Ama kweli inasikitisha sana baadhi ya watu wana wamegeuza hali ya kenya kuwa kati ya waluo dhidi ya kikiyu, na wanamuona Raila ndiyo mwenye hatia kuliko kibaki. Masatu na Eddy.kisumu hadi sasa waluo 358 wamepigwa risasi nakufa, huku mamia kwa mamia wakijeruhiwa. kisumu hali ni mbaya zaidi kuliko mnavyo fikiri. ni kweli siyo lazima masatu ampende Raila lakini anachokiandika hapa jf kuhusu hili la kenya!!!! napata mashaka na uelewa wake.
Wakenya wakiamua kumpa raila uongozi ni juu yao, akivuruga ni hao hao wakenya ndo watakao amua.
Mwendapole you are very right, but flip the next page, dont you think we Africans very much understand what is at stake? dont you think that the western powers take advantage of our greedy and selfishness? dont you think if at all Kibaki and his power/wealth hungry clique were reasonable to understand what is at stake they could have evaded all these calamities befalling wananchi? and insteady built a better Kenya?As an African, I say it again, we are the best enemy of our progress. The time has come to stop shifting our misfortune to the west. All countries have their national interests and will always be ready by any means to protect them such as USA so is China, so is Russia, Iran, Korea Venezuela among others. We have to know that we live in a very changed world, where everybody is ready to exploit any opportunity likely to increase his clout in international spheres.
what kibaki did was a day time robbery and here we come complaining if the west takes advantage of the chaos to entranch their agendas! Hata kama ni sisi, pale moto unapowaka, tunakuwa tayari kuangalia tutafaidika vipi. Na hili la Kenya wala usiumize kichwa ndugu, ni sisi kwa ujinga wetu na kwa kuangalia maslahi ya mda mfupi tunayasababisha. Kibaki anakimbilia miaka 80 lakini jiulize, is it worthy kweli anayoyafanya?
Of all countries look at South Africa what Mbeki is doing! he still wants to cling to power and now the unfolding episode between him and Zuma, kesho na kesho kutwa ukiona damu inaanza kumwagika upya South Africa tutasema kuna mkono wa mtu? (indeed uwezekano ni mkubwa kama Zuma atazuiwa kugombea uraisi)
Hapana Africa we should grow up! These empty rhetorics of democracy and rule of law will do us no favour if we are not really commited to build a better Africa.
Majeshi ya Uganda kuingia Kenya????
Habari zilizonifikia asubuhi zinasema kwamba Mombasa mambo si mambo, kuna magari ya mafuta yamechomwa moto. Kumbukeni kwamba sasa hivi Uganda kuna uhaba wa mafuta (petrol/diesel) na kwamba kulikuwa na malori zaidi ya 150 yalikuwa njiani kuelekea Uganda lakini haijulikani kama yatafika salama. Je, vijana wa Mombasa wakianza kuchoma moto magari ya mafuta yanayokwenda Uganda, Bwana M7 atachukua hatua gani?
Nina uhakika vijana wa Mombasa wameishasikia kwamba M7 kamuunga mkono Kibaki, kwa hiyo magari ya Uganda yanaweza kuwa target, na hapo ndipo M7 atapata sababu ya kuingiza majeshi yake nchini Kenya. Hapa naona inatengenezwa DRC nyingine na sijui kama Kenya itasalimika.
By calling a rally at this time when hundreds of people have died he is painting himself bloody red, much to the advantage of his adversary. Like it or not, when people are dying and he is advocating for a mass rally, that is tantamount to advocating for genocide; and that taints his image and he loses the sympathy of the international community.
SERIKALI YA KENYA IMESISITIZA KWAMBA MATATIZO YA SASA NI YA NDANI HAYAHITAJI TUTU, KUFOR SASA NAONA WANACHADEMA HAWAJALIJUA HILI.
SASA HUKU KWETU TANZANIA TUNAANZA KUWA NA VIMBELEMBELE AS IF YA KWETU TUNAFANYA VIZURI,
TAZAMA WANASIASA WENU WANASEMA JE?
Posted Date::1/3/2008
Chadema kupinga Kibaki kwa maandamano
Na Muhibu Said
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimetangaza azma ya kufanya maandamano ya amani hadi ubalozi wa Kenya nchini hapa, kulaani matokeo tata ya Uchaguzi Mkuu yaliyompa ushindi Rais Mwai Kibaki na kusababisha vurugu na mauaji ya raia nchini humo.
Mbali na kulaani matokeo hayo na mauaji, maandamano hayo yatakayovishirikisha vyama vya CUF, TLP na NCCR-Mageuzi pia yanalenga kumshinikiza Rais Kibaki kuachia ngazi na wadau wengine kuchukua hatua mbalimbali ili kuokoa mtafaruku wa kisiasa ulioikumba nchi hiyo.
Kwa mujibu wa Chadema, maandamano hayo yanatarajiwa kufanyika kesho sambamba na mkutano wa hadhara utakaohutubiwa na viongozi wa vyama na wanaharakati mbalimbali na kuhitimishwa na ujumbe wa mshikamano utakaowasilishwa katika Ubalozi wa Kenya nchini.
Azma hiyo ilitangazwa na Chadema kupitia barua yake ya Januari 3, mwaka huu, iliyoelekezwa kwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni, Kanda Maalum ya Dar es Salaam, iliyosainiwa na Mkurugenzi wa Habari na Uenezi wa chama hicho, Erasto Tumbo.
"Tunakusudia kuandaa maandamano ya amani siku ya Jumamosi tarehe 5 Januari mwaka 2008 kuunga mkono harakati za wapenda demokrasia na maendeleo, kulaani matokeo mabaya ya uchaguzi, mauaji yanayoendelea na kueleza na kushinikiza hatua mbalimbali zinazotakiwa kuchukuliwa na Rais Kibaki na wadau wengine ili kuondoa machafuko Kenya.
"Tunaamini kwamba matokeo ya uchaguzi wa Kenya na hali ya kisiasa ambayo imetokana na matokeo hayo ni masuala ambayo yanawagusa pia Watanzania na wapenda demokrasia wote kutokana na uhusiano wa kisiasa, kiuchumi na kijamii baina ya raia wa nchi hizi," ilieleza sehemu ya barua hiyo ya Chadema.
Kwa mujibu wa barua hiyo ambayo Mwananchi imepata nakala yake, maandamano hayo yataanzia Urafiki katika eneo la soko la ndizi kesho saa 4:00 asubuhi na yatapita katika Barabara ya Morogoro na kuelekea katika Uwanja wa Manzese Bakhressa ambako yatasimama kwa muda kwa ajili ya mkutano huo.
Baada ya mkutano huo, maandamano hayo yataendelea kwa kupita katika barabara hiyo na kuingia katika Barabara ya Kawawa kisha Barabara ya Kinondoni na kuishia katika Ubalozi wa Kenya ambako ujumbe huo utawasilishwa saa 9:00 alasiri.
"Pamoja na Chadema, vyama vya CUF, TLP na NCCR-Mageuzi navyo vitaalikwa kushiriki kwenye maandamano hayo ambayo yatakuwa pia wazi kwa umma kushiriki.

.
Quote: kilitime