Kenya High Speed SGR Train on a Journey

Its moving at a fast speed. When it will be electrified it will be 240 km/hr because it is a class1 sgr
 
Ni ya Kenya mami, njoo tupate ride ya kwanza mimi na wewe tokea Nairobi hadi Mambasani kula madafu na kuogelea.
Ooo! Imeshaanza rasmi au hiyo niliyoona ni trial run?
Mombasa lo, siendi huko, mimi nimezoea Kibosho Moshi au Sanawari Arusha. Asante kwa ofa lakini.
 
Ni ya Kenya mami, njoo tupate ride ya kwanza mimi na wewe tokea Nairobi hadi Mambasani kula madafu na kuogelea.
huyu haikosi mwanaume kajificha nyuma ya anonymity na kujifanya mwanamke...hata swali anazouliza...ina maana hajui treni hii iko wapi? haiya! wewe mpeleke mkaogelee baharini wanaume wawili
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom