Kenya imeondoa VAT kwenye Magari ya Utalii

MPadmire

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
3,945
3,237
Serikali ya Kenya imeendelea kuongeza Incentive kwa Wadau wa Utalii (tour Operator & Hotel)

VAT EXEMPTION Tourism Kenya

Kenya: Vat Exemption for Locally Assembled Tourist Vehicles As Hoteliers Get Credit Facility | TravelWireNews

Je, Nyie Watanzania, Maghembe wenu amefanyaje kukuza utalii na kuhimiza uwekezaji?

Hata ile Pesa yenu wenyewe mnayochangia wanaibeba (Tourism Development Levy)

----Kuna anaeweza kujibu kama Mapato ya utalii yameongezeka baada ya kuleta VAT?

Kwa nini Budget hii ya 2016/2017 Imefeli vibaya hivyoooo
 
Maghembe ameshindwa kuitetea hii sekta, mara ya mwisho umoja wa wenye kampuni za utalii (TATO) walimuumbua mbele ya waziri mkuu baada ya kusema kwa mwaka Tanzania inaingiza watalii milioni 1, TATO wakamwambia awaulize idara ya uhamiaji kama wana data hizo za watalii milioni 1 kwasababu uhamiaji si ndio wanaotoa tourist visa. Na Maghembe anajua akipendekeza tu vat iondolewe kwenye utalii mkuu wake lazima atamuondoa ofisini!
 
aibu kwa nchi yetu ambayo kutwa kucha inahangaika na wapinzani wanaokosoa utendaji

fikiria raisi ambaye anazuia hadi muziki usipigwe hapo hamna kiongozi na tusubiri majanga zaidi
 
Wanajaribu kutaka kutengeneza mazingira ya kuwa nawe assembling industry kama ya Hans Paul Kenya
 
Kenyans are really strategic, going by this initiatives by the next two years, Kenya will be a hub of assembly and related industries at the same time bringing back the tourism sector that was hit hard by insecurity some three years ago
 
Kama Waziri Maghembe unaogopa kumshauri Rais vitu vya maana kwa Taifa is shame to you and your Family

Tourism business is going down

Ziko wapi Zile takwimu TATO walimwomba Waziri akachukue Immigration ili kudhibitisha namba of Tourists vs Visitors

Watanzania mkiona jina Maghembe mlidharau
 
Kenyans are really strategic, going by this initiatives by the next two years, Kenya will be a hub of assembly and related industries at the same time bringing back the tourism sector that was hit hard by insecurity some three years ago
What is Tanzania do the same, ukumbuke at the moment Kenya mnanunua tour vans which are assembled in Tanzania.
 
Mods, hii inahusu siasa hasa maana Wabunge inatakiwa wajadili bungeni

Inahusu siasa maana Mawaziri ni wanasiasa..Maghembe na Mpango ni wanasiasa..wanatakiwa wafanyie kazi hizi taarifa ili kukuza uchumi
 
What is Tanzania do the same, ukumbuke at the moment Kenya mnanunua tour vans which are assembled in Tanzania.

Tanzania ndio inanunua body za mabasi Kenya...Master Fabrication Ni kampuni kubwa ambapo Basi nyingi za Tanzania zinatengenezwa huko

Kenya walianza kutengeneza body za magari ya safari kabla ya Tanzania.
 
Na hapo ni baada ya kugundua udhaifu wa majirani zao juu ya utalii,tumelala kiutalii mpaka miaka kumi ipite ndio yamkini tukaamka,sasa hapo badae tuanze kulalamika ooh eti wakenya wanasema mlima sekenke ni wa kwao! wenzetu wameweza kutofautisha vizuri kati ya uhalisia na siasa,Shida yetu siasa nyingi Maghembe hana analofanya kwenye utalii
 
huwa nikivaaga safari boot tuu,achana na mambo mengine,aisee ndio huwa nakuja kuwapa wakenya appreciation,jamaa wako poa kwenye sekta hii wala sio utani,wanajitahidi kwa level yao,
 
Tatizo in kua tunafikiri kwa kutumia masaburi. Hakuna alie creative KBS wanasubiri aseme baba J. Wakifikiri nje ya box kesho hawapo. Kumb. Issue ya km wa nishati vs meneja wa bandari.
 
Tourism in Tanzania ni kama engine ambayo mmiliki amekaataa kuchange oil with no apparent reason. Slowly chuma inakula chuma and it is grinding into a mighty failure. Revenue is everything kwa Government but sometimes namna ya ukusanyaji lazima iangaliwe vizuri isije kua "Bora punda afe ila mzigo ufike"
 
Back
Top Bottom