Kenya 'faster than America for mobile internet'

LightYagami

JF-Expert Member
Dec 6, 2016
2,825
1,493
Kenya 'faster than America for mobile internet', Focus on Africa - BBC World Service
Kenyans enjoy faster mobile internet speeds than American, Taiwanese, Irish and Swedish citizens, according to a new report by Akamai. Overall, the East African country ranks 14th of the 130 countries surveyed. Kenyan internet specialist Njeri Rionge explains to BBC Africa's David Amanor why this comes as no surprise to many in the sector.
 
In fact Kenya is developed than US.
 
Acheni sifa za kijinga nyie......mtaanzaje kuwazidi Waamerika sasa mmefika mbali kwa sifa zenu za kijinga
 
Makubwa haya...research wafanye wao, developement wafanye wao kisha waanze kuwapa nyingi huko africa.
 
Nyie acheni upuuzi hata zantel tu hamfui dafu sembuse AT & T, Verizon?
 
Hongera, we have come a long way. I remember back in the days internet used to cost Kshs 45/- a minute and used to connect using modems that would dial like normal phone using landline but right now it's available all over and sometimes even free and fast.
 
povu gani? unaweza kumzidi ubora mtengenezaji?
Sindio .....Russia Ina Nuclear war heads 17,000
Marekani wana 9000

Mmarekani ndie alitengeneza Nuclear ya kwanza

Mnafikirianga nkama ma shule zenu hazifanyi vyema...

Internet speed haimaanishi umemshinda mtengenezaji inamaanisha tumeweka infrastructure yetu vyema ku allow Fast internet

South Korea Ina 27mbps
Kenya ina 17mbps
USA in 14
.
.
South Korea in 1969 was worse than Kenya or USA combined

Sai South Korea Developed

Siku ile Hyo Slave mentality ya Kuona Mzungu ni mkubwa wako ikikutoka utaenda mbali...

Mnafikiria Mwafrika kusonga ni Propaganda ndio maana Tanzania imelala kuuwa albino
 
Hii hapa Article ya 2016 ya Daily Mail UK

game over

1497476666066.png
1497476715084.png
1497476719759.png

Sio Mkenya aliandika Hata
 
Guys mko ahead kwenye fast internet itumieni positively, mfano Al Shabab wakivamia mnaforward taarifa kwa vyombo husika faster.
Au mnaanzisha hashtag twitter.

Kutumia hiyo fast internet kubishana na mTz wakati huu ni kujitafutia shida, kuna swala la makinikia linatusumbua.
Vichwa havifanyi kazi.
 
Sindio .....Russia Ina Nuclear war heads 17,000
Marekani wana 9000

Mmarekani ndie alitengeneza Nuclear ya kwanza

Mnafikirianga nkama ma shule zenu hazifanyi vyema...

Internet speed haimaanishi umemshinda mtengenezaji inamaanisha tumeweka infrastructure yetu vyema ku allow Fast internet

South Korea Ina 27mbps
Kenya ina 17mbps
USA in 14
.
.
South Korea in 1969 was worse than Kenya or USA combined

Sai South Korea Developed

Siku ile Hyo Slave mentality ya Kuona Mzungu ni mkubwa wako ikikutoka utaenda mbali...

Mnafikiria Mwafrika kusonga ni Propaganda ndio maana Tanzania imelala kuuwa albino

Unazungumza vitu gani vya kijinga hapa!! Sijui umri wako ni miaka mingapi maana una andika vitu vya kitoto mno - muombe Mkenya mwenzako one MK254 akuelimishe kidogo kuhusu masuala ya ICT.
 
Hii hapa Article ya 2016 ya Daily Mail UK

Sio Mkenya aliandika Hata

Hata akili za kujiuliza hivi hii article imekuwa filed na nani/mwandishi kutoka Taifa gani? Kwa bahati mbaya inaonekana akili za kujihoji suala hilo wewe huna kabisa!! Kwani UK hakuna Wakenya?
 
Hata akili za kujiuliza hivi hii article imekuwa filed na nani/mwandishi kutoka Taifa gani? Kwa bahati mbaya inaonekana akili za kujihoji suala hilo wewe huna kabisa!! Kwani UK hakuna Wakenya?
Foh mchawi

Not today.

Maliza bundles zako tupatane hapa next month!!

Githaa yako sina

Wewe Zua utakavyo

What has been Said is Final

F O H!!
 
Back
Top Bottom