Kenya General Service Unit(GSU) vs Tanzania Soldiers

kama hamjui hata askari wenu wanawakubal jw na sio nyie tuu greatlakes hadi south of africa wote wanawakubal jw kwa kupika askar bora we ni nani had ubishe ?
bro kua serious ...we own u!! in every aspect except ufisadi tuu
we mwenyewe apo ulipo unataman ku visit bongo na hio inatosha kusibitisha umepost uharo hapa hivi huko kwenu hamuwezi kureason au shule mlienda kusomea ujinga?
 
Hii matapiko uliyomwaga hapa inaonyesha kuwa wewe ndio ulisomea ujinga katika st Kayumbe primary school.
 
Hii matapiko uliyomwaga hapa inaonyesha kuwa wewe ndio ulisomea ujinga katika st Kayumbe primary school.
ushahara tena em kua na adabu na ukumbuke hii ni tz nchi yenye heshma yakipee world wide usifikiri hizo sifa anapewa kila mtu
you kunya'ass you should keep it

tena kama nyie wala hatuta wapiga makwenzi tukfunga namanga na ku ban kq mnakufa njaa yanii you need us kuliko sie ni kama baba yan always mtt lazima amtegemee baba
 
Hawa jamaa hawana ulinganifu hapa EAC

images
 
Alshabaab hua wanaamua kuwashika matako hao wanajeshi wa kenya tena wanawataarifu tunakuja huko kuwashika matako wakenya na wabajeshi wao huvua nguo zote wanashikwa matako hadi wanakubali mziki wa mabwana zao alshabaab
 
Sijaelewa, yaani hiyo ndio kama Tanzania tunaita National Service au?

Tanzania national service (JKT) wapo mbali wanajenga barabara, maghorofa, wanamiliki viwanda, mashamba makubwa, ufugaji mkubwa, shughuli za uvuvi, security company na mengine mengi, wapo kiuzalishaji zaidi
 
Usiwalinganishe national youth service yetu na vitu vya kijinga...
NYS ni zaidi ya wale wavunja matofali wenu
Sijaelewa, yaani hiyo ndio kama Tanzania tunaita National Service au?

Tanzania national service (JKT) wapo mbali wanajenga barabara, maghorofa, wanamiliki viwanda, mashamba makubwa, ufugaji mkubwa, shughuli za uvuvi, security company na mengine mengi, wapo kiuzalishaji zaidi
28059091_10156260802509430_4612636409668612315_n.jpeg
gil-gil-kenya-23rd-apr-2015-graduates-of-the-national-youth-service-EMYB8G.jpeg
resocial-2.jpeg
11216585_469821613180886_6321056049432555577_n.jpeg
nys-kenya-780x405.jpeg
thumb_dozua8wvcpi0yzglk5b087968b827d.jpeg
nys.jpeg
thumb_qjod0k6cr5pmtq5aae3791bc023.jpeg
paramilitary-1.jpeg
 
Uganda si mlifanya collabo tu...niletee vita mlishinda peke yenu kwanza ndio nowakubali...

Marekani tu magaidi wa midsle east zaidi ya miaka sijui mingapi bado wanateseka tu..we wachezea kupigana vita na wafu., we utamua kumbe yeye kafa kitambo kisaikolojia..

Karibuni somalia kwanza..tuone km yale matofali yatawasaidia
Nyie Nyau nyie!, hebu waulizeni wenzenu wa UGANDA tuliwafanya nini 1977-1978. Yaani pale waste gate militumia karibu siku 3 kuokoa watu afu mnataka kujifananisha na JWTZ.

hao hapo juu wanafanya maigizo au nini?
 
Hii tabia ya Waafrika kupimana makende nani anayo kubwa haivutii. Tujirekebishe jameni, sisi ni majirani.
 
Kuvunja matofali hku kwetu tumewaachia hao vijana...
Wakipewa bunduki nakwambia jwtz kw uwanja wa vita wanakimbia...vijana wa mapanga tu waliwatoa jasho
Bila ukakamavu huyo sio mwanajeshi au mpaka mzungu afanye ndio unaona sawa?

Haya huyo hapo
24sino-PLA02-articleInline.jpg
 
Back
Top Bottom