KANU yanyang'anywa Umiliki wa Jengo la KICC, Jaji asema lirudishwe serikalini

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
87,565
150,085
CCM tukiwa tunaendelea kiwafariji rafiki zetu wa ANC Leo tena Mahakama nchini Kenya imebatilisha umiliki wa Ardhi ya KICC iliyokuwa inamilikiwa na KANU na sasa itamilikiwa na Serikali kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii

KICC ni kitegauchumi kikubwa kama ilivyo AICC

Poleni Sana KANU šŸ¼

===========

High Court has ruled that the Kenyatta International Convention Centre (KICC) belongs to the Government of Kenya ,dismissing a petition by the Kenya African National Union (KANU) party seeking to be declared the owner .

In a ruling on Monday, Judge Jackline Mogenyi said that the commissioner of lands in 1989 had no power to alienate the land to KANU.

While revoking the title deed in the name of KANU, court noted that the allocation of KANU without following due process is illegal and unconstitutional.

"A declaration that Ministry of Tourism is the lawful owner of the land and KANU registration is unlawful, illegal and unconstitutional," court declared.

For years, KANU has claimed ownership of the property, and had listed it among its assets in filings to the Registrar of Political Parties.

KICC was thought to be the property of KANU until President Mwai Kibakiā€™s government took over it in 2003.

Now, the property is among those sent for privatisation.

KICC.jpg

Naomba Mungu siku moja jambo hilo litokee hapa kwetu, haiingii akilini eti viwanja vyote vikubwa vya michezo nchini viwe mali ya chama cha siasa,ni kweli kuwa kuna vitega uchumi vidogo vidogo ambavyo siku hizi tunaviona vikijengwa na ccm na vyama vingine,hivyo sawa,viwe vyao, ila rasilimali kubwa za nchi hazipaswi kuhodhiwa na chama ambacho kinaweza kupoteza madaraka wakati wowote,ni kuchochea uporaji wa rasilimali hasa pale chama hicho kitakapojitathmini na kuona kinaenda kupoteza power,wanaweza hata kuiuza benjamin mkapa stadium au sheikh amri abeid, si vyao?
 
CCM ni wakati wenu wa kuachia viwanja vya michezo vilivyopatikana baada ya watanzania kuchangishwa.
Lakini pia rudisheni maeneo ya wazi (Open space) mliyovamia kinyume cha sheria wakati wa ukiritimba wa chama kimoja. Msiporudisha sasa mtanyang'anywa kwa nguvu siku zijazo.
 
Sisi sio tu chama kinamiliki ila wamejigawia kabisa maeneo mengi sana
Kwenye vitega uchumi vingi wapo wanaolamba hela kila leo za makusanyo
Kuna sehemu pembezoni ya masoko wanakula kiukaini

Tatizo sheria mbovu, anaweza kuja mbabe akataifisha kwa mbwembwe halafu baadae ikawa mali yake
Nchi masikini haziaminiki hata mali zako Rais anakuja anapora tu
 
CCM tukiwa tunaendelea kiwafariji rafiki zetu wa ANC Leo tena Mahakama nchini Kenya imebatilisha umiliki wa Ardhi ya KICC iliyokuwa inamilikiwa na KANU na sasa itamilikiwa na Serikali kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii

KICC ni kitegauchumi kikubwa kama ilivyo AICC

Poleni Sana KANU šŸ¼
Kituo kinachofuata ni Lumumba
 
Sisi sio tu chama kinamiliki ila wamejigawia kabisa maeneo mengi sana
Kwenye vitega uchumi vingi wapo wanaolamba hela kila leo za makusanyo
Kuna sehemu pembezoni ya masoko wanakula kiukaini

Tatizo sheria mbovu, anaweza kuja mbabe akataifisha kwa mbwembwe halafu baadae ikawa mali yake
Nchi masikini haziaminiki hata mali zako Rais anakuja anapora tu
Yaani
 
CCM ni wakati wenu wa kuachia viwanja vya michezo vilivyopatikana baada ya watanzania kuchangishwa.
Lakini pia rudisheni maeneo ya wazi (Open space) mliyovamia kinyume cha sheria wakati wa ukiritimba wa chama kimoja.
Msiporudisha sasa mtanyang'anywa kwa nguvu siku zijazo
Tuanze na kiwanja kipi kile cha Namungo?
 
Back
Top Bottom