Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,217
- 3,125
Sasa kaa mimi ni dwarf wewe unamjibu dwarf si ndio uko chini zaidi yangu. Mwe..Mbumbumbu mzungu wa reli.I am sorry,i do not have time to debate with intellectual dwarfs like you.
Ni theory gani nimeweka ? Kukwambia uache kutumia third person plural wakati uko mwenyewe? Nimekwambia ulete na data za kuonesha hoja zako, ni kipi umeleta zaidi ya huu upupu hapo chini ambao naona hata uvivu kuujibu? Huna tofauti na looser mwingine yule sijui Jammuafrika mwenye nyumba za udongo kule Kibera..hopeless in totality.Let us base our arguments on facts not your primitive and outdated theories and ideas.
This is why Tanzanias will always lag behind.You pride yourselves that South Africans are controlling your economy and think that we can bend low like you and accept to be dominated!!?NO!!
When a foreigner comes here(kenya),we allow him to invest,then we learn from him and then beat him at his own game.We have done this in Media,Banking ,Tourism Agro processing retail industries etc,while you people will forever be dominated!!what a curse!!!
The fact is and will always remain that East Africa is dominated and controlled by Kenyan comapanies mostly wholly or partly owned by kenyans.Continue soothing your concience with the lie that we are in the same situation like you.Instead of accepting positive critism you take it as an insult to your nation and people.You will be left behind and please take time and tour East africa so that you can post intelligent views here.
We should focus all our effort in educating our fellow East Africans on how we can benefit from available opportunies so that E.Africa will be truly owned by east africans,but i know because of your limited thinking capacity you will rather insult than benefit from good advise.For your info i am running three succesful companies in Tanzania,i love tanzania as a country plus many many good people i meet, but those that are supposed to be enlightened like you are the greatest curse of your good country.
Keep on complaining while we grab opportunities that are at your door step,and you will wake up when its too late for you,South Africans are not a threat at all they cant survive in Kenya and God willing we will drive them out of East Africa,this is a war that must be worn.
Real talk Moyo, let them complain, we have alot to do in and out of our borders, the empty rhetoric in this forums wont prevent me and other Kenyans from coming and doing our businesses in TZ, and most of my Tanzanian associates dont share the same sentiments as most of you, at the end of the day, we all go home a happy lot.
you must be lazy at seeing and thinking otherwise prove me that you dont have Dstv, you dont have Woolworth, you dont have Mr Price, you dont have Deacon, you dont have Steers, Nandos? you dont have financial institutions controlled by SA enhe? how about Stanbic/Standard bank? how about ur Intercontinental hotel franchise that also own all the holiday Inn hotels in Kenya? how about ICT companies controlled by SA? Wine Industry? Coca cola Franchise? Rift Valley railway company? even ur Kenya Airways SA individuals have about 20% of shares! even ur recent famine was eradicated by food from SA! How about your cement factories! do your homeworks boy and stop yaping childish here! How about the machines you use in that country of yours? Go and sleep boy
Wakenya karibuni sana bongo tunahitaji hizo business,brain,competition na capital huku,achana na hawa wajamaa uchwara wanaofikiri nchi kuendelea biashara lazima iwe owned na mzawa,hawa ni makelele tuu na hawana idea wanachoongea zaidi ya empty rhetoric na siasa zao muflisi za kijima,kama jamaa wanalipa kodi na wana play by the rules shida iko wapi?njooni mfungue malls,banks,TV stations,factories etc na hata tax break tutawapa..hawa wapiga kelele za kijima hakuna mtu anawasikiliza na hakuna kitu watafanya sana sana watakuja kuleta job application letter,wengi wao bado wanafikiria maduka ya kaya na viwanda vya serikali ndio maendeleo,bado wanafikiri serikali ndio inatakiwa kuwa na shirika la ndege,umeme,simu etc....game on wabongo!

nathani na wewe upo gizani hujui unachoongea hayo makampuni yoote unayoongea si wakenya waliyafikisha hapo! so there is nothing Kenyans can be proud about as their success! KQ (over 60% foreign owned iclude those shares on hold by incorporated companies in Kenya considered as kenya's owned at NSE) was bought by KLM restructured managed by KLM guys till where it is! EABL is whooping 80% controlled by Diageo so every decision made on EABL and KBL is by London Diageo Plc! Safaricom is owned by Vodafone and todate is owned by a briton and most important decisions done by britons! so these useless guys r coming here bragging they are good at this or that; is simply blah blah there is nothing a Kenyan can brag! get that! NMG, DTB is over 70% controlled by Aga Khan and its allies! KCB Bank is over 50% foreign owned! So they should feel ashamed of making noises at SA runs this and that in Tanzania! simply cause we know Kenyans are simply arrogant and proud for nothing and they can not do anything since they have no history in performing! so far no Kenyan has managed even to have a media empire compared that of IPPMedia or having a simple brewery! the only thing i can tell these bragging guys here is go home and sleep! The only thing they know is the likes of Kirubis stealing billions of Kenyans money (Uchumi collapsing case) since he is a Kikuyu, so are the TransCentury group & Centum group! all the inner circle (Mt Kenya mafians) Kikuyu buddies of KibakiTo all of you debating this...it is quite sad. Kwa kuanzia you all have some points but let's look at the bigger picture. Ni kweli sisi watz tunawasiwasi na wakenya and this is historical toka wakati wa Nyerere na kutufunga kwake macho, so we have been wary of Kenyans, but lets look at the reality,
FACT 1
SA companies hazi dominate Kenya kama hapa kwetu Tz sababu kubwa ni kuwa ndugu zetu wakenya wametuzidi kwenye enterpreneurship na walianza kabla yetu, Hivo basi ukiwa Nairobi huoni vitu vingi ambavyo ni made in SA kama unavoviona TZ.
FACT 2
Kenya companies zina mtazamo mzuri wa East Africa kuliko kampuni za Tz bila kujali kama hizi kampuni ni za wazawa au la...eg KQ, EABL, NMG, KCB na kadhalika ambazo zipo all over E. Africa. Swala hapa ni namna gani kampuni za Tz zichukue hii fursa ya masoko all over EA na si kulaumu kuwa kampuni za Kenya zinadominate.
FACT 3
TZ tuna utawala mbovu kwenye kampuni na mashirika yetu (especially zile former SU) classic example ATC compared to KQ or even Precision (ambayo KQ ina share kubwa tu). Swali la kujiuliza ni kwanini bidhaa au huduma ambazo ni made in TZ zinasuasua madukani nenda Kenya, Uganda au hata Rwanda same story, made in TZ ni chache wakati maduka nchi zote hizi yamejaa made in Kenya!!
Huu ndio ukweli, cha msingi sisi wabongo tukae chini tujifunze pale wenzetu walipotuzidi ili tuweze kushindana fairly...Nakubaliana na comment moja hapo juu kuwa, in Kenya hizi kampuni za SA zilipoingia waKenya walijifunza haraka na kuzipa ushindani. Kuna mtu kaisifu Serengeti Bre hapo juu na sasa EABL wanaichukua na naamini wataiboresha zaidi.
Mi I'm all for a prosperous and peaceful EA Nation!!! Umoja ni nguvu!!
Nawakilisha
Ahsante Koba, wewe ni mwafrika halisi na uko mbele ki mawazo kuliko wengi. Umoja ni nguvu lakini wengine wana mawazo tofauti kabisa.
I completely agree with you broda.
We have so much in common and we need each other.
Some love hating us Kenyans for completely no reasons at all.
Always blaming us for whatever may happen in TZ.
You have to discover your weakness so as to be strong.
Tanzania is a great country but it has wasted so much time
complaining instead of getting down and working out it's problems.
Kenya has it's own problems as is many countries but we do not look for scapegoats.
A person who keep complaining all the time must look very helpless and weak to others.
Tanzania, you're a giant, stop wasting your time and discover your great potentials.
Iddi Amin and many Ugandans had that weak idea that the biggest problem facing Uganda was the Indians and so he chased them out for Museveni to bring them back.
Ni muafrika halisi kwa sababu kawakaribisha Wakenya waje Tanzania, badala ya kwao Rwanda? Nyie mna akili za kuku kabisa..Muulize kwanini hawakaribishi Wakenya waende Rwanda? LMFAO
..stop nonsense za kibwege za kujifanya mtanzania kuliko wengine,mimi sio MTZ tuu bali nina uhakika nachangia pato la Taifa kuliko huo ushuzi wako kichwani,call me rwandese anytime & i care less and thats non of your business kama una tatizo na uraia wangu unajua cha kufanya sio kelele tuu,ignorance & blind patriotism ndio ina drive watu kama nyie,hakuna mtu amekuzuia kuanzisha biashara yako lakini akili yako unafikiria wahindi au wakenya ndio wanakufanya ushindwe,wewe na mikelele yako na bankruptcy ideologue ndio tatizo sio hao wakenya wanaofanya kazi kwa bidii kujiletea maendeleo...you need help!
Wakenya karibuni sana bongo tunahitaji hizo business,brain,competition na capital huku,achana na hawa wajamaa uchwara wanaofikiri nchi kuendelea biashara lazima iwe owned na mzawa,hawa ni makelele tuu na hawana idea wanachoongea zaidi ya empty rhetoric na siasa zao muflisi za kijima,kama jamaa wanalipa kodi na wana play by the rules shida iko wapi?njooni mfungue malls,banks,TV stations,factories etc na hata tax break tutawapa..hawa wapiga kelele za kijima hakuna mtu anawasikiliza na hakuna kitu watafanya sana sana watakuja kuleta job application letter,wengi wao bado wanafikiria maduka ya kaya na viwanda vya serikali ndio maendeleo,bado wanafikiri serikali ndio inatakiwa kuwa na shirika la ndege,umeme,simu etc....game on wabongo!
nathani na wewe upo gizani hujui unachoongea hayo makampuni yoote unayoongea si wakenya waliyafikisha hapo! so there is nothing Kenyans can be proud about as their success! KA (over 60% foreign owned) was bought by KLM restructured managed by KLM guys till where its is! EABL is whooping 80% controlled by Diageo so every decision made on EABL and KBL is by London Diageo Plc! Safaricom is owned by Vodafone and todate is owned by a briton and most important decisions done by britons! so these useless guys here coming bragging they are good at this or that is simply blah blah there is nothing a Kenyan can brag! get that! NMG, DTB is over 70% controlled by Aga Khan and its allies! KCB Bank is over 50% foreign owned! So they should feel ashamed of making noises at SA runs this and that in Tanzania! simply cause we know Kenyans are simply arrogant and proud for nothing and they can not do anything since they have no history in performing! so far no Kenyan has managed even to have a media empire compared that of IPPMedia or having a simple brewery! the only thing i can tell these bragging guys here is go home and sleep! The only thing they know is the likes of Kirubis stealing billions of Kenyans money (Uchumi collapsing case) since he is a Kikuyu, so are the TransCentury group & Centum group! all the inner circle Kikuyu buddies of Kibaki

sawa basi tumekusikia, swali langu ni wewe binafsi unachangia nini Tanzania isipokuwa kuketi vijiweni na kufyata mdomo? Nina uhakika nachangia pakubwa nchini mwako kukuliko wewe Geza Ulole Mzawa wa Tanzania, hiyo blind patriotism ndio itachangia pakubwa kwa maangamizi yenyu kama nchi, watch this space. Frustration zenyu zisiwafanye kuwa na chuki dhidi ya jirani, haisaidii hata kidogo mkipiga kelele na vifua, ni kama mwaweza fanya chochote dhidi ya majirani zenyu wakati tunajua hamna lolote ila uswahili na majigambo. Tanzania ni nchi tajiri sana, lakini ikiwa kwa mikono ya Watanzania mtazidi kuwa maskini hadi kiama, thats a fact, you are so rigid, lazy and conservative ndio maana wazungu wananyonya migodi yenyu mkibakizwa maskini wakutupa kisha mwalaumu wakenya waliokuja kuchukua mabaki yaliowachwa na wazungu. Mtabaki mkipiga kelele aisee, sisi tunapepea na tutawaacha nyuma, we are so ambitious.