Kenya : Al Shabaab Attacks Kenya Base Used by Kenyan, U.S. Forces

Nasikia KDF waliamua kujificha kwenye vichaka vya majani mengi...aisee KDF ni mdebwedo!
 
Nasikia KDF waliamua kujificha kwenye vichaka vya majani mengi...aisee KDF ni mdebwedo!
Marekani wanatafuta wa kulaumu ilhali ni wao ndo walifeli kushika doria!!!!
Wakati ndege za marekani zinatumia uwanja, wanajeshi wa marekani ndo hua wanashika doria, eti waliona vidude viwili vinapita kwa runway wakafikiri ni wanyama pori!!!!!! alashabaab waka nyapa nyapa hadi karibu na aircraft hanger ndo wakaanza mashambulizi, Alafu sasa wanasema eti KDF walijificha wakati ni KDF ndo waliua alshabaab!
 
Wanajeshi wa marekani ndo walikua wanashika doria asubuhi ya kuamkia hio siku, wasitafute visababu kwani walipatwa kama mamelala ndani ya magari yao ya kivita badala ya kua makini kushika doria..

Comander wa Alshabaab alie ongoza mashambulizi hayo ya camp simba huyu hapa aliuliwa na KDF kilomita 15 mbali na hio kambi, Kama kweli KDF walikua ni waoga wangekuana ujasiri wa kufwata hao alshabaab walio kimbia hadi wauwe comander huyo????
IMG_20200105_185443.jpg

IMG_20200105_185437.jpg

IMG_20200105_185440.jpg
 
Attachments

  • IMG_20200105_185443.jpg
    IMG_20200105_185443.jpg
    389.1 KB · Views: 1
Americans walidhani vest zao zitawezana na PKM, hahaa .... Americans believe in close quarter battle with overwhelming fire power. Look where it got them .
Furthermore you can't return fire without cover and tactical advantage.
 
Aisee kumbe hata mule KDF kuna akina eliud Kipchoge..maana zile mbio kuelekea kwenye kichaka sio za nchi hii🤣🤣😂😂... inabidi olimpiki ya Tokyo tuchukue wakimbiaji kutoka KDF
 
Americans walidhani vest zao zitawezana na PKM, hahaa .... Americans believe in close quarter battle with overwhelming fire power. Look where it got them .
Furthermore you can't return fire without cover and tactical advantage.
Americans ni madogi. Anytime wanapigana na a third world country, wanatandikwa. Cheki Vietnam, cheki Afghanistan.
 
Americans ni madogi. Anytime wanapigana na a third world country, wanatandikwa. Cheki Vietnam, cheki Afghanistan.
Vita haichagui third world country, middle income,big economy au g8 ukiingia copy zingine fasta tu unatulia.. unaweza kuona nchi masikini tu lakini peleka sharubu zako kama hujatolewa kinyesi..kuna nchi ni ldc haswaa lakini ziko njema pande hizo!
 
Ni kweli.
 
Back
Top Bottom