Sinister
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 1,529
- 1,576
Hivi ndivyo wanaume hupigana sasa! Sio kuvizia watoto wa shule na watu kwenye mikahawa!you invade , you die...lets see who has more bullets
View attachment 1313253
View attachment 1313255
Hivi ndivyo wanaume hupigana sasa! Sio kuvizia watoto wa shule na watu kwenye mikahawa!you invade , you die...lets see who has more bullets
View attachment 1313253
View attachment 1313255
Kambi hiyo haiko mbali na mpaka wa Somalia, kisha upo msitu wa Boni, unaounganisha Kenya Hadi Somalia.Umeshajiuliza hao magaidi waliwezaje kupenya mpaka ndani ya kambi ya jeshi ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kambi hiyo haiko mbali na mpaka wa Somalia, kisha upo msitu wa Boni, unaounganisha Kenya Hadi Somalia.
Hivi hawa wakijipenyeza kwenye msitu huo usiku, wanaweza kufika kwenye kambi.
The good thing is that we have profiled terror elements and we are in constant survialance of their movements .Kitendo cha al shabab kuingia Kenya bila nyie kuwa na taarifa ni udhaifu tosha ...period...
Hebu wambien waje tz afu muone jinsi sahihi ya kudeal nao hao
Sent using Jamii Forums mobile app
Bongolalas are the only people who claim to be perfect in solving a problem they have not faced..The good thing is that we have profiled terror elements and we are in constant survialance of their movements .
I don't think Tanzanians have done the same nor do you have a counter terrrosim action plan against radicalization or police.
That's why Tanzanians are leaving Tanzania for Somalia and Mozambique without the knowledge of Tanzanian authorities.
Intelligence ZIROKambi hiyo haiko mbali na mpaka wa Somalia, kisha upo msitu wa Boni, unaounganisha Kenya Hadi Somalia.
Hivi hawa wakijipenyeza kwenye msitu huo usiku, wanaweza kufika kwenye kambi.
... hivi mnajua kwamba 1 American soldier and 2 contractors have been killed in this particular attack by AL Shabaab?
Sent using Jamii Forums mobile app
Eti nini..? Waje wapi??Kitendo cha al shabab kuingia Kenya bila nyie kuwa na taarifa ni udhaifu tosha ...period...
Hebu wambien waje tz afu muone jinsi sahihi ya kudeal nao hao
Sent using Jamii Forums mobile app
Bongolalas are the only people who claim to be perfect in solving a problem they have not faced..
. Wazungu wabaguzi sana, ina maana hakuna ndugu zetu wakenya walioopoteza maisha kweli katika hiyo kadhia?... hivi mnajua kwamba 1 American soldier and 2 contractors have been killed in this particular attack by AL Shabaab?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi nyie mmewashinda pia wamarekani kwenye intelligentsia?
I reserve my comments kwakuwa mimi ni mtanzaniaKitendo cha al shabab kuingia Kenya bila nyie kuwa na taarifa ni udhaifu tosha ...period...
Hebu wambien waje tz afu muone jinsi sahihi ya kudeal nao hao
Sent using Jamii Forums mobile app