Kenya kuanza kutoa Mikopo kwa Wanafunzi wa Diploma

The Sunk Cost Fallacy 2

JF-Expert Member
Nov 8, 2022
7,382
8,445
Awamu ya 6 chini ya Rais Dkt. Samia inaendelea kutoa SoMo kwa majirani..

Baada ya Tanzania Kuanza Kutoa Mikopo kwa Wanafunzi wa Diploma ,Ruto ameamua kuiga Tanzania na yeye ataanza kuwapa mikopo diploma aspirants..

Ya kuiga yako mengi,next budget tutaanza kutoa ruzuku kwa Wanafunzi wa VETA/ technicians ili wapate skills bila kikwazo, Karibuni kuiga Ni Hilo.

Ujirani Ni kuiga Mambo mazuri, hongera Jirani 👇

 
Nothing new, serikali ya Kenya imekua ikipeana HElB loans to Diploma students ku anzia kitambo. Some journalists need to do "a fact check" before publishing articles.
 
Tangu lini serikali ya Tanzania imeanza kutoa mkopo kwa wanafunzi wa Diploma?una uhakika na unachoongeq au una ushahidi wa hayo unayoyaongea ndugu yangu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…