Matatizo mengine ni ya kujitakia tu, hata kama hao wazungu wametekwa hivi wakenya wenyewe hawawezi kuwateka hao wazungu mpaka wawasingizie al shabaab? Nairobi na ujambazi ule wote jamani. Mtu unashuka airport jamaa anakushikia mfuko wa kinyesi live anataka fedha ukikataa anakobonda na kinyesi, jamani wale ni alshaabab???
Ningeshawishika kama alshaabab wangelipua kenya na ku kukubali kutekekeleza tendo hilo. Haya mengine matatizo ni ya kujitakia jamani, watu kenya wanakufa na njaa harafu nyie mnatumia mifedha mingiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.
Aiss Waafrika tutaacha ujinga lini?
Uliza maswali yako tutajaribu kuyajibu.
You and Sabodo shall go to hell first
Hii ya kupeleka ndege zote hizo na chopa zote hizo,bado vifaru vingi hivyo si tu kwaajili ya Al-shabab, bali ni nafasi ya kenya kushow off power, kuonesha kuwa jeshi lake lina vifaa na nguvu, ni njia ya kutuma ujumbe kwa nchi zingine jirani hususani Uganda ambapo kuna mgogoro baridi wa kisiwa....
Hivi tanzania tuna vifaa vya kisasa kweli..? ooh no nimekumbuka hata mabomu tu hatujaupdate yamesha expire yanatulipukia wenyewe, wakati huo Shimbo anakula mitrilioni tu.
God will bless Kenyans for that. To God be the glory for the thing He is doing in Kenya.Nawapa hongera sana wakenya kwa kuamua kuwapiga al-shaabab-
alshabaab wasipotulizwa watafanya east africa kuwa kama middle east.hawa wanatakiwa wapotezwe kabisa
Tanzania go and help Kenyans. Finish these mujahidinas. They don't deserve life since they are in harry to go and meet those 72 fictitious Vgs.
Bwana mukubwa, tangu lini kuelezwa ukweli ambao hauupendi imekuwa matusi na kejeli.Mkuu Majoja
Kwa matusi au kejeli sitakuzidi. Hasa kwa mtu ambaye ana siasa laini au wastani.
Lakini kama unataka kujifunza kitu, pitia uzi huu https://www.jamiiforums.com/international-forum/125362-ugaidi-wa-serikali-ya-marekani.html
Humo utakutana na hao wa siasa kali wasiokubali kuwa kondoo wa kasumba na uongo wa US gvt.
Baada ya kuzipitia makala na video za humo ,fanya hiyo sound reasoning yako! Ukibahatika kupata muda rudi na feed back.
Bwana mukubwa, tangu lini kuelezwa ukweli ambao hauupendi imekuwa matusi na kejeli.
Mtu ukienda as far as kusema Dar na Nairobi US Embassy bombings(1998) ni kazi ya Serikali ya Marekani wakati Al Qaeda(Osama ) alikwisha jigamba kwa kazi hiyo basi sijui kundi la kukuweka.
Ndugu zetu , ninyi mmesha kuwa mind controlled kiasi ya kuona kuwa kuua kwa ajili ya imani yako is fair game.
Tatizo mtu akijitetea mmnaona sasa ndio jihad yenyewe, in the meantime watoto wenu na wanawake wanakufa kwa utapiamlo.
Please change
well said na mimi sasa hivi naanza kuwa trust wakenyaTutawatandikeni, hata msemeje - Wetangula awajibu Al Shabaab.
*Hakuna kurudi nyuma mpaka kieleweke
*Hebu jaribuni na tutawakomesha
*Uwezo wa kuwapeni kichapo tunao
Offensive unstoppable, Kenya tells Al Shabaab
Posted by BERNARD MOMANYI on October 18, 2011
Kenya's Foreign Affairs Minister Moses Wetangula/ File
NAIROBI, Kenya, Oct 18 Foreign Affairs Minister Moses Wetangula has dared Al Shabaab militants to execute their threats of reprisals in Kenya following a military offensive that is currently underway in Somalia.
In an interview with BBCs Focus on Africa, the minister said he was confident the Kenyan military would succeed in its mission in Somalia because we have the capacity. He said Kenya would not be cowed by threats issued by the Al Qaeda-inspired militant group which has vowed to engage the Kenyan military on a full scale war as well as hit main targets in the capital, Nairobi.
Let them try Kenya has the capacity, ability, and the will to defend its people and its territory. Let them try; the consequences will be dire for anyone who thinks that they can now walk in and out of Kenya to lay mischief with impunity, he said in the BBC interview aired on Monday.
Wetangula said Kenya was well equipped to deal with any incursion on its territory, and would not be cowed by the threats issued the Islamist rebels.
I dont think Al Shabaab have the capacity to engage Kenya in an open-ended conflict, I dont think so at all, he said and sought to assure our intention is to have a secure frontier with Somalia.
The end will justify the means, he boasted, in reference to the military offensive in Somalia.
Capital FM
As Shabab watishia kukabiliana vilivyo na vikosi vya Kenya huko Somalia