The Quonquerer
JF-Expert Member
- May 14, 2009
- 777
- 111
Ndugu yangu nilikuwa gizani enzi za ujima na baba wetu wa taifa, wakati haturuhusiwi kuona nchi za wenzetu zilizoendelea zikoje na kabla shule haijapanda. Hivi sasa nimetembea na kuona kwa wenzetu na kugundua kuwa sisi ndio tulikuwa gizani. Ownership sio tatizo, mradi watu walipe kodi na kushindana fairly...kwa taarifa yako wakati wa Mwinyi kabla ya PSRC, Ma SU mengi yalikuwa yakitegemea ruzuku ya serikali kusurvive, sasa swala kuu ni kuwa je ni kazi ya serikali kubeba mashirika au kuongeza juhudi na tija kwenye huduma za jamii?
Nafikiri wengi tutakubaliana kwanza kuwa jukumu kuu la serikali ni kuhakikisha kuwa watu wake wanaishi kwa amani(ulinzi na usalama), kuendeleza miundo mbinu (barabara, umeme, maji n.k.), elimu na afya kwa raia wake na kukusanya kodi kwa uhakika. Sasa enzi za Mwalimu serikali ilikuwa bize kuyainua haya ma SU huku ufanisi ukiwa hoi, ukusanyaji kodi ilikuwa ni kichekesho . Pamoja na matatizo yote mi na imani tuko kwenye right track hivi sasa angalau shule na vyuo vimeongezeka, barabara zinajengwa na uchumi unakua. GDP ya TZ between 1961 na 1985 Nyerere alipotoka hardly change angalia sasa tulipo. Mafisadi ndio tatizo sasa na hili ni jukumu letu wote watanzania kulipa vita kama tunavofanya hapa JF.
Ili kuiendeleza nchi yetu ni muhimu tushirikishe wageni regardless kama ni wakenya (albeit foreign own) haijalishi hiyo, mradi hawa wanalipa kodi na kutupa ajira watanzania ndio kitu cha muhimu. Na uchumi wetu unakua, watoto wetu wanaenda shule, barabara zetu zinajengwa na hospitali. Hivi ndio vitu vya kuboresha sio longolongo kuhusu nania anamiliki makampuni ya Kenya na bla bla nyingine ambazo hazina tija...
Haya ni mawazo yangu, Nawakilisha
sawa basi tumekusikia, swali langu ni wewe binafsi unachangia nini Tanzania isipokuwa kuketi vijiweni na kufyata mdomo? Nina uhakika nachangia pakubwa nchini mwako kukuliko wewe Geza Ulole Mzawa wa Tanzania, hiyo blind patriotism ndio itachangia pakubwa kwa maangamizi yenyu kama nchi, watch this space. Frustration zenyu zisiwafanye kuwa na chuki dhidi ya jirani, haisaidii hata kidogo mkipiga kelele na vifua, ni kama mwaweza fanya chochote dhidi ya majirani zenyu wakati tunajua hamna lolote ila uswahili na majigambo. Tanzania ni nchi tajiri sana, lakini ikiwa kwa mikono ya Watanzania mtazidi kuwa maskini hadi kiama, thats a fact, you are so rigid, lazy and conservative ndio maana wazungu wananyonya migodi yenyu mkibakizwa maskini wakutupa kisha mwalaumu wakenya waliokuja kuchukua mabaki yaliowachwa na wazungu. Mtabaki mkipiga kelele aisee, sisi tunapepea na tutawaacha nyuma, we are so ambitious.
WaTZ tuamke. Kusaidia hawa omba omba wa Kinyarwanda naona imekuwa tabu. Hata kama nataka kujifunza, siwezi jifunza kwa Nyang'au..watu wasiokuwa na kichwa wala miguu. Wanaokuja kuzengea kazi za watanzania na kuiba tu. Hizo Multinationals zilizoko Kenya siyo za Wakenya, hiyo haihitaji hata kusoma kulijua hilo. But fakini foreigners wakenya mnajichimbia kaburi, sawa endeleeni na ujinga wenu ila itakula kwenu. Na haya Manyarwanda dawa yao inachemka! Kamkaribishe Kigali kwenu kwa wauaji wenzako..siyo Tanzania! Hakuna anayekataa vitegauchumi, vije tu..ila wasije na vibarua kutoka Kenya. Wamachinga kama kina Smatta, kuna njia za kuwashughulikia, watakimbia wenyewe. Huyu mgonjwa wa akili Koba anahitaji msaada. Ni kwamba, EABL, KQ, Unilever or whatever ni hela za wazungu/wawekezaji and they have nothing to do kenyans. If anything, zikija Tanzania, zinaweza kuleta ajira kwa watanzania kama abavyo zinawasaidia wakenya....hizi kampuni siyo innovation ya wakenya ambao ni choka mbaya kama walivyo!
...mikelele tuu ya debe tupu,FYI EA ipo tayari na capital & labour movement are moving as we speak (legally) na hakuna kitu utafanya umebaki bashing kwa wakenya tuu na kuwaita wengine wauaji,acha kusingizia wamachinga kwa matatizo yako hao wamejaa kila kona ya dunia from NY to Beijing wanatafuta maisha tuu,then your sorry ass unafikiri you will convince other ****** like you kuwakimbiza Wakenya mtaani kwa sababu wanachukua kazi zenu(in your fantasy World) go ahead with your stupidity maana jela bado zina nafasi ya watu kama wewe,seems you re poor,bitter,loser & uneducated la sivyo usingekuwa na hiyo animosity towards other people
Bro Kanyabwoya, huyo Koba muache alivyo, maana tangu ahamie California kabadilika kabisa hata usabato kaacha.
Na anawashabikia wakenya kwa sababu ni ndugu zake wanapkana huko mkoa Mara.
Halafu sio mtu wa kawaida, maana tangu nizaliwe sijawahi ona mswahili akitetea ushoga (ufiraji) kama huyu Koba alivyo.
Kumbe Marekani si kwa kupeleka watoto. Namfahamu sana Koba nimesoma nae ila yeye aliacha shule katikati na kukimbilia marekani.
Acheni uongo, it is south african's products which have flooded East African market. In Tanzania , banks from Kenya are really struggling.
The person who has posted this is lazy at thinking! EA economy is being monopolized by SA products, Kenya is just struggling like the rest of EA! how many Kenyans co. have been acquired by SA companies? you better ask urself n stop living on propaganda from wines to beer to shoes, to fast foods to clothes all r SA! n for ur info even in Uganda SAB Miller is now the leader on beer business i dont know where do you get ur facts even the EA Brew is over 70 % owned by Diageo plc so till today Kenya cant even produce own beer! Forget about that mere propaganda even TZ has managed to do that through Serengeti Brew! i laugh when you compare NTV and Citizen tv and the rest of the media! do you know who owns those media what shares belong to Kenyans? all those companies are Kenya incorporated companies and they would be smart enough if they would be chesting themselves on own companies as Kenyans!
Bro Geza Ulole (whenever I see your name, it reminds that song of long long time ago- jokes). These guys wont understand you. coz you explained a lot on the structure of kny coys. Still they are embracing a wishful thinking.
But for those who are smart enough to understand the rule of the game, this is not the kenya vaquish. But is the foreigners strategy to use kenya as a tentacled object. They use kny as their agent to exploit the region. Kenya suits this (a very usefull trait for neo-colonialism) becoz the teritorry has never been there for the well being of its people, but for whites (foreigners) and few africans of Moi and Kenyata type. For them (Knyns), the term patriotic to the nation is a vocabulary, is not in their dictionary and is out of their social contract.
You will see, most of the foreign companies will base in Nairobi and operating in the entire region. Although that is not bad, but we need to be careful and watch these companies closer, so as to make sure that win win situation prevail and not win lose.
nathani na wewe upo gizani hujui unachoongea hayo makampuni yoote unayoongea si wakenya waliyafikisha hapo! so there is nothing Kenyans can be proud about as their success! KA (over 60% foreign owned) was bought by KLM restructured managed by KLM guys till where its is! EABL is whooping 80% controlled by Diageo so every decision made on EABL and KBL is by London Diageo Plc! Safaricom is owned by Vodafone and todate is owned by a briton and most important decisions done by britons! so these useless guys here coming bragging they are good at this or that is simply blah blah there is nothing a Kenyan can brag! get that! NMG, DTB is over 70% controlled by Aga Khan and its allies! KCB Bank is over 50% foreign owned! So they should feel ashamed of making noises at SA runs this and that in Tanzania! simply cause we know Kenyans are simply arrogant and proud for nothing and they can not do anything since they have no history in performing! so far no Kenyan has managed even to have a media empire compared that of IPPMedia or having a simple brewery! the only thing i can tell these bragging guys here is go home and sleep! The only thing they know is the likes of Kirubis stealing billions of Kenyans money (Uchumi collapsing case) since he is a Kikuyu, so are the TransCentury group & Centum group! all the inner circle Kikuyu buddies of Kibaki
i wish we would get our facts straight before running our mouths, cz it makes us look desperate. i too hate how kenyans brag but i wount deny facts that we cant play their league anymore!
just would like to ppoint afew points there for you Top Ten largest telecoms companies in Africa will tell you that the government and people of kenya calls the shots on africas 9th biggest telecomunication company which had a turnover of tsh 2,100,000,000,000 for 2011!. with a 60% stake thats alot of money, so whoever told you britons run the show, cant happen! vodafone came into the picture in 1997 when safaricom was one of the fastest growing mobile operators in africa and was 100% owned by the gvt of kenya at that time.
the gvt of kenya today still remains the single biggest stake holder and manager in KQ with 29.8%. followed by KLM at 26% shares. so bra KLM can never call the shots with only 26% shares
Definately east and central africa's biggest chain stores, nakumatt with assets to the tune of Tsh 1 trillion has branches in moshi tz, kigali rwanda, kampala uganda and south sudan is 100% owned by kenyan family Atul Shah family and hotnet limited Nakumatt - Wikipedia, the free encyclopedia those are some of the prosperous businesses they can brag and we cant!