Mwafrika wa Kike
JF-Expert Member
- Jul 5, 2007
- 5,185
- 65
Yep, a bad one but you seem to get the point bro. Kwa mfano wako wa Tz, umesogeza point yangu a step further..
Kama kikomo ni miaka kumi; raisi anaingia madarakani, anaweka mikakati ya miaka kumi, halfway through anabadilishwa, unafikiri yeye kama raisi ana hasara au ni sisi walalahoi ndo tunabeba gharama za mabadiliko? hata sasa Jk anaboronga lakini bado siamini kama kumtoa baada ya term yake ya kwanza ni dawa..afterall tukimuweka mwingine naye tatatumia miaka yake mitano ya kwanza kujipanga, kununua suti mpya, kujitambulisha nje na ndani na kulipa fadhila. Tukubaliane kuwa Ben alifanya kazi katika kipindi chake cha pili, sasa tukubadili kila miaka mitano kwangu sio dawa..give em the full two terms and see, or, opt for another and spend another five years of whinning
Mkuu
Wakenya wako sawa historia inaonyesha kuwa viongozi wa Kiafrika huwa wanaficha makucha kipindi cha kwanza.Ni JK tu aliyetoa kucha kipindi cha kwanza.
Kipindi cha lala salama huwa wanafanya kweli.
Nakumbuka Mwaka 2006, Rafiki yangu pale Nairobi alisema wameteseka sana na KANU hivyo watahakikisha Kibaki hapati tena muhula mwingine hili asije kuzoea na kuwasumbua.
Sasa wamefanya hivyo.
Asante K-T,
kweli kabisa nguvu ya upinzani imekuwa kubwa na Kibaki alifanya usaliti na wananchi wamemwazibu yeye na mawaziri karibu wote wa serikali yake.
Raila ni inspirational na inabidi wapenda mageuzi wote wafurahie pale itakapotangazwa kuwa ameshinda.
BTW, tupatie updates basi maana tukiona kimya tunaanza kuongea mengine ili ku-keep this thread going wakati tukisubiria toka kwako.
Kuna swali hapa liliulizwa kuwa % ngapi ya kura za central zimeshahesabiwa so far?
I am not trying to b e rude but this is one of 'hem crapiest ideas I hear from ccm propaganda machine every other day. yaani watu wamwache mtu anayeuza nchi kwa kasi kama ya Kikwete kwa miaka kumi mbona basi hata wajukuu wetu wote watauzwa kama vile watumwa waliouzwa marekani walivyokuwa wakiuzwa hadi vizazi vyao vijavyo.
Kikwete atakaa miaka mingine mitano kwa vile njia zote za amani ikiwemo kupiga kura zimeshindwa na wala sio kwa vile inabidi apewe miaka kumi maana mitano haitoshi!
Kwenye suala la uraisi mi naona huwa hawasubiri awamu ya pili kuonyesha makucha; simply cos hawana uhakika wa kubaki hadi mihula miwili; hivyo maraisi walafi wakiingia ofisini wanaanza kukusanya kama Lowassa, wankula ovyo; sema wengineo huwa hawafanyi waziwazi. Am sure, by the second term watakuwa washavimbiwa hivyo wanataka kujenga jina ili wakistaafu jumuiya ya kimataifa iwapokee watakapostaafu; we huoni vile Ben kapata mapokezi, mara kamati hii, mara taaisis hii ya kimataifa? kawaida ya binadamu kumbukumbu za mambo ya karibuni ndio zinatawala; ndo maana Bill Clinton alimuona Ben anafaa kuingia naye ubia kwenye kampeni ya ukimwi wakati sisi tunalia na biashara ikulu na radar
Hivi Mwendapole unatania au?????
Only that am not CCM or anything propagandist. Ndio shida ya wengi hapa, mtu akisema usichoafiki ni propaganda ya CCM.Am saying what I believe; like it or not, its your headache but dont characterise me mamaa..I have no reason to like CCM, nor any reasonable ground not to make do with it as it is
Kwi kwi kwi kwi kwi!
why should I? am serious bro!
I care less for who you are and yet I called a propagandist! So live with na ukome kugeneralize wana-JF, nani kakwambia kuwa wote wanaamini hivyo! come on now
Kwa hiyo wewe uko radhi kabisa raisi awe fisadi katika kipindi chake cha kwanza kwa mategemeo ya kwamba atabadilika katika kipndi chake cha mwisho? Je asipobadilika what next? Kwa mitizamo kama yako mabadiliko nchi hii yatabaki kuwa ndoto!
Typical...!
Huku ninakoishi hiyo lugha huwa wanatumia wanawake wa barazani.
I dont sell cheap sweetie, so dont try that one on me. Lete point acha upashu!
On a very serious note;
Sishabikii ufisadi; ninachosema ni kwamba sijaona ahueni kwa yeyote; kila mmoja huja na ahadi za kuwakomboa wananchi, akishaingia hana tofauti na aliyetangulia; na kama trend ni hiyo basi bora zimwi likujualo. Yaani the way things are; matatizo ya wananchi na kero zao zinakuwa ni mtaji wa kuwaingiza ikulu, wakifika huko wanampa sababu fisadi mwingine kuibuka na kujifanya yeye ni mkombozi wa kweli; mi siamini hata mmoja wao. Thats my point
upashu kuliko propaganda zako za kibuzwagi na kifisadi hapa? Uko very cheap ndio maana unashabikia ufisadi! sinunui vitu kwa mafisadi so hata usifikirie kabisa kuniita sweetie kwani mimi na mafisadi na watetezi wao ni mbalimbali kabisaaaa
Mwafrika wa kike!
Kama una BWANA amekuoa namwonea sana huruma- maaana unamburuza na kumziba mdomo kisawasawa!
Mara ingine akina dada kama Mwafrika wa Kike huwa hawaolewi! huwa tu senior sisters! Na kuzaa tu mtoto na Mme wa mtu basi!
Hii ndo hali halisi!
Tehe tehe tehe tehe...what makes you think you can buy anything from me? do you buy 'em cheap from any Tom , Dick and Harry? dont jump to conclusions mamaa; nina maana, huwa siendekezi ubishi wa kijinga, na lugha za mtaani sio style yangu. You can get your point across without spitting venom, unless thats your defence strategy, otherwise save your energy. You come with a point we will get along well, you dont, get lost, and that ends it