact creating a common market spanning half of the continent as a critical step in opening up opportunities for business and investment within the 26-member bloc.

Zein also underscored the danger that even then, “the paper [EPA] must be first be approved by the European parliament yet here, there is no such requirement for the EPAs to come to EALA.”

In June 2010, EALA passed a resolution urging partner states to delay signing with view to urging the EU to cooperate with the EAC to revise the agreement and include “interests of both parties.”

The Assembly also wanted the draft framework of the agreement subjected to parliamentary approval processes at both partner state level and at regional level.

The EABC says the main reason for initialing the EPA was to avoid trade disruption between EU and EAC partner states.

According to Awinja, if all partner states sign the agreement on the same date, it will project the EAC region as a functional Customs Union.

Emmanuel Hategeka, the permanent secretary at thes Ministry of Trade and Industry, recently said “we all benefit” since EPAs will do away with the unilateral Cotonou Agreement, a treaty between the EU and the African, Caribbean and Pacific Group of States signed in June 2000.

The Cotonou Agreement, Hategeka said, is not compatible with the reciprocity required by the World Trade Organisation.

A chapter on agriculture guarantees that the EU will not apply exports subsidies, even in times of market crisis.

Article 83 stipulates that the Parties acknowledge the importance of the agricultural sector to the economies of the EAC partner states and agree to cooperate in promoting its transformation and facilitate the adjustment of agriculture and rural economy to accommodate the effects of implementation of the Agreement “with special attention to small scale farmers.”

The EABC maintains that, under EPA, EU market access offer of 100 per cent duty-free and quota-free access to EAC exports, while the European Union access to EAC market provides for a “gradual liberalisation of tariffs” over three phases spanning 25 years, eventually reaching 82.6 per cent of imports from the EU by 2028.

editorial@newtimes.co.rw

That word 'U-TURN' alone in the headline not only defines the true meaning of Tanzania, but suits it as well.
 
Usije kushangaa ukisikia Burundi naye amejitoa kwenye hiyo agreement.
 
Hawezi akajitoa kiholela maana wale hawaongozwi na maamuzi ya chuki na majungu, kila mmoja anafuata maslahi na mahesabu. Nyie tatizo lenu siku zote mnaishi kwa chuki za kiajabu na maamuzi yenu hamzingatii mantiki yoyote.
 
Tafutateni utulivu nchini kwenu mkiupata mje tuzungumze nchi yenu inanuka shida hapa mnapiga domo tu shida zmewakaa mpaka makwapani.Kuthibitisha shida zilivyowakaba angalia machinga wa Kenya walivyojaa Tz kungekuwa na neema kwenu huku mngefuata nn ?
Boss, don't be funny. Do you think there are no Tanzanians in Kenya too? You really must be living in a tiny village.
 
Hawezi akajitoa kiholela maana wale hawaongozwi na maamuzi ya chuki na majungu, kila mmoja anafuata maslahi na mahesabu. Nyie tatizo lenu siku zote mnaishi kwa chuki za kiajabu na maamuzi yenu hamzingatii mantiki yoyote.

Burundi ni mtoto mwaminifu wa Tanzania. Hawezi kuchepuka kirahisi.
 
Hawezi akajitoa kiholela maana wale hawaongozwi na maamuzi ya chuki na majungu, kila mmoja anafuata maslahi na mahesabu. Nyie tatizo lenu siku zote mnaishi kwa chuki za kiajabu na maamuzi yenu hamzingatii mantiki yoyote.

tukimwambia burundi hakuna kusaini lazima atusikilize sisi TZ. TZ ndio kila kitu EA.
 
Burundi amewafuata tu kwa sababu ya kumkingia kifua huyo muuaji Nkuru-whatever, tatizo ni kwamba anazidi kuwa maskini na watu wanaishia kuhangaika. Hivyo itabidi abadilishe msimamo dhidi ya kuwafuata wavivu.
 
kweli kamfuata mauaji mwezake, ampe na mbinu za kujitoa ICC.
 
Dar dodges EPA to protect industrialisation, budget
yuani.jpg

Tanzania is now in full swing to implement a China-brokered industrialisation plan that hopes to get funding from the Chinese government. TEA GRAPHIC | NATION MEDIA GROUP

In Summary

  • Sources say Dar es Salaam has declined to sign the deal that would turn the country into a source of raw material for European Industries.
  • Govt official says Tanzania's budget relies on levy from imported products hence committing a country on EPAs would mean that the government will miss the revenue and then impacts negatively on the national budget.
  • Pundits say that Tanzania's reluctance to sign the EPAs is a protectionist move for its manufacturing industry that is expected to boom in a few years as a result of China’s financing to Tanzania’s development vision that is geared towards industrialisation.

Tanzania may never sign Economic Partnership Agreements (EPA) deal so as to protect Chinese-brokered industrialisation plan and safeguard its national budget.

Sources privy to the issue within the Ministry of Industry, Trade and Investment confided to The EastAfrican that Dar es Salaam has declined to sign the deal that would turn the country into a source of raw material for European Industries.

On different occasions, Tanzanian officials have said that Dar es Salaam is reconsidering an earlier decision to make sure that it is done to the best interest of the country.

Susan Kolimba, Deputy Minister for Foreign Affairs, East African, Regional and International Co-operation, said Tanzania is only cautious on signing the EPAs and it has gone back to government discussions before it is deliberated.

“At this stage we cannot say we are will sign or not but we must make sure that we sign or decline to the best interests of our people…we are still discussing to the Government level,” she said.

Clarifying on contentious issues, Minister for Trade, Industries and Investment Charles Mwijage Tanzania concerned is that the EPAs proposed zero rate for all imported goods will put Tanzania on a losing end.

“Under the Common External Tariff of the EAC when you raw material you charge zero percent levy, while intermediate products attract 10percent and finished products are charge 25 per cent while under…all these will not be there under the EPAs; we have to discuss this and see how we can lose under these agreements,” he said.

Mr Mwijage said Tanzania's budget relies on levy from imported products hence committing a country on EPAs would mean that the government will miss the revenue and then impacts negatively on the national budget.

He said EPAs also propose the removal of export levy on raw material which means Tanzania will have to export its resources for free to Europe as its infant industries cannot absorb them.

Permanent Secretary Dr Aziz Mlima said earlier that the decision follows fear that the world can experience economic tremor following Britain’s exit to the EU.

“We think it is not the right time for us to sign the agreement. There are still contentious issues which need to be settled to ensure Tanzania is not turned into a source of raw materials and markets for European goods,” Dr Mlima noted.

According to Mr Mwijage, Britain is Tanzania’s biggest trade partner in Europe and its exit from EU makes the EPA deal almost useless.

“Internationally we trade with Britain, China, India and South Africa, when you don’t have Britain in a deal with Europe how would you taking it? We have to think it over and it can take any duration to decide,” he said.

Pundits say that Tanzania's reluctance to sign the EPAs is a protectionist move for its manufacturing industry that is expected to boom in a few years as a result of China’s financing Tanzania’s development vision that is geared towards industrialisation.

Tanzania is now in full swing to implement a China-brokered industrialisation plan that hopes to get funding from the Chinese government’s allocation to Africa.

Investment will be based on agro-processing value addition industries.

According to information from the Chinese Embassy in Dar es Salaam, Tanzania had sent a delegation led by former president Jakaya Kikwete to negotiate deals geared towards the needs of Tanzania's industrialisation and that “most of the proposals were accepted”.

Dar dodges EPA to protect industrialisation, budget
 
Ninaamini umenielewa lakini ndio yale yale ya kufumbia macho, na kupindisha eti kwamba nimesema Magufuli kafukuza wataalam wa Tanzania.

Nina uhakika ipo siku mtaamua kubadilika na kuruhusu ushindani, na kuwaachia raia wenu wapate fursa ya kujiendeleza kwa kutangamana bila kuwafungia ndani na kuwalinda. Anyway, usiku mwema kaka....

..nadhani na mimi umenielewa.

..wa-Tz hawafungiwi ndani. Wana uhuru wa kutoka kwenda popote.

..baadhi ya lecturers toka udsm walikwenda rwanda kuanzisha kigali inst' of science and tech.

..juzi hapa kuna madaktari toka taasisi ya matibabu ya moyo walikwenda rwanda kutoa huduma za upasuaji moyo kama msaada.

..kwa hiyo siyo kweli kwamba wa-Tz wamefungiwa.
 
Kwahiyo mlitaka tusaini mkataba wa EPA ili nyie mfaidike na sisi tusifaidike?
No, TZ and indeed the rest of East Africa stand to lose nothing by signing or failing to do so. It is only Kenya that will lose if there is no EAC signature. This is because the rest of East Africa except Kenya are classified as LDCs ( Least developed countries ).
 
I once attended a symposium on the subject matter. And we were shown some of the clauses in the agreement, if all East African saw them, no one would agree.
We are keen on the future of the local industries, they'll dramatically die cause of the cheap but sophisticated products from EU.
Any EU citizen will be able to procure both domestic and international tender with EA states. Imagine, the you compete with a French citizen on supplying stationeries at any government office in Kenya.
West Africans have already started to feel the pinch with the agreement they had.
You better pay that tax when exporting to them than commiting ourselves to a bogus agreement.
And these guys are very clever, they don't want to negotiate with a single country, rather a group of countries or communities cause they see its easier in manipulating them.
So, in the long run, we stand to loose. We'll be gaining 1 and loosing 99. And we call ourselves clever.
 
Back
Top Bottom