Kenya hatarini kupoteza Haki ya kuandaa AFCON 2027 kwa kushinwa kulipa ada ya uandaaji

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,500
Kenya ipo katika hatari kubwa ya kupoteza haki yake ya kuwa mwenyeji wa pamoja wa Mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) mwaka 2027. Hali hii inatokana na ucheleweshaji wa malipo ya lazima ya ada ya uandaaji (hosting fee) kiasi cha Ksh3.9 bilioni ($30 milioni) kwa Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF).
1773928225782.png
Katibu Mkuu wa Wizara ya Michezo (PS), Elijah Mwangi, alitoa onyo hilo Alhamisi mbele ya Kamati ya Bunge ya Michezo na Utamaduni inayoongozwa na Dan Wanyama.

=====

Kenya is facing a high risk of losing its rights to co-host the 2027 Africa Cup of Nations (AFCON) due to delays in paying the mandatory hosting fee of Ksh3.9 billion ($30 million) to the Confederation of African Football (CAF), Sports Principal Secretary Elijah Mwangi said on Thursday.

Mwangi told the Dan Wanyama-led National Assembly Committee on Sports and Culture that Kenya is required to pay the fee by March 30, 2026, as part of the ‘East Africa Pamoja’ bid along with Uganda and Tanzania.

Both Uganda and Tanzania have already fulfilled their financial obligations, leaving Kenya as the only partner yet to pay, and Mwangi warned that if the fee was not paid before the deadline, it threatens to damage Kenya's credibility as a tournament host.

“We have been given up to 30th of March to clear the payment of the hosting fees. We are aware that our 'Pamoja' countries of Uganda and Tanzania they have paid but Kenya is yet to pay its share of about 3.9 billion.

“And therefore the gains that we have so far made in preparations for AFCON may be jeopardised if we are not able to raise 3.9 billion by 30th of March and the communications we have had from CAF, they are very particular that we must show commitment. And one of the commitment is payment of the hosting contribution. If we are not able to raise that then our hosting will be jeopardised,” PS Mwangi told the MPs.

Mwangi also told the committee that the Kasarani and Nyayo stadiums may not be ready within the next six months as per the CAF deadline.

1773928334858.png
He stated that the company contracted to renovate the Kasarani Stadium had reduced its workforce due to a Ksh 3.7 billion debt, while the contractor at the Nyayo Stadium had walked away from the site due to a Ksh 2.7-billion debt.

1773928383299.png
“...of Kasarani Stadium, we owe the contractor in excess of Ksh3.7 billion. And the contractor has realigned—reduced his workforce. And with that, we feel that we may not be ready within six months, the deadline that was given by CAF to have the competition and training venues ready.

Source: Citizen TV Kenya
 
Nchi yenye Katiba Mpya imefilisika 😂😂😂😂
 
Kenya wameshtuka 🤣🤣

Kwa kile kilichotokea morroco kugaiwa kombe kama maandazi mashindano yajayo hayato pata mvuto wowote na itapelekea watu wengi kuacha kufuatiilia Hilo kombe so Kwa Nchi yoyote itakayo shiriki kuandaa hayo mashindano itaishia kupata hasara tu

Byw kumbe Kuna mihela mingi kiasi hicho ambacho muandaaji Huwa anatoa ndio maana kumbe morroco wakapewa kombe huwenda walitishia kuhitaji kurudishiwa mihela Yao

Waweza kukuta morroco walitoa mara 5 ya hizo
 
1. Si tuliambiwa kuwa kenya viwanja vimekamilika, Tanzania ndo tunasua sua..imekuaje tena?
-unaposifia jambo humu JF ili uonekane unapondea vya nyumbani uwe unabakiza na akiba ya maneno

2. Wazee wa katiba mpya na nzuri hata hili wamepwaya

3. Kila nikiangalia taarifa ya habari kenya wenye katiba nzuri wanavyoshindwa kuwahudumia watu wenye njaa huwa nashndwa kuelewa uchumi wao mzuri wao uko wapi
 
Uchumi upo kwa mabeberu wachache. Mwalimu alianzisha ujamaa humkuelewa madhara ya ubepari ndio hayo watu wana hela ila serikali ni kapuku
 
1. Si tuliambiwa kuwa kenya viwanja vimekamilika, Tanzania ndo tunasua sua..imekuaje tena?
-unaposifia jambo humu JF ili uonekane unapondea vya nyumbani uwe unabakiza na akiba ya maneno

2. Wazee wa katiba mpya na nzuri hata hili wamepwaya

3. Kila nikiangalia taarifa ya habari kenya wenye katiba nzuri wanavyoshindwa kuwahudumia watu wenye njaa huwa nashndwa kuelewa uchumi wao mzuri wao uko wapi
Jitahidi kuelewa mada, kenya hapokwi haki ya kuandaa mashindano kisa viwanja, sababu ni ada.
 
1. Si tuliambiwa kuwa kenya viwanja vimekamilika, Tanzania ndo tunasua sua..imekuaje tena?
-unaposifia jambo humu JF ili uonekane unapondea vya nyumbani uwe unabakiza na akiba ya maneno

2. Wazee wa katiba mpya na nzuri hata hili wamepwaya

3. Kila nikiangalia taarifa ya habari kenya wenye katiba nzuri wanavyoshindwa kuwahudumia watu wenye njaa huwa nashndwa kuelewa uchumi wao mzuri wao uko wapi
Katiba ya Kenya ni nzuri lakini bado Kenya ina ufisadi kuliko Tanzania
Lakini hilo haibadili ukweli kuwa katiba yao ni nzuri kuliko yetu.
Sisi katiba mbovu imepelekea mauaji ya maelfu ya vijana na ukiponda serikali unatekwa
Kenya ina wanaharakati wa kisiasa na wakosoaji wengi kuliko Tanzania na hawahofii kutekwa
 
Umepima vipi viwango vya ufisadi? Kenya wana sauti ukifanya ufisadi unaanikwa hadharani Dunia yote ijue. Sio kama Tanzania, juzi tu mwandishi wa habari katoa lawama kwa shirika kuhusu ratiba za ndege tu serikali imeingilia kati wanamwita mchochezi, nchi gani hii
 
Back
Top Bottom