Bora hao mapapa wa kenya wana invest kwao. Wa Tz cjui walikua wana invest wap....?🤣🤣🤣🤣Kumbe ATCL wanafanya vyema kuliko Kenya Airways. Ya kuwa KQ wako na ndege tatu tu na zingine ni za yale mapapa chini kwa chini, ama kweli nchi huliwa na wenye Meno.
SHOCK as it emerges KQ owns 3 planes only, 25 planes are owned by corrupt businessmen and State operatives
Fedha zinaliwa na wachache tuBora hao mapapa wa kenya wana invest kwao. Wa Tz cjui walikua wana invest wap....?🤣🤣🤣🤣
A crime is a crime which ever way you look at it.Bora hao mapapa wa kenya wana invest kwao. Wa Tz cjui walikua wana invest wap....?🤣🤣🤣🤣
Kwahiyo zetu sasa zinachapa kazi! Ni ujinga kuleta ushindanishi usio na tija. Shindanisha kwanini shilingi yetu na ya Kenya ambayo ilikuwa moja sasa yao ituzidi thamani mara ishirini!Kumbe ATCL wanafanya vyema kuliko Kenya Airways. Ya kuwa KQ wako na ndege tatu tu na zingine ni za yale mapapa chini kwa chini, ama kweli nchi huliwa na wenye Meno.
SHOCK as it emerges KQ owns 3 planes only, 25 planes are owned by corrupt businessmen and State operatives
Kumbe ATCL wanafanya vyema kuliko Kenya Airways. Ya kuwa KQ wako na ndege tatu tu na zingine ni za yale mapapa chini kwa chini, ama kweli nchi huliwa na wenye Meno.
SHOCK as it emerges KQ owns 3 planes only, 25 planes are owned by corrupt businessmen and State operatives
Acha kufikirishwa, kabla ya vita tulikuwa tunavaa matairi ya gari na kula yanga, hatahivyo miaka 30+ bado tu kisingizio vita, unamaana tunalipa madeni ya vita!Uchumi wako ulishuka kuchangiwa na vita, usisahau hilo kijana wangu.
Hebu funguka na data za uchumi wa nchi tatu hizi Kenya, Uganda na Tanzania kabla Community na baada ya Community.Acha kufikirishwa, kabla ya vita tulikuwa tunavaa matairi ya gari na kula yanga, hatahivyo miaka 30+ bado tu kisingizio vita, unamaana tunalipa madeni ya vita!