Kenya Elections | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kenya Elections

Discussion in 'International Forum' started by Dua, Oct 10, 2007.

 1. Dua

  Dua JF-Expert Member

  #1
  Oct 10, 2007
  Joined: Nov 14, 2006
  Messages: 2,481
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  'It's time for change - no one can stop us'  OK, our neighbour are just two months away from having a new president. Who will come up on top?
   
 2. Dua

  Dua JF-Expert Member

  #2
  Oct 19, 2007
  Joined: Nov 14, 2006
  Messages: 2,481
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Dust and promises fly on Kenya's election trail.

  Mkenya tell us what is happening there on the ground.

  Alai I hope you are OK any news?
   
 3. K

  Kalamu JF-Expert Member

  #3
  Oct 19, 2007
  Joined: Nov 26, 2006
  Messages: 874
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Dua,
  This is going to be an important lesson for all in EA; but especially so for us in Tanzania. I think Kenya is going to pull this off this time!

  That is, if ODM pulls this through safely; and if the system allows it to stand. We are yet to witness the tricks that are inherent with the incumbency.

  Hopefully,CCM and our vyama vya Ushindani will be watching this carefully as it unfolds before our eyes!

  But the important lesson will be to the people of Tanzania. CCM si mama wala baba. Kama itaendelea kuwa chama cha matajiri, basi tuwaachie wenyewe, tutafute utaratibu mwingine.
  Vyama vya Ushindani, bado hamjatuonyesha kuwa mnao uwezo wa kuleta mageuzi tunayoyahitaji. Fanyeni kweli sasa.
   
 4. Idimi

  Idimi JF-Expert Member

  #4
  Oct 19, 2007
  Joined: Mar 18, 2007
  Messages: 10,222
  Likes Received: 2,086
  Trophy Points: 280
  I am seriously worried about this tribalism disease. Where are the politicians leading Kenya to? Down through a blind alley or something else? Is someone being elected because he's a Mjaluo, Mkisii, Mmasai, Mkalenjin or Mkikuyu? Why?
   
 5. M

  Mee wa Mavituuzi Member

  #5
  Oct 19, 2007
  Joined: Aug 2, 2007
  Messages: 61
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Guys Kenya Ni Tofauti Na Tanzania ,,kule Ukabila Umetawala Sana Na Ndio Maana Wakiamua Kuungana Makabila Machache Umekwisha,,na Hiki Ndicho Kitakachomtokea Bwna Kibaki,,akusoma Dira Za Wakenya,,wakenya Awaangalii Sura Kama Watanzania,,babu Nyerere Aliwaeleza Hili,,ikulu Si Sehemu Ya ......leo Hii Mnawaita Mafisadi,,subirini Ufisadi Zaidi 2010,,mumjue Katokea Bagamoyo Au Mtwara,.....
   
 6. Dua

  Dua JF-Expert Member

  #6
  Oct 23, 2007
  Joined: Nov 14, 2006
  Messages: 2,481
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Mwai Kibaki amevunja bunge rasmi jana tayari kwa uchaguzi mwezi December.
   
 7. Mtoto wa Mkulima

  Mtoto wa Mkulima JF-Expert Member

  #7
  Oct 23, 2007
  Joined: Apr 12, 2007
  Messages: 687
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  hizi ndizo siasa za Kenya nimecheka sana.

  [media]http://www.youtube.com/watch?v=-H2Cg-s4LNo[/media]

  [media]http://www.youtube.com/watch?v=B9yhsbYxWm4[/media]

  [media]http://www.youtube.com/watch?v=MRK-dLe8Bsw[/media]

  http://www.youtube.com/watch?v=B9yhsbYxWm4
   
 8. Kenyan-Tanzanian

  Kenyan-Tanzanian JF-Expert Member

  #8
  Oct 26, 2007
  Joined: Nov 7, 2006
  Messages: 307
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Read my words....says Kenyan-Tanzanian
   
 9. Kenyan-Tanzanian

  Kenyan-Tanzanian JF-Expert Member

  #9
  Oct 26, 2007
  Joined: Nov 7, 2006
  Messages: 307
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  --------Kenya Yakaribia Kanaan-------


  Jamvi la kihistoria la mabepari wa kibaada-ukoloni nchini Kenya sasa ni bayana litajifunga mwishoni mwa mwaka huu. Hali hi ya kihistoria ambaye itaona mamlaka ikihamishwa toka katikati ya nchi hadi mashinani kwa namna mbalimbali (devolution of power) imetokana na kule kukubalika kwa chama cha ODM na mgombeakiti cha urais, Raila Odinga - mwanawe muanzilishi wa siasa za upinzani nchini Kenya, Marehemu Mzee Jaramogi Oginga Odinga.

  Raila ambaye alikuwa kizingiti muhimu katika ile manwari (muungano wa vyama) ya kisiasa NARC iliyomng'oa Rais Mstaafu Moi mamlakani 2002 sasa anazidi kuvuma kama Musa ambaye waKenya waliowengi walidhani yupo ndani ya Rais Kibaki ila kwa maoni yao hawajaiona Kanani yake hadi wasasa. Mwaka wa 2005, baada ya Katiba Mpya iliyoonekana kuwa itazidikuzikita mizizi za mabepari waKenya na wameoziteka asasi za serekali kati (yaani centralized government)kupingwa vikali na wanachi waKenya wakiongozwa na Raila Odinga, Kibaki aliwatimua Raila na wenzake wengi tuu licha ya wao kumsaidia Kibaki mwenyewe kuingia ikulu japokuwa alikuwa kalazwa London baada ya ajali iliyotokea akiwa kwenye kampeni (2002).

  Hivi leo, kila kuchao, kura za maoni, akina mama na maseela mitaani, wakongwe na watoto vitongojini kote nchini wanakubali kwamba Serekali ya ODM (Raila na wenzake waliotimuliwa na Kibaki)sio siri au ndoto tena ila wazo nyeti ambalo wakti wake umewadia. Uvumilivu umefika tamati. Mbegu ya fikra ya kisiasa iliyopandwa na waIngereza, ikapaliliwa na Serekali ya awamu ya kwanza ya Kenyatta pamoja na zile zilizofwata za Moi na Kibaki (sasa wanamlea mwanawe Kenyatta aiitwayo Uhuru pengine ariidhi Kibaki), mbegu hiyo imepanda mti wa sintofahamu nchini ambayo ni lazima ikatwe.

  Nayo ile mbegu ya fikra ya kisiasa ya makamu wa Rais wa kwanza nchini chini ya Kenyatta yaani babke Raila aliyeitwa Jaramogi Oginga Odinga kumbe iliota hata ndani ya miiba. Sasa imewadia wakati ambayo mti huo wa kwanza wa siasa yaani ule wa Kenyatta ni lazima ukatwe ili ule mwingine yaani wa Jaramogi umee. WaKenya wanasema hapana Kibaki asiendelee kwasababu wako tayari kujaribu matunda ya uhuru yanayomea kwa mti tofuati wa kisiasa.

  By voting for Raila and by proxy Jaramogi (posthumously)Kenyans will be symbolically saying to the Kibaki-Moi-Kenyatta clan a collective:

  "No to our centralized government structure that has only favoured central province, central government officials, central towns, central capital, central human capital, central education and other institutions, central literature, central anticolonial history, central intellectuals, central judiciary, executive and legislative arms of governance and all that have made an unjust centre to hold for four decades and yes to decentralization in all its forms, major and minor (from politics to literature)".


  Hivi ndio maana najiunga na wananchi wenzangu watokao maeneo ambayoyamekuwa pembeni mwa ulaji wa keki ya kitaifa kubashiri kuwadia kwa serekali ya awamu ya nne yenye ari, kazi, nguvu mpya na hata mawazo mapya ya uongozi nchini. Karibuni ODM. Tawaleni Kenya.

  Hizi hapa picha mbali mbali zinazotuweka hai ndani ya bahari hili la homa ya kisiasa au ukipenda "Election Fever".

  1. http://www.youtube.com/watch?v=wz3pXskASz4
  2. http://www.youtube.com/watch?v=tpZhJaJVbMI
  3. http://www.youtube.com/watch?v=dlusA1FcjtY
  4. http://www.youtube.com/watch?v=OjmGlaUJbKk
  5. http://www.youtube.com/watch?v=MSQ4ec_Lc78
  6. http://www.youtube.com/watch?v=HLm6vPCM61U

  PS: Ingawaje siasa za Kenya zimefananishwa na mawimbi ya bahari yaani zinaweza badilika wakati wowote ule na kupuliza upande tofauti na ule wa awali, hatakiwi mtu kuwa na akili za Albert Einstein kubashiri ni upande upe kati ya ODM (RAILA) na PNU (KIBAKI) utaingia Ikulu ya Nairobi, Januari 2008. Jameni tumpatieni Raila sikio ilituweze kupiga kura yenye hisia na fikra pia. Hii hapa tovuti ya huyu Shujaa wa Afrika ya Karne 21. www.raila2007.com

  ODM! MAISHA BORA KWA WAKENYA WOTE (CCM! MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA)
   
 10. Kenyan-Tanzanian

  Kenyan-Tanzanian JF-Expert Member

  #10
  Oct 26, 2007
  Joined: Nov 7, 2006
  Messages: 307
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  The following print and electronic media online will also help you keep abreast word on the streets as the election temperatures soar towards the most titanic of political contests in the history of East Africa. The results will be remembered, studied, researched, archived and experiemented with for a long long time to come. Mark my words.

  The views below are mine and categorize the medias as I judge them:

  1) PRO-KIBAKI, PRO-PARTY OF NATIONAL UNITY (PNU)

  www.nationmedia.com
  www.nationaudio.com
  www.youtube.com/ntvkenya
  www.communication.go.ke

  2) PRO-RAILA, PRO-ORANGE DEMOCRATIC MOVEMENT (ODM)

  www.eastandard.com
  http://216.139.225.126:7008/live_tv_ke
  www.raila2007.com


  _____________

  It takes more than rumuors and heresy to understand the complex issues (historical, political, tribal, economic, regional, gendered, international, national, religious, generational,personal, psychological and even imagined) that are contributing to the almost euphoric mood with which Kenyans are facing the forthcoming elections. Read, listen and discuss then develop your informed position. For me, I am ODM DAMU.
   
 11. Kenyan-Tanzanian

  Kenyan-Tanzanian JF-Expert Member

  #11
  Oct 26, 2007
  Joined: Nov 7, 2006
  Messages: 307
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  See my recent posts under the thread: Kenyan Politics to get a view of what is happening on the ground as you put it.
   
 12. Kenyan-Tanzanian

  Kenyan-Tanzanian JF-Expert Member

  #12
  Oct 26, 2007
  Joined: Nov 7, 2006
  Messages: 307
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Dua check out my post under the thread: Kenyan Politics
   
 13. Bongolander

  Bongolander JF-Expert Member

  #13
  Oct 28, 2007
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 4,882
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 135
  Kenyan Tanzania
  Lakini ninachisikia kutoka kwa wakenya wengine ni kuwa, pamoja na kwamba Odinga na nafasi fulani ya kushinda lakini kuna hatari kuwa ataisambaratisha Kenya na sera ya yake ya umajimbo na kuwazuia wakikuyu kununua hisa kutoka kwenye viwanda vikubwa. Nasikia wajaluo wakiletewa hudama ya maji na Tuju wanakataa wanasema kama hajaleta Odinga hawawezi kutumia, hata kwenye katiba walisema kama katiba imesomwa na Odinga basi wajaluo wote wamesoma, sasa kama mwanasiasa anakuwa na base ya ukabila na sera za umakabila basi ni hatari.
   
 14. Dua

  Dua JF-Expert Member

  #14
  Oct 29, 2007
  Joined: Nov 14, 2006
  Messages: 2,481
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  [​IMG]
  (photo: AP Photo. Khalil Senosi, File/)

  First Lady urges Kenyans to support the President
  Speaking of gender violence? Well well here we go..............Siyo huyu mama aliyekwenda kuwapiga waandishi wa habari asubuhi na mapema?
   
 15. Dua

  Dua JF-Expert Member

  #15
  Jan 1, 2008
  Joined: Nov 14, 2006
  Messages: 2,481
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Why EA's chaotic elections no longer scare the tourists away

  Onyango has lost the name Kenya. How can one country be East Africa, I wonder ............  And then ................
  ... Forgive those who trespass

  Interesting reading.......................
   
Loading...